PICHA: Kilele cha maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma
Tuzo zilizokabidhiwa Siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma jana tarehe 23 Juni, 2015.Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi (wa pili kutoka kushoto)...
View ArticleMakundi 5 yang'ara ndani ya Temeke kwenye usaili wa kwanza Dance 100% 2015...
Usili wa kwanza wa Dance 100% (2015) umefanyika kwa mafanikio makubwa Temeke jijini Dar es Salaam, ambapo makundi ya Team ya Shamba, The WT Group, WD, The Best Boys Kaka Zao na Team Makorokocho...
View ArticleKadama Malunde Achaguliwa Mwenyekiti Mpya wa Wanahabari Shinyanga
Na Mwandishi Wetu, Shinyanga CHAMA cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club-SPC) jana Julai 23, 2015 kimefanya Uchaguzi wake Mkuu wa viongozi watakaokiongoza chama hicho kwa...
View ArticleUNESCO KUENDELEA KUSAIDIANA NA TANZANIA KUINUA ELIMU
Na Mwandishi Wetu, BagamoyoSHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), limesema litaendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania kuhakikisha kwamba taifa linakuwa na wananchi...
View ArticleUMOJA WA WASANII WA FANI MBALIMBALI WAMUGA JK,WAMTANGAZA KUWA SHUJAA WA SANAA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani),waliofika ndani ya ukumbi wa Mlimani City katika hafla ya kuagwa kwake...
View ArticleSamia Suluhu: Tutakomesha migogoro ya ardhi
Na Joachim Mushi, Dodoma MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu amesema Serikali itakayoundwa na chama hicho endapo itashika dola katika Uchaguzi Okuu wa Oktoba,...
View ArticlePICHA: Chama cha Ukombozi kilivyozindua kampeni zake jijini leo
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi (Chauma), Dk. Hashim Rungwe, akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho, uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es Salaam leo....
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO YA WAWAKILISHI WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya Kudumu ya Umoja wa Afrika( AU) wakati alipokuwa akiwasili kwenye Hoteli...
View ArticleMULTICHOICE AFRICA KICKS OFF THE BIGGEST CONTENT SHOWCASE IN AFRICA
It was a magical night filled with #OnlyTheBest of African entertainment when MultiChoice Africa kicked off its second #OnlyTheBest Content Showcase Extravaganza in spectacular style at the Outrigger...
View ArticleMuziki Mnene Bar kwa Bar kutimua vumbi kesho Mkuranga
Dotto MwaibaleTAMASHA la Muziki Mnene Baa kwa Baa linatarajia kuanza kufanyika kesho wilayani Mkuranga mkoani Pwani.Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, Meneja wa Mawasiliano...
View ArticleFlaviana Matata ateuliwa kuwa Balozi wa hiyari wa Utalii Tanzania.
Dr Adelhelm James Meru akimkabidhi Flaviana Matata barua ya kuchaguliwa kwake huku kaimu Mkurugenzi Devota Mdachi akishuhudia, katika ofisi za wizara hiyo Mwanamitindo wa Kimataifa anaefanyia kazi...
View ArticleZEE LA NYETI: Unapiga politiki, homu kume'kiki'?
Doh...Noma kweli mshkaji wangu, nimetoka kumrudisha dogo flani hivi mtoto wa jirani kwao,alikuwa anazingua wageni wangu mpaka wakafyumu wakawa wanataka kutimua wakati mtu mzima nshajipinda na...
View ArticleSERIKALI YAKIRI CHANGAMOTO LICHA YA MAFANIKIO AJIRA KWA VIJANA
Na Mwandishi wetuPAMOJA na kuwepo na maendeleo ya kuridhisha katika suala la ajira kwa vijana, serikali imekiri kwamba ukosefu wa ajira bado ni tatizo kubwa duniani na kwa taifa kwa ujumla.Kutokana na...
View ArticlePICHA: Mkutano wa Kampeni ya Mgombea CCM Urais wa Zanzibar Dk Shein Viwanja...
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein, akiwa na Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi wa CCM wakati wakiwasili katika...
View ArticleCHAMA CHA AFYA YA JAMII (TPHA) CHATOA ELIMU DHIDI YA KUPAMBANA NA TUMBAKU KWA...
Na Andrew Chale, modewjiblog Dar es Salaam. Chama cha Afya ya Jamii nchini (TPHA), kimeendesha kongamano maalum kwa wanafunzi wa shule msingi zaidi ya Saba ndani ya Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la...
View ArticleEMMANUEL LIKUDA: Alitokea kwenye kilabu cha muziki kwenda Clouds
Na Henry MdimuJumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa kumi za jioni unaposikiliza Clouds FM, kituo kinachotajwa kuwa na ushabiki mkubwa wa vijana, kwa mujibu wa tunzo za SuperBrands, utakutana na sauti moja...
View ArticleShule zafungwa Kenya kutokana na mgomo wa waalimu
Wanafunzi wengi Kenya wamelazimika kusalia nyumbani baada ya serikali kuagiza kufungwa kwa shule zote za umma na za kibinafsi leo kutokana na mgomo wa walimu.Ingawa shule za umma zimefungwa, baadhi ya...
View ArticleWananchi wa Kisarawe washiriki mdahalo wa Ajenda ya Watoto kuelekea Uchaguzi...
Na Henry MdimuKatika kuhakikisha kwamba Ajenda za watoto zinazungumzwa katika jamii Kipindi cha redio cha Walinde Watoto leo kimeandaa mdahalo uliowahusisha wagombea wa udiwani kata ya Kisarawe ambao...
View Articledar es Salaam yathamini wadau wa michezo
Na Mwandishi WetuWADAU wa Michezo mkoa wa Dar es Salaam wametakiwa kujitokeza kuisaidia Serikali kukuza michezo na kufufua vipaji vya wachezaji katika fani mbalimbali katika shule za msingi na...
View Article