↧
Dismas Ten: Maandalizi Yamekamilika
Maandalizi kueleka mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara kati ya Azam Fc na Mbeya City fc uliopangwa kuchezwa kesho kwenye uwanja wa Azam Complex jijini Dar, yamekamilika.
“Hatuna shaka,maandalizi yamekamilika,hali za wachezaji ni nzuri kabisa hakuna aliye majeruhi,tumefanya mazoezi kwa siku mbili lengo likiwa kuzoea hali ya hewa na mazingira ya kucheza usiku, kila kitu kimekwenda sawa imani yetu kubwa tutaibuka na ushindi” Alisema.
↧