Rais Kenyatta Afanya Mabadiliko Kamati Ya Kupambana Na Ufisadi
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemteua askofu mkuu aliyestaafu Bw Eliud Wabukala kuwa kiongozi mpya wa Kamati ya kupambana na ufisadi nchini Kenya EACC kwa muda wa miaka mitano.Bw Wabukala atachukua...
View ArticleWenger Amkana Hadharani Dimitri Payet
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amemkana kiungo mshambuliaji kutoka nchini Ufaransa na klabu ya West Ham Utd Dimitri Payet.Wenger amemkana kiungo huyo, baada ya kuhusishwa na taarifa za kuwindwa na...
View ArticleJeshi La Uganda Lawakamata Waasi Wa Zamani Wa DRC
Jeshi la Uganda jana liliwakamata wapiganaji 101 wa kundi la zamani la waasi nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo M23 wakati walipojaribu kurudi nchini mwao.Msemaji wa serikali ya Uganda Bw Ofwono...
View ArticleThe Hammers Wamkomalia Jose Fonte
Klabu ya West Ham Utd ipo katika harakati za kuisaka saini ya beki wa kati kutoka nchini Ureno na klabu ya Southampton Jose Fonte, kwa dau la Pauni milioni 10.SunSport wameripoti kuwa, juma lililopita...
View ArticleGianni Infantino Adhamirai Kubadili Sheria Za Soka
Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino anaonekana kutaka kubadili soka kwa kuondoa kila kitu cha Sepp Blatter na kuleta mambo yake. Baada ya kuongeza timu zitakazoshiriki kombe la...
View ArticleLissu Akana Kuchapisha Taarifa Za Uchochezi
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amekana kuchapisaha taarifa za uchochezi zenye kichwa cha habari kisemacho: 'Machafuko yaja Zanzibar' kwa sababu yeye si mchapishaji.Lissu amekana mashtaka hayo...
View ArticleDani Carvajal Aumia, Kuwakosa SSC Napoli
Beki wa pembani wa mabingwa wa soka duniani klabu ya Real Madrid Dani Carvajal, huenda akaukosa mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya 16 bora wa michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya...
View ArticleDhahabu Zakauka Buzwagi, Mgodi Kupigwa Kufuli Desemba
Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeambiwa kuwa Mgodi wa dhahabu wa Buzwagi utafungwa ifikapo Desemba mwaka huu, Kamati ilipata taarifa hiyo mara baada ya kufanya ziara na kuutaka Uongozi wa Mgodi...
View ArticleLiverpool Kumuuza Jumla Mamadou Sakho
Klabu ya Liverpool imekataa ofa ya usajili wa mkopo iliyotumwa huko Alfield ikimlenga beki wa kati kutoka nchini Ufaransa Mamadou Sakho.Uongozi wa Southampton ulituma ofa hiyo kwa kuamini huenda...
View ArticleKamati Ya Bunge Ya Kudumu Ya Utawala Na Serikali Za Mitaa Yatembelea Mfuko Wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwakaribisha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa...
View ArticleDimitri Payet Atengwa Na Wachezaji Wenzake
Mikasa ya kutengwa imeendelea kumuandama kiungo mshambuliaji kutoka nchini Ufaransa Dimitri Payet, kufuatia sakata la kushinikiza auzwe katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili.Payet ameendelea...
View ArticleKamal Ismail: Sudan Haitaharibu Maslahi Ya Nchi Nyingine
Waziri wa mambo ya nje wa Sudan Kamal Ismail amesema, Sudan haitaharibu maslahi ya nchi nyingine hasa zile ambazo kwa muda mrefu zimeunga mkono na kuisaidia Sudan kutokana na Marekani kuondoa baadhi ya...
View ArticleBaba Wa Lionel Messi Awatoa Hofu Mashabiki Wa FC Barcelona
Mshambuliaji machachari wa FC Barcelona Lionel Messi yupo tayari kusaini mkataba mpya ambao utamuwezesha kuendelea kuitumikia klabu hiyo.Baba wa mshambuliaji huyo, amewathibitishia mashabiki wa mwanae,...
View ArticleAlexis Sanchez Awaweka Njia Panda Mashabiki
Mashabiki wa klabu ya Arsenal wamemuangukia mshambuliaji Alexis Sanchez kwa kumtaka asichukue maamuzi ya kuondoka klabuni hapo, baada ya kuandika ujumbe mzito kupitia mtandao wa kijamii wa...
View ArticleAdhabu Ya Kufungiwa Yaitesa Real Madrid
Adhabu ya kufungiwa kusajili katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili, imeanza kuigharimu klabu bingwa duniani (Real Madrid) baada ya kushindwa kufanikisha usajili wa kinda kutoka nchini Sweden...
View ArticleOPEC Kuendelea Kupunguza Uzalishaji Wa Mafuta
Waziri wa nishati wa Saudi Arabia Khalid bin Abdulaziz Al Falih amesema, nchi wanachama wa Shirika la Nchi Zinazozalisha Mafuta kwa Wingi (OPEC) zitapunguza tena uzalishaji wa mafuta.Bw. Falih amesema,...
View ArticleTheresa May Kukutana Na Trump
Waziri mkuu wa Uingereza,Theresa May anatarajia kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump Ijumaa wa juma hili.Theresa May atajadili kuongeza uhusiano maalumu baina ya Uingereza na Marekani pale...
View ArticleMajimaji FC Kumsubiri Mshindi Wa Mighty Elephant Vs Shujaa FC
Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) limeamuru mchezo wa mzunguuko wa nne ya Kombe la Azam Sports Federeation Cup HD (ASFC) kati ya Mighty Elephant na Shujaa ya Kigoma urudiwe Jumatano.Hatua hiyo...
View ArticleClaudio Ranieri Awakingia Kifua Wachezaji Wake
Meneja wa klabu bingwa nchini England (Leicester City) Claudio Ranieri amekubali kubeba mzigo wa lawama, baada ya kikosi chake kukubali kubanjuliwa mabao matatu kwa sifuri dhidi ya Southampton hapo...
View ArticleTaasisi Ya Agri-Busness Media Innitiative Ya Jijini Mwanza Yawahimiza Vijana...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Agri-Busness Media Innitiative In Tanzania (AMI-TZ) ya Jijini Mwanza, Deborah Mallaba, akikagua shamba la hekari mbili la taasisi hiyo ambalo lina mkusanyiko wa matunda na...
View Article