Juan Mata ameutaja mchezo wao dhidi ya Chelsea si wa kuuchukulia rahisi bali ni mchezo wa kuuangalia kwa umakini unaotakiwa kutumia akii nyingi.
Katika mchezo wa Leo, United watatakiwa kuutafuta ushindi wao wa one mfululizo wakati wa mchezo huu ambapo kila timu inaonekana kuwa na kazi ngumu ya kutowaangusha wao wanaotambiana kila kona lakini pia kujiimarisha katika chati za mpira.
Ukiiangalia wiki mii inayoisha kwa umakini, ilikuwa wiki nzuri kwa kocha Jose Mourinho na mashabiki wake, Jumanne aliwapiga Benfica 2-0, ushindi uliokuja bade ya like gold la Anthony Martial dhidi ya Tottenham kule Old Trafford.
Sasa akiongelea hilo, Mata ndio akakubali kwamba ndio, ilikuwa wiki nzuri lakini hawa Chelsea Sio wa `kuwachukulia poa’.