HUU HAPA: Ushauri wa Mfanyabiashara Sabodo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Na Richard MwaikendaMfanyabiashara maarufu nchini, Jaffar Sabodo (73), amemshauri Rais John Magufuli abadilishe fedha ili kubana wafanyabiashara wakwepa kodi na kuficha fedha majumbani.Aidha, amesema...
View ArticleWARAKA: Kutoka kwa Katibu Mtendji wa BASATA kuhusiana na suala la Disco Toto...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini linawakumbusha wamiliki na waendeshaji wa kumbi za burudani kufuata sheria, kanuni na taratibu walizopewa...
View ArticleKAPU LA SIKUKUU: Kutoka Efm Radio lililokabidhiwa kwa shabiki na Mkuu wa...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (katikati), akimkabidhi zawadi, Asha Soud ambaye ni mshindi la shindano la Kapu la Sikukuu Dar es Salaam leo, lililoendeshwa na Kampuni ya Multichoice Tanzania...
View ArticleNDOA YA UPEPO: Uliisikia habari zake? Imefungwa leo jijini Mbeys
JamiiMojaBlog,MbeyaHATIMAYE lile tukio lililovuta hisia za watu wengi la bibi harusi, Given Mgaya, kukimbiwa kanisani na mchumba wake siku ya harusi, limepatiwa jibu baada ya bwana harusi , Samwel...
View ArticleHIKI HAPA: Alichokiongea Mama Samia kwa wana CCM wa Kaskazini Unguja
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi-CCM- Taifa ambaye pia Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wanachama na viongozi wa CCM katika mkoa Kaskazini...
View ArticlePICHA ZA RAIS MAGUFULI:Baada ya kuwasili Singida ambako atasali Misa ya Krismas
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi mara baada ya kuwasili mkoani humo. Pia Rais Dkt. Magufuli anatarajiwa...
View ArticleTIGO YAWAPIGA "TAFU" KITUO CHA MSAMARIA MWEMA FOUNDATION MKOANI KILIMANJARO
Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano TIGO Kanda ya Kaskazini Hendri Kinabo Kulia, akimkabidhi treyi la mayai ya kuangulia vifaranga kama sehemu ya msaada kwa Mwenyekiti wa kituo cha Msamaria Mwema...
View ArticleRAIS MAGUFULI: Alivyoshiriki Misa ya KrisMas na Mkewe Mama Janeth Magufuli...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Misa ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida. Hapa...
View ArticleSALAMU ZA KRISMAS: Kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Hapi
Ndugu wana Dar es Salaam,Kwa niaba ya serikali ya Mkoa wetu, napenda kuchukua fursa hii kwa dhati kabisa kuwatakia waumini wote wa kikristo na wana Dar es salaam kwa ujumla sikukuu njema ya Christmas...
View ArticleZEE LA NYETI: Eti ulifeli ule mtikasi wa Krismasi? ….hukuwa Siriasi…
…Babu…Katika ishu zilizonitingisha wiki hii ni ishu ya kutangulia mbele ya haki mwanetu Mpoki Bukuku, amini usiamini mwana Krismas hajaiona, na mida hii pengine anakatiza mitaa ya peponi huku anapiga...
View ArticleMwanamuziki George Michael afariki dunia
Mwanamuziki nguli mwenye asili ya Uingereza, ambaye alijizolea umaarufu mnamo mwaka 1980 na kutamba duniani kote kutokana na mtindo wake wa mahadhi ya pop, amefariki dunia.George Michael amekufa akiwa...
View ArticlePapa Francis: Ataka amani baina ya Israel na Palestina
Papa Francis ametoa wito kufanywe juhudi mpya kuleta amani baina ya Waisraeli na Wapalestina.Katika hotuba yake ya Krismasi, aliyotoa Vatikani, Papa alizihimiza pande mbili zinazohusika, kujaribu...
View ArticleRC GAMBO AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Arushaa ofisini kwake juzi kutoka vyombo mbalimba vya habari kuhusu sakata la kukamatwa kwa mwandishi wa habari wa...
View ArticleMASHABIKI WA ARSENAL WAMTAKA ARSENE WENGER KUONDOKA KATIKA TIMU HIYO
Mkufunzi wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa ''ameweka kinga'' dhidi ya ukosoaji wa kupita kiasi, wakati ambapo timu yake inalenga kuimarisha harakati zake za kushinda taji la ligi...
View ArticleKOCHA WA SAMATTA ATIMULIWA GENK
Karim BoimandaTIMU ya KRC Genk inayoshiriki ligi kuu nchini Ubelgiji imesitisha mkataba na kocha wake Peter Maes muda mfupi uliopita.Habari za ndani kutoka klabuni hapo zinasema Uongozi umewatangazia...
View ArticleDR GEORDAVIE:JIJENGEENI TABIA YA KUSAIDIA YATIMA
Nabii mkuu mheshimiwa Dr Geordavie akiombea bajeti mbalimbali za waumini walizoziletwa kwa ajili ya kutolewa neno la unabii hiii leo(picha na woinde Shizza wa libeneke la kaskazini Arusha)Nabii mkuu...
View ArticleNAPE,MBOWE WAONGOZA KUUAGA MWILI WA MPOKI BUKUKU DAR
Wanahabari wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mpigapicha Mwandamizi wa The Guardian, marehemu Mpoki Bukuku baada ya kutolewa heshima za mwisho katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Tabata,...
View ArticleWabunge 29, wasepa chama tawala Korea Kusini
Wabunge 29 wa Bunge la Korea kusini wamejiondoa katika chama tawala nchini humo.Hatua hiyo imekuja kufuatia tuhuma za rushwa ambazo pia zinamgusa Rais wa nchi hiyo Park Geun-hye kwa mashtaka ya kutumia...
View ArticleWatu 30 wafariki baada ya boti yao kuzama Uganda
Polisi nchini Uganda wanasema takriban watu 30 wamekufa maji baada ya boti yao kuzama katika ziwa Albert magharibi mwa taifa hilo.Abiria wengi walikuwa wanasoka na mashabiki wao waliokuwa wakielekea...
View ArticleKAULI YA SABODO: Kuhusu Baraza la Mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
MFANYABIASHARA maarufu nchini, Jaffar Sabodo, amemshauri Rais John Magufuli kupunguza ukubwa wa Baraza la Mawaziri, akisema hali hiyo itamsaidia kuleta tija zaidi katika utendaji wake.Aidha, Sabodo...
View Article