Bunge La Nigeria Kuchunguza Shambulizi La Ndege Dhidi Ya Kambi Ya Wakimbizi
Bunge la Nigeria limesema litachunguza shambulizi la anga lililofanywa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya kambi ya wakimbizi kaskazini mashariki mwa jimbo la Borno, ili kuthibitisha kama shambulizi hilo...
View ArticleMemphis Depay Atua Ufaransa
Mshambuliaji wa pembeni kutoka nchini Uholanzi Memphis Depay ametua mjini Lyon nchini Ufaransa, tayari kwa vipimo vya afya kabla ya kukamilisha usajili wa kujiunga na Olympic Lyon.Mshambuliaji huyo...
View ArticleNchi Za Afrika Mashariki Zachukua Tahadhari Ya Mafua Ya Ndege.
Nchi za Afrika Mashariki zimeanza kuchukua tahadhari siku chache baada ya mlipuko wa homa ya mafua ya ndege kugunduliwa nchini Uganda.Serikali ya Tanzania inajiandaa kuunda timu ya wataalamu kutathmini...
View ArticleDiego Costa Aitega Chelsea FC
Baada ya kupatikana kwa suluhu baina ya viongozi wa benchi la ufundi la Chelsea dhidi ya Diego Costa, mshambuliaji huyo amaibuka tena na kutikisa kibiriti cha kutaka alipwe mshahara mkubwa.Costa...
View ArticleMadaktari Bingwa Kituo Cha Moyo Cha Jkci Wafanikiwa Kupandikiza Mishipa Ya...
Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Kituo cha Moyo cha Jakaya Kikwete (JKCI), Dk. Evarist Nyawawa (kushoto) na Dk Hussein Hassanali wakimfanyia upasuaji mmoja wa wagonjwa ambapo wengine huwapandikiza...
View ArticleGuangzhou Evergrande Kung'oa Arda Turan Camp Nou
FC Barcelona wameonesha kuwa tayari kumuachia kiungo wao kutoka nchini Uturuki Arda Turan, kwa kuitaka klabu ya Guangzhou Evergrande ya nchini China kutoa kiasi cha pauni milioni 44 kama ada ya...
View ArticleOmbi La Zanzibar Kujadiliwa CAF
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limepitisha ombi la Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) la Zanzibar kuwa mwanachama kamili wa CAF. Katika kikao chake cha Kamati ya...
View ArticleFIFA Yamteua Malinzi Mjumbe Kamati Ya Maendeleo
Shirikisho la soka duniani (FIFA) limemteua Rais wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maendeleo ya soka ya FIFA kwa miaka minne ijayo. Uteuzi huo unaanza...
View ArticleMakamu Wa Rais Wa Gambia Ajiuzulu
Makamu wa rais nchini Gambia Isatou Njie-Saidy amejiuzulu saa chache kabla ya muda wake wa kuongoza kutimia, AFP imenukuu duru za familia yake.Waziri wa mazingira na elimu ya juu pia alijiuzulu,ikiwa...
View ArticleAbbas: Mwaka Huu Ni Fursa Ya Mwisho Ya Kutekeleza Mpango Wa Nchi Mbili
Rais Mahmoud Abbas wa Palestina amesema, mwaka huu ni fursa ya mwisho ya kutekeleza ufumbuzi wa nchi mbili wa kutatua mgogoro wa Palestina. Rais Abbas alisema hayo alipokutana na rais Andrzej Duda wa...
View ArticleKauli Ya Mwijage Kuelekea Tanzania Ya Viwanda
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema kuwa ukuaji wa uchumi unapaswa kwenda sambamba na kasi ya kukua kwa maendeleo nchini.Ameyasema hayo wakati wa kuweka jiwe la msingi la...
View ArticlePerez Ampeleka Keylor Navas Man city
Rais wa klabu ya Real Madrid Florentino Perez, amefungua milango kwa Man City ili kufanikisha usajili wa Mlinda mlango kutoka nchini Costa Rica Keylor Navas.Perez ametangaza kumuweka sokoni Navas...
View ArticleAFCON 2017: Sadio Mane, Henri Saivet Waivusha Senegal
Timu ya taifa ya Senegal imekua ya kwanza kutinga katika hatau ya robo fainali ya michuano ya Afrika (AFCON 2017) inayoendelea nchini Gabon.Senegal wamefikisha point sita, baada ya kuifunga timu ya...
View ArticleAdama Barrow Aapishwa Kuwa Rais Mpya Wa Gambia
Bw. Adama Barrow ameapishwa kuwa rais wa Gambia kwenye ubalozi wa nchi hiyo mjini Dakar, Senegal. Akihutubia muda mfupi baada ya kuapishwa Bw Barrow aliwashukuru waungaji mkono wake ambao kwa mara ya...
View ArticleTPB Bank Yaja Katika Muonekano Na Jina Jipya
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango (kulia) akizindua nembo mpya na jina jipya la iliyokuwa Benki ya Posta Tanzania na sasa inajulikana kama TPB Bank Plc, ikiwa ni mabadilko yaliyofanywa baada...
View ArticleGabriel Fernando de Jesus Atua Rasmi Etihad Stadium
Hatimae klabu ya Man City imekamilisha mpango wa usajili wa kinda kutoka nchini Brazil na klabu ya Palmeiras Gabriel Fernando de Jesus.Man City wamethibitisha mpango wa kumnasa mshambuliaji huyo mwenye...
View ArticleSerikali Yaonya Wawekezaji Wanaochochea Migogoro
Na Woinde Shizza,Arusha.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kuwa serikali haitasitakuwachukulia hatua wawekezaji wanaochochea migogoro katika wilaya yaNgorongoro na kusababisha uvunjifu wa...
View ArticleRahman, Pitroipa, Zongo Wazigharimu Ghana, Burkina Faso
Beki wa timu ya taifa ya Ghana Baba Rahman pamoja na wachezaji wawili wa kikosi cha Burkina Faso hawatoshiriki tena michezo ya fainali za Afrika (AFCON 2017), zinazoendelea nchini Gabon, kwa sababu za...
View ArticleFid Q Amuandikia Ujumbe Nay Wa Mitego
Baada ya kauli ya Nay wa Mitego, Fid Q nae amuandikia ujumbe.‘Sijiwezi’ ndio wimbo wake Rapper Nay wa Mitego ambao sasa unafanya vyema katika vyombo vya habari ndani na nje ya nchi.Mapema leo kupitia...
View ArticleRais Kagame Asisitiza Mchango Wa Sekta Binafsi Kwenye Maendeleo Ya Mtandao Wa...
Rais Paul Kagame wa Rwanda amesisitiza mchango wa sekta binafsi katika maendeleo ya mkakati wa kidigitali kwenye mkutano wa baraza la uchumi duniani WEF mjini Davos. Rais Kagame amesema ingawa serikali...
View Article