Quantcast
Channel: Mdimu's Blog
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN NA SERIKALI YA TANZANIA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI ILIYOPO NCHINI

Na Modewjiblog team, MwanzaUmoja wa Mataifa (UN) umesema utaendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania kulinda na kudumisha amani ya pamoja kwa makundi yote ili amani iliyopo itumike kuleta maendeleo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanahabari, viongozi wa dini waaswa kuhusu siasa

WAKATI viongozi wa dini wametakiwa kuacha kufanya siasa na badala yake wahubiri upendo na si upinde, waandishi wa habari wameelezwa kununuliwa na wanasiasa kulainisha maneno yao.Hayo yamesemwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA; Kauli ya Katibu Mkuu wa BASATA kuhusiana na tungo zenye matusi, kejeli...

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawaagiza wasanii, wamiliki na waendeshaji wa wavuti, tovuti na vyombo vya habari hususan radio na runinga kuondoa na kuacha mara moja kurusha au kutangaza au...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBA TANZANIA STAFF STAYING HEALTHY

UBA Tanzania staff during the jogging to bond event which took place on Saturday September 19, 2015.UBA Tanzania staffs participate in the aerobics session during the jogging to bond event which took...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJUMITA WASHINDA TUZO YA MAZINGIRA YA UN

MTANDAO wa Kijamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania (Mjumita) ni kati ya asasi   21 ambazo mwanzoni mwa wiki hii zimetangazwa kuwa washindi wa Tuzo ya Ikweta (Equator Prize) kwa mwaka 2015.Tuzo hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAENDELEO YANALETWA NA WANANCHI WENYEWE ENDAPO WATATAMBUA JINSI YA KUTUMIA...

Haihitaji kuwa na akili sana ili kuiona tofauti ya maisha kati ya miji iliyoendelea na vijijini. Hapa nazungumzia ushirikiano wa wakazi wa maeneo hayo mawili na viongozi wao wa serikali hasa kuanzia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN TANZANIA YAZINDUA RIPOTI YA TEKNOLOJIA NA UBUNIFU 2015, NCHI ZA AFRIKA...

Na Rabi Hume, ModewjiblogMratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Alvaro Rodriguez amezitaka serikali za nchi za Afrika ikiwemo serikali ya Tanzania kutekeleza vyema sera ya sayansi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

25 kuibuka washindi katika droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na...

Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa kampuni ya GAPCO Tanzania, Jane Mwita (kati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde"...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO YATOA DOLA 40,000 KUENDELEZA MIRADI YA WAJASIRIAMALI-JAMII

Dar es Salaam, -Kampuni ya Tigo ikishirikiana na shirika lisilokuwa la kiserikali la Reach for Change wametoa jumla ya dola 40,000 kwa washindi wawili wa shindano la ubunifu kwa wajasiriamali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. KINGWANGALLA ALIVYOTUMBUA MAJIPU YA WATUMISHI WACHELEWAJI WA WIZARA YA...

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla amefanya ukaguzi wa kushtukiza katika ofisi za wizara hiyo kwa kusimama getini kuzuia wafanya kazi wote wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanyarwanda washiriki kura ya maoni kurekebisha katiba yao

Image captionWapiga kura 6 milioni wanatarajiwa kupiga kuraRaia wa Rwanda wameanza kufika vituoni kushiriki kwenye kura ya maoni ya marekebisho ya katiba, ambayo yakiidhinishwa yatamruhusu Rais Paul...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walioghushi vyeti ili kupata kazi serikalini, kiama chao hiki hapa!

Na Mwandishi WetuWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) ameiagiza Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu-UTUMISHI kuwachukulia hatua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: Ligi Kuu ya Muungano ya Netiboli Kati ya Polisi Moro na TTPL Uwanja wa...

Wachezaji wa Timu ya TTPL na Polisi Moro wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano zinazofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar timu ya Polisi Moro imeshinda 36--33.Mchezaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: Ziara nyingine ya Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...

Kaimu Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Damasiana Msalla akimuongoza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla kuelekea kwenye wodi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: Naibu Waziri wa Fedha alipofungua Mkutano wa 25 wa Wadau wa PPF

Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa 25 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF uliobeba kauli mbiu ya "Uendeshaji wa sekta ya hifadhi ya jamii na umuhimu wa kuzingatia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wapendanao kuzawadiwa Pete ya Milioni nne katika Valentine Affair

Na Mwandishi WetuPete iliyotengenezwa kwa madini ya Tanzanite yenye thamani ya shilingi za kitanzania Milioni nne, huenda ikawa mali ya  wapendanao watakaokuwa na bahati,  maana ni miongoni mwa zawadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu Rais Muungano na Mazingira Atembelea Ujenzi wa...

Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina ametembelea Ujenzi wa Mradi wa Mtaro katika Uwanja wa Mpira Mnazi Mmoja akiwa katika ziara zake Zanzibar kutembelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNA HABARI? Wadau wa Kilimo, Ufugaji na uvuvi wamekutana kutoa mwongozo wa...

Na Mwandishi WetuWakulima wadogo wadogo zaidi ya 45 walio katika harakati za maendeleo nchini na  sekta za uvuvi, na ufugaji kutoka mikoa mbalimbali nchini wamekutana jijini Dar es salaam katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA: Barua ya Katibu mtendaji wa BASATA kuhusu wimbo wa Nay wa Mitego

Na Mwandishi WetuBaraza la sanaa la Taifa kupitia katibu wake Mtendaji, imetoa kauli kuhusiana na wimbo wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emanuel Munisi a.k.a Nay wa Mitego.Barua ndiyo kama hii hapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: Mkutano wa Mh Angella Kairuki na Balozi wa Korea Bw. Song, Geum-young

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kulia) akimsikiliza Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Bw. Song, Geum-young alipomtembelea ofisini kwake mapema...

View Article
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live