ASKARI JESHI NA WANAHABARI WALIVYOSHEREHEKEA MIAKA 55 YA UHURU KATIKA KILELE...
Safari ya kuekea kilele cha Uhuru inaanza majira ya saa 5:00 usiku kwa kuianza safari kutoka Kibo Hut.Safari ilikuwa ni usiku kucha Jua likachomoka wakati safari ikiendelea.Kadri kulivyokucha ndivyo...
View ArticleMCHUNGAJI JOSEPHNE MILLER KUTOKA MAREKANI AFURAHIA KUTEMBELEA HIFADHI YA...
Disemba 19 hadi 25 mwaka huu, Mchungaji Josephine Miller (wa tatu kushoto) kutoka Marekani alikuwa akifundisha na kuhubiri katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza. Baada ya huduma hiyo, jana...
View ArticleTrump: UN ni baraza la porojo
Rais mteule wa Marekani , Donald Trump, kwa mara nyingine tena amelikashifu shirika la Umoja wa Mataifa.Kupitia akaunti yake ya Twitter, amesema shirika hilo linamsikitisha kwa madai kwamba badala ya...
View ArticleRais Dkt. Magufuli Awasalimia Wakazi Wa Kisesa, Magu, Na Busega Mkoani Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia wakazi wa Nyamikoma Wilayani Busega wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya...
View ArticleWilfried Zaha: Sitajutia Kuichagua Ivory Coast
Mshambuliaji Wilfried Zaha amesisitiza kutojutia maamuzi aliyoyachukua ya kuitema England na kukubali kurejea katika asili yake (Ivory Coast).Zaha alifanya maamuzi ya kurejea kwenye asili yake mwishoni...
View ArticleGambo Ataka Busara Itumike Utekelezaji Agizo La Waziri Mkuu
Serikali Mkoani Arusha imesema busara ilipaswa kutumika zaidi katika Utekelezaji wa Agizo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alilotoa wakati wa ziara yake Wilayani Karatu katika Bonde la Eyasi kuhusu...
View ArticleJohn Terry Anakaribia Kuondoka Chelsea FC
Klabu ya AFC Bournemouth inaangalia uwezekano wa kuwasilisha ofa ya usajili wa beki na nahodha wa Chelsea John Terry, katika kipindi hiki cha majira ya baridi (Dirisha Dogo).Taarifa zinameeleza kuwa,...
View ArticleMandhari Tofauti Unazo Kutana Nazo Unapandapo Mlima Kilimanjaro.
Uoto wa asili wa aina mbalimbali unavyoonekana wakati unapoanza safari ya kuelekea kituo cha Kibo ukitokea kituo cha Horombo. Mawe yenye michoro mithili ya mistari ya Pundamilia yanaonekana katika eneo...
View ArticleRonald Koeman Kuungana Na Schneiderlin Goodison Park
Kiungo Morgan Schneiderlin yu njiani kuondoka Old Trafford kwa ada ya uhamisho ya Pauni milion 22.Klabu ya Everton inapewa nafasi kubwa ya kukamilisha usajili wa kiungo huyo ambaye amekua hapati nafasi...
View ArticleKamanda Wa Polisi Kilimanjaro,Sacp Mutafungwa Akagua Ujenzi Wa Kituo Cha...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,SACP,Wilbroad Mutafungwa (kushoto mwenye fimbo) akizungumza jambo wakati akikagua maenedeleo ya ujenzi wa kituo cha Polisi cha Kimanganoni Uru wilaya ya Moshi....
View ArticleMasau Bwire Awapa Kongole Wanamsimbazi
Timu ya Simba usiku wa kuamkia hii leo ilifanikiwa kutinga katika hatua ya fainali ya michuano ya kombe la Mapunduzi kisiwani Unguja kwa kuifunga Young Africana katika mchezo wa hatua ya nusu...
View ArticleMemphis Depay Yu Njiani kuondoka Old Trafford
Mshambuliaji kutoka nchini Uholanzi Memphis Depay, ana matumaini makubwa ya kuondoka Old Trafford katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili.Depay ameibua matumaini hayo, kufuatia hali ya kucheza...
View ArticleWakazi Wa Mijini Wahimizwa Kujikita Kwenye Bustani Za Makopo Na Mifuko.
#LakeFm Habari.Wakazi wanaoishi maeneo ya mijini nchini wamehimizwa kujikita kwenye kilimo cha mbogamboga kwa kutumia masalia ya makopo na mifuko ya aina mbalimbali ili kuondokana na uchafunzi wa...
View ArticleClaude Makelele Kuinoa Swansea City
Aliyekua kiungo wa klabu ya Chelsea na Real Madrid Claude Makelele amekua sehemu ya benchi la ufundi la klabu ya Swansea City, ambalo linaongozwa na meneja Paul Clement.Makelele ana ukaribu na Clement...
View ArticleCosato Chumi Atatua Tatizo La Mashuka Katika Zahanati,Vituo Vya Afya Na...
Mbunge wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi akikabidhi mashuka kwenye moja ya Zahanati ilikuwa na upungufu wa mashuka katika kata ya Isalavanu wakati wa ziara yake ya kukagua na kugundua changamoto...
View ArticleDidi Hamann: Man Utd Wana Nafasi Kubwa Ya Kuifunga Liverpool
Gwiji wa soka kutoka nchini nchini Ujerumani Didi Hamann ametoa mtazamo wake kuelekea mchezo wa mahasimu wa jadi katika ligi ya England Liverpool na Man utd, ambao utachezwa mwishoni mwa juma...
View ArticleStan Bakora: Ni Mwaka Wa Ubunifu Kwa Wasanii
Mwigizaji wa vichekesho Stanley Yusuph 'Stanbakora' ameweka wazi kwamba mwaka huu kama msanii asipobadilika na kuwa mbunifu katika kazi zake atapotea haraka katika soko la sanaa.Stanbakora alisema...
View ArticleTrump Aendelea Kutofautiana Na Mashirika Ya Kijasusi
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amezidi kutofautiana na kuyashambulia mashirika ya kijasusi ya Marekani kuhusu tuhuma za udukuzi nchini humo, amesema kuwa kutoa taarifa za uvujaji wa tuhuma za...
View ArticleDarassa Awajibu Waliompinga
Darassa amevunja ukimya kuhusu mjadala uliowasha moto mwishoni mwa mwaka jana baada ya mchambuzi mmoja wa muziki kumtaja kuwa ndiye mwana ‘Hip Hop bora wa mwaka 2016’.Mtazamo huo uliibua vuguvugu la...
View ArticleLuciano Narsingh Kufanyiwa Vipimo Vya Afya
Mshambuliaji wa pembeni kutoka nchini Uholanzi Luciano Narsingh, hii leo anatarajiwa kukamilisha mpango wa kusajiliwa na klabu ya Swansea City akitokea PSV.Tovuti ya gazeti la Daily Mirror imeripoti...
View Article