ANGALIA PICHA ZA RED CARPET YA TUZO ZA EATV
Wasanii wa muziki, filamu pamoja na wadau mbalimbali wa burudani nchini wamejitokeza kwa wingi katika usiku huu wa Tuzo za EATV hapa Mlimani City jijini Dar es salaam.Mgeni rasmi Waziri wa Habari,...
View ArticleVIDEO MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA DANGOTE
mPreview YouTube video RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA ALHAJI DRAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA ALHAJI DANGOTE
View ArticleALLY KIBA,GABO WAZOA TUZO ZA EATV 2016
Kutoka katika tukio linaloendelea muda huu ndani ya Mlimani City katika utoaji wa tuzo za EATV 2016. Washindi wa tuzo hizo: Mwanamuziki Bora Chipukizi ni Man Fongo huku tuzo ya Kundi Bora la Mwaka...
View ArticlePICHA: Za kikao cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Tawala
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt....
View ArticlePICHA: Naibu Waziri Ofisi ya Makumu wa Rais Muungano na Mazingira Luhaga...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akimksikiliza Mkurungenzi wa Kituo cha Ujasiriamali Kutengeneza Nafasi za Kibiashara kwa Vijana Zanzibar Ndg, Ameir Sheha...
View ArticlePICHA TANO: ..za ziara ya ya Rais Mstaafu wa Awamu ya nne na Balozi wa China...
Rais Mstaafu wa Aawamu ya nne ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akifafanua jambokwa Balozi wa China nchini Tanzania, Bw Yang wakati wakiwasili katikaviwanja vya Mwenge Kata ya Msoga...
View ArticleHABARI: Kuhusu wafanyabiashara wa Soko la Madenge huko Temeke walivyochimba...
Na Dotto MwaibaleWAFANYABIASHARA katika Soko la Madenge katika Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wamejenga kisima cha maji salama chenye thamani ya sh.milioni 5.6 kwa kutumia nguvu zao na fedha...
View ArticleZEE LA NYETI: Unasubiri sifa kutoka kwa m'bongo? ...utapinda mgongo...
Oya mwanangu,naskia leo sikukuu,kweli? …kwa hiyo tunaendelea kupiga mbonji kama kawa maak kesho ama nini?Unainjoi hizi mamboau dizaini zinakuyeyusha unaona bora ungeibuka tu jobu?Dizaini hapa wengi...
View ArticleUNA HABARI?: LAPF imelipa jumla ya shillingi 8.3 Bilioni za kitanzania kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela (watatu kulia) akikabidhi hundi kwa mawanachama wa Mfuko wa LAPF, Nchama Renatus (wapili kushoto) ambaye ni mnufaika wa fao la zazi kwa wanawake wanachama wa mfuko...
View ArticleWahitimu 2421 kutunukiwa vyeti katika Mahafali ya 18 ya SAUT jijini Mwanza...
Mwanza, TanzaniaWahitimu 2421 wa fani mbalimbali wanatarajiwa kutunukiwa vyeti, shahada, shahada za uzamili na uzamivu katika mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine SAUT cha Jijini...
View ArticleHABARI: Kuhusu daladala lililoacha njia na kujeruhi watatu huko Mbagala, Dar...
Na Dotto MwaibaleWATU watatu wamejeruhiwa vibaya baada ya daladala walikuwa wamepanda kutoka Temeke kwenda Mbagala Kuu kuacha njia na kupinduka jijini Dar es Salaam.Akizungumza na mtandao wa...
View ArticleMKUTANO MKUU WA WANABLOGU TANZANIA 2016 UMEFUNGUA MILANGO YA MAFANIKIO.
Disemba 05 na 06 mwaka huu 2016 ulifanyika Mkutano Mkuu wa Waendeshaji/ Wamiliki wa Mitandao ya Kijamii nchini kupitia umoja wao wa Tanzania Bloggers Network TBN, uliofanyika ukumbi wa PSPF Jijini Dar...
View ArticleMajambazi waiba dhahabu ya kilo 70 Ufaransa
Majambazi waliokuwa na silaha wameiba dhahabu ya kilo 70 nchini Ufaransa na kutoroka.Majambazi hao wanne waliokuwa wameabiri magari mawili walishambulia gari la usalama lililokuwa likisafirisha dhahabu...
View ArticleCristiano Ronaldo ashinda tuzo ya Ballon d'Or 2016
Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amemshinda mpinzani wake Lionel Messi na kupata tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d'Or hii ikiwa ni kwa mara ya nne.Ronaldo mwenye miaka 31 sasa...
View ArticleSERIKALI YA CHINA KUJENGA KIWANJA CHA KISASA CHALINZE
na ZAINUL MZIGESheria ya kwanza ya mchezo wowote duniani ni eneo la kuchezea ama uwanjaSerikali ya China imetoa ufadhili wa ujenzi wa uwanja wa Michezo kwa shüle ya msingi Msoga iliyopo halmashauri ya...
View ArticleSIMULIZI: Supu ya Nyambizi (Sehemu ya kwanza)
Leo nimeamka na mawazo sana, siku ya sita hii kila nikijitahidi kufanya mawasiliano na mpenzi wangu Sikitu kuna vitu vinajitokeza ambavyo hata sielewi vinatokea wapi, ila kimsingi napata viashiria...
View ArticleMWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIKAO CHA...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC kabla ya kufungua rasmi Kikao hicho jijini Dar es SalaamMwenyekiti wa Chama...
View ArticleYaya Toure: Mimi ni Mwislamu na sinywi pombe
Mchezaji nyota wa Ivory Coast Yaya Toure amesema hajapinga shtaka la kuendesha gari akiwa amelewa wiki mbili zilizopita.Hata hivyo, amesema kwamba hakunywa pombe makusudi alipokamatwa akiendesha gari...
View ArticleRAIS WA FIFA AMPA POLE JAMAL MALINZI KIFO CHA MCHEZAJI WA MBAO FC
Na Mwandishi WetuRAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi kufuatia kifo cha ghafla...
View Article