CHADEMA YAWANOA VIONGO WAKE WA MABARAZA WILAYA YA NYAMAGANA MKOANI MWANZA.
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Ziwa, Meshack Micus (kulia), akizungumza juzi kwenye semina kwa viongozi wa Mabaraza ya Chadema Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza.Na BMG...
View ArticleZEE L NYETI: Hakuna cha Ukata, dili tata zimeweka ukuta!
Ebana mambo VP?…kitambo enh?naskia kitaa huko mlishaanza kupitisha daftari la michango, mnawaambia wanangu nimededi sasa mnaumbuka. Nimerudi mtu mzimakwa kasi ile ile ila sasa nimeamua kupitisha ishu...
View ArticleSERIKALI YATAKIWA KUBAINISHA STENDI ZA DALADALA JIJINI MWANZA
Mwenyekiti wa Madereva Kanda ya ziwa Hassan Dede akihojiwa na waandishi wa habariAskari wa kikosi cha usalama barabarani wakiwa wamezisimamisha Daladala kwa kosa la kupakia abira eneo ambalo sio rasmi...
View ArticleMZIKI WA DULLY UNASUKUMWA SANA NA WAKALI WA SASA
NA JOHN SIMWANZAMiongoni mwa nguli wa muziki huu wa kizazi kipya walio utoa huko mafichoni na kuuleta kwa wadau na mashabiki Dully Sykes a.k.a Brother man nae ni mmoja wapo.Dully ni msanii wa mwanzo...
View ArticleJIONEE: Ofa mwanana kutoka BankABC
Mkuu wa Masoko na Hazina wa BancABC, Barton Mwasamengo, (kushoto), na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na wafanyabiashara wadogo wadogo, Joyce Malai, wakionyesha kadi inayoonyesha uzinduzi wa ofa ya...
View ArticlePICHA: ...za Rais Magufuli alipofanya kikao na wasaidizi wake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwakaribisha Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo aliyeambatana na Katibu Mkuu wa TAMISEMI Mhandisi Mussa Iyombe kabla ya kuanza...
View ArticlePICHA:Maelfu waomboleza kifo cha 'Iron Lady' wa India Jayalalithaa Jayaram
Maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa Jayalalithaa Jayaram, mmoja wa wanasiasa mashuhuri nchini India,.Jayalalithaa Jayaram alipatwa na mshtuko wa moyo siku ya jumapili...
View ArticleMzozo waibuka upya kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi
Ramani mpya iliyotolewa na Tanzania ambayo inaonyesha kuwa inaamiliki nusu ya Ziwa linalozozaniwa la Malawi au Nyasa, imezua mzozo Upya na Malawi ambayo inasema kuwa ramani hiyo si sahihi.Ramani ya...
View ArticleKuzaa kwa upasuaji kunaokoa maisha?
Wanasayansi duniani wanasema kujifungua mtoto kwa njiya ya upasuaji kunaimarisha maumbile, utafiti huu umendiktwa katika jarida la Taasisi ya National Academy of SciencesWanawake wengi duniani...
View ArticleKUNUSURU KAYA MASIKINI KATIKA AWAMU YA TATU YA TASAF, WATENDAJI MBALIMBALI...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu Kaya zilizoondolewa kwenye Mpango wa kunusuru Kaya...
View ArticleSerikali ya Tanzania na Mauritius kuendeleza ushirikiano katika Sekta ya...
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa,na Michezo Mhe. Anastazia Wambura(wa pili kushoto) akizungumza na Ujumbe wa Serikali ya Mauritius pamoja na baadhi ya viongozi wa Wizara leo Jijini Dar es...
View ArticleRAUNDI YA TATU KOMBE LA FA MANCHESTER UNITED YAPEWA READING
Kocha wa Manchester United, Jose MourinhoManchester United watakutana na Reading katika hatua ya klabu 32 bora michuano ya Kombe la FA baada ya kutoka droo .Kocha wa Reading Jaap Stam ambae alikuwa...
View ArticleLIGI KUU VODACOM KUTIMUA VUMBI DESEMBA 17, SIMBA NA YANGA FEBRUARI 18
Na Zainab Nyamka.LIGI kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea tena kwa duru la pili kuanzia Desemba 17, huku timu zikishauriwa kukamilisha usajili kwa wakati huku Yanga na Simba kuumana Februari 18...
View ArticleTimu ya Chapecoense yatunukiwa kombe la Copa Sudamericana
Klabu ya Chapecoense kutoka Brazil, ambayo iliwapoteza wachezaji 19 pamoja na wahudumu kwenye ajali ya ndege walipokuwa wakielekea kucheza fainali ya Copa Sudamericana, imetunukiwa kombe hilo.Uamuzi...
View ArticleIJUE: Huduma mpya ya wateja wakubwa iliyozinduliwa na MSD leo
Na Dotto MwaibaleBOHARI ya dawa (MSD) imezindua mpango wa huduma maalumu kwa wateja wake wakubwa, kama moja ya hatua za kuboresha huduma kwa wateja. Mpango huo utawawezesha wateja hao kupata huduma ya...
View ArticlePICHA: MTOTO WA DIAMOND NA ZARI ALIEZALIWA LEO AWA GUMZO MTANDAONI
Hatimaye Zari na Diamond wamefanikiwa kupata mtoto wa pili leo hii katika hosipitali ya NETCARE iliyopo proteria nchini Afrika ya kusini..Diamond na Zari wameposti picha za mtoto wao,katika mtandao...
View ArticleSERIKALI YAITAMBUA TBN KAMA VYOMBO VYENGINE VYA HABARI
Dar es Salaam, WAZIRI wa habari na Uenezi, Nape Nauye, amesema siri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuingia madarakani ni mitandao ya kijamii.Akifunga kongamano la mkutano mkuu wa Umoja wa Wanachama wa...
View ArticleWAZIRI NAPE AJIUNGA NA PSPF, AWASIFU KWA HUDUMA ZA "MWENDO KASI"
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Nape Moses Nnauye, (wapili kushoto), akipokea fomu ya kujiunga na uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo,...
View ArticleDARASA HURU: Urafiki wa jinsia tofauti kwa vijana, ni jambo la kawaida?
Kaka na dada zangu, hii ni makala nyingine niliyowahi kubuni ambayo nimeona ni vema niilete mtandaoni tuendelee kuelimika kwa majadiliano ya hapa na pale.Imani niliyonayo ni kwamba cadre tnavyoenelea...
View ArticleWahariri wakutana kujadili sheria ya huduma ya yombo vya habari jijini Dar leo
Na Dotto MwaibaleWAHARIRI wa vyombo vya habari wamekutana katika mkutano maalumu wa siku mbili kwa ajili ya kujadili mambo kadhaa yanayohusu tasnia hiyo nchini.Akizungumza wakati akifungua mkutano huo...
View Article