Quantcast
Channel: Mdimu's Blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1295

Kanye West atoka hospitalini

$
0
0
Kanye West alipatwa na tatizo la uchovu
Mwanamuziki Kanye West aruhusiwa kutoka hosipital  baada ya kulazwa kutokana na uchovu.
Kulingana na taarifa tofauti nchini Marekani, mwanamuzi huyo aliondoka hospitali ya UCLA jimbo la Los Angels na mkewe Kim Kardashian pamoja na daktari wake Michael Farzam,
Kanye West mwenye umri wa miaka 39 alilazwa hospitalini siku ya Jumatatu ya tarehe 21 baada ya kupatwa na uchovu uliotokana na kukosa usingizi na kuishiwa na maji mwilini, kwa mjibu wa TMZ.
Jarida la People limenukuu taarifa zinazo sema kuwa Kanye yuko nyumbani akiwa anapumzika.
Kanye West alisitisha kwa ghafla tamasha lake
Alitumia karibu muda wa dakika kumi akizungumza kuhusu Beyonce, Jay Z, Hillary Clinton na mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerbrg wakati kifanya shoo.
Mwanamitindo Kendal Jenner, ambaye ni dada wa kambo wa Kim Kardashian, alisema kuwa familia imekuwa ikimuombea Kanye.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1295

Trending Articles