Miss Dodoma afanikisha ukarabati wa choo cha wakinamama wanaojifungua watoto...
Mlimbwende anayeshikilia Taji la Urembo la Mkoa wa Dodoma (Miss Dodoma 2016/17), Anna Nitwa (wa pili kulia) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu,...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA KUENDELEZA MAENEO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo mbioni kupunguza muda wa utoaji wa leseni za biashara nchini ili kutoa fursa kwa wananchi wengi zaidi kupata...
View ArticleSHUHUDIA: Picha za semina ya Ready to Work ilivyoendeshwa na wasanii...
Wasanii wanaowania tunzo za EATVleo walifanya semina na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ilikuwapa uthubutu wa kutambua vipaji vyao na kuvifanyia kazi ili kuweza kukabiliana na soko la ajira...
View ArticleSOMA: Habari ya Mwalimu aliyefariki katika mkutano wa chama chake
Na Dotto MwaibaleMWALIMU Tuhobwike Mwinuka Mwakatumbula wa Shule ya Msingi Kumbukumbu katika Manispaa ya Kinondoni amefariki dunia wakati akiwa katika mkutano wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) na...
View ArticleMaiti za waliofariki kwenye ajali ya ndege Colombia kuwasili Brazil
Miili 71 wa watu walioangamia kwenye ajali ya ndege nchini Colombia ambayo pia timu ya kandanda ya Brazili iliangamia zinarejeshwa nyumbani.Zaidi ya watu 100,000 wanatarajiwa kujitokeza katika ibada...
View ArticleKAMA HUJAPATA MATOKEO: Chelsea imeipa kichapo Man City bao hizi...
Na John SimwanzaClub ya Chelsea imeipa kichapo timu ya Man City katika mchezo wao uliopigwa kwenye uwanja wa EtihadMchezo ulianza kwa kasi huku kila timu ikilishambulia gori la mwenzake lakini mpaka...
View ArticleUrusi kuvuruga matangazo ya radio kutoka Ukrain kwenda Crimea
Image captionUrusi inasema kuwa itavuruga matangazo ya Ukrain kwenda eneo la Crimea.Waziri mmoja kutoka nchini Urusi alitangaza hatua hiyo baada ya Ukrain kuanza ujenzi wa mitambo ya kurusha matangazo...
View ArticleJOH MAKINI NDIO RAPPER ANAEONGOZA KUFANYA KAZI NA WAKALI WA R&B HAPA BONGO
NA JOHN SIMWANZA Uhusiano wa Rappers na wasanii wa RnB huwa unatengeneza historia kubwa sana katika kazi zao japo sio kwamba RnB ikikosekana kwenye Muziki wa Rap kazi haitokua nzuri lakini...
View ArticleMANCHESTER UNITED YA DROO DHIDI YA EVERTON
NA JOHN SIMWANZA Mashetani wekundu manchester united hali imezidi kuwa mbaya baada ya kudroo katika mchezo wake uliopigwa katika uwanja wa Goodsonpark Manchester ndio walianza kwa kupata bao la kwanza...
View ArticleMWANDISHI MATHIAS CANAL ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWA KULA CHAKULA CHA...
Mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya siasa nchini Tanzania Ndg Mathias Canal mwenye shuka la kimasai shingoni akiwaelekeza watoto wa mitaani Jijini Mwanza kula kwa ufasaha pasina vurugu kama...
View ArticleMourinho akwepa kulipa kodi
ImageMbunge mmoja nchini Uingereza amesema kuwa mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anafaa kuchunguzwa na maafisa wa Uingereza kufuatia madai kwamba alitumia kampuni za kigeni kupunguza kodi...
View ArticleMADIWANI WA HALMASHAURI YA MJI WA MAFINGA WILAYANI MUFINDI WAPIGWA MSASA NA...
Mbunge wa jimbo la Mafinga mjini Cosato Chumi alikuwa mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo.na fredy mgunda,iringaMadiwani wa halmashauri ya mji wa mafinga wilayani mufindi wameongezewa makali ya...
View ArticleWANAWAKE WAJASIRIAMALI MASOKONI WAMETAKIWA KUWA NA MSHIKAMANO
Mwakilishi Mkazi wa Taasisi ya Sura Mpya na Sauti Mpya Tanzania (NFNV), Emma Kawawa (kulia), akizungumza na wanawake wafanyabiashara katika masoko ya Ilala na Temeke wakati akifunga mkutano wa kupanga...
View ArticleMFUKO WA LAPF KWA MARA NYINGINE WAIBUKA KIDEDEA KATIKA UTUNZANI WA MAHESABU...
Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko wa LAPF, John Kida (katikati mwenye tuzo), akiwa na wafanyakazi wenzake baada ya kutunukiwa tuzo ya Utunzaji Bora wa Mahesabu Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Meneja Masoko...
View ArticleMSHAMBULIAJI WA MBAO FC U-20 ISMAIL MRISHO AFARIKI DUNIA
Mshambuliaji wa timu ya vijana ya Mbao Fc U-20 Ismail Mrisho Khalfan anayevalia jezi nambari 4 amefariki Dunia jana jioni baada ya kuanguka Uwanjani Kaitaba wakati wa Mtanange wao dhidi ya timu ya...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI WA MAUZO WA KAMPUNI YA NDEGE YA...
Picha nam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi wa mauzo wa kampuni ya Ndege ya Boeing Jim Deboo aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo pamoja na...
View ArticleWIKI YA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA MAADILI NA HAKI...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akitoa neno la utangulizi wakati wa uzinduzi wa Wiki ya kutoa huduma kwa wananchi katika...
View ArticleMKUTANO MKUU WA MWAKA WA TBN WAFUNGULIWA DAR, SERIKALI YAITAMBUA RASMI...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali Dk. Hassan Abbas (kulia), akihutubia wakati wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Dar es Salaam leo...
View Article