Wabunge Wanawake Wajumuika Kufanya Mazoezi Ya Pamoja Uwanja Wa Jamhuri Mjini...
Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongea na Wabunge (hawapo pichani) pamoja na Waandishi wa Habari kuhusu umuhimu wa kufanya mazoezi kwa ajili ya kulinda afya leo...
View ArticleDRC Yaikabidhi Burundi Watuhumiwa Zaidi Ya 128 Wa Uasi
Aimee Laurentine KanyanaWaziri wa sheria wa Burundi Aimee Laurentine Kanyana amesema, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC imewakabidhi watuhumiwa zaidi ya 128 wa uasi kwa mamlaka ya...
View ArticleDavid Mbevi: Hakuna Askari Wa Kenya Aliyeuawa Na Wapiganaji Wa Al Shabaab
Serikali ya Kenya imesema hakuna askari wake aliyeuawa baada ya wapiganaji wa kundi la Al Shabaab la Somalia kuvamia kambi ya polisi iliyoko kaskazini mwa nchi hiyo.Ofisa wa serikali ya kanda David...
View ArticleMino Raiola: Balotelli Ataamua Mwenyewe
Mshambuliaji wa klabu ya Nice ya Ufaransa Super Mario Balotelli mwishoni mwa msimu huu, atafanya maamuzi binafsi ya kuendelea kuitumikia klabu hiyo ama kuondoka.Wakala wa mshambuliaji huyo aliyekua...
View ArticleUmoja Wa Mataifa Walaani Shambulio La Msikiti Nchini Canada
Umoja wa Mataifa umelaani shambulizi la kigaidi lililotokea kwenye msikiti mmoja huko Quebec, nchini Canada, ambapo watu sita waliuawa.Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja huo Stephane Dujarric amesema,...
View ArticleBenki Kuu Ya Tanzania (BOT) Haina Mamlaka Ya Kuzipangia Taasisi Za Fedha...
Benny Mwaipaja-WFM, DodomaSERIKALI imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania haina mamlaka kisheria ya kuweka ukomo wa riba au riba elekezi itakayotumiwa na taasisi za fedha nchini zikiwemo benki katika kutoa...
View ArticleFemina Hip Yawajengea Vijana Nchini Uwezo Wa Uongozi Na Kujiamini.
Mkurugenzi na mwanzilishi wa FeminaHip Dr. Minou Fuglesanga kizungumza wakati wa Kongamano la mwaka la Vijana leo jijini Dar es Salaam.Jopo la washiriki wa mjadala katika kongamano la vijana wa...
View ArticleWafanyabiashara Wa Tanzania Tupo Tayari Kwa Ubia- Dkt Mengi
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Dkt. Reginald Mengi (katikati) akifurahi jambo na Mwenyekiti wa Shirikisho la Wenye Viwanda Nchini (CTI) Dr. Samwel Nyantahe (kulia) na Mkurugenzi...
View ArticleMakala: Mafanikio Ya Kukabiliana Na Ujangili Kimkakati Yaanza Kuonekana
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi alipofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya hiyo (MPINGO HOUSE) jijini Dar es...
View ArticleWenger Akiri Kumfuatilia Kylian Mbappe
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amekiri kuwa katika harakati za kumfuatilia mshambuliaji kinda wa klabu ya AS Monaco Kylian Mbappe.Wenger amethibitisha taarifa hizo, kwa kunadi hadharani kuwa anaamini...
View ArticleSerikali Yazindua Mwongozo Wa Ujenzi Wa Barabara Zinazopitisha Magari Machache
Mkurugenzi wa Barabara, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Ven Ndyamukama, akitoa hotuba ya utangulizi katika uzinduzi wa Mwongozo wa ujenzi wa Barabara zinazotumiwa na magari machache,...
View ArticleRipotini Vyuo Vikuu Vinavyotoza Kwa Dola – Serikali
Mhandisi Stella ManyanyaSerikali imetoa wito kwa Watanzania kutoa taarifa wizara ya Elimu ikiwa kuna chuo chochote kinachotoza ada kwa Watanzania fedha za Kigeni ili hatua stahiki za kisheria...
View ArticleRobert Pires: Chelsea Itaamua Mustakabali Wa Arsenal
Gwiji wa klabu ya Arsenal Robert Pires, amesema nafasi ya mwisho ya ubingwa wa England kwa klabu hiyo msimu huu, ipo mikononi mwa Chelsea.Pires ambaye kwa sasa ni sehemu ya benchi la ufundi la Arsenal,...
View ArticleMakamu Wa Rais Mhe. Samia Ahudhuria Mkutano Wa Jopo La Kuwawezesha Wanawake...
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano wa Jopo la Kuwawezesha Wanawake Kiuchumi linalofanyika jijini Dubai.Makamu wa...
View ArticleTTCL Yaondoa Changamoto Ya Dawa Kituo Cha Afya Cha Tandale
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Waziri W.Kindamba akikabdhi msaada wa dawa na vifaa tiba kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Tandale kwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Tandale Dkt Emmanuel Kazimoto na...
View ArticleMayrose Na Baadhi Ya Watanzania Waishio Marekani Katika Kampeni Ya Kuinua...
Mtaalam wa Maendeleo ya Watu Mayrose Kavura Majinge akieleza umuhimu wa Kanuni ya Dhahabu "The Golden Rule" Katika kuondoa Ufisadi na maovu mbalimbali katika jamii yetu. Profesa Nicholls Boas wa Chuo...
View ArticleVyama Vya Siasa Vyatakiwa Kutoa Fursa Za Uongozi Kwa Wanawake
Afisa Programu na Uchambuzi wa TGNP, Deogratius Temba (kulia) akiwasilisha mada katika semina kwa baadhi ya madiwani, watendaji na wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya tatu za Mkoa wa Dar es...
View ArticleWatalii Watatu Wa China Wajeruhiwa Kwa Risasi Afrika Kusini
Watalii watatu wa China wamejeruhiwa baada ya kuporwa na genge la wahuni kwenye hoteli moja nchini Afrika Kusini.Tukio hilo lilitokea wakati kundi la watu wanne waliokuwa na silaha, lilipovamia hoteli...
View ArticleMashindano Ya Mbio Za Magari Afrika Kufanyika Tanzania
Mashindano ya mbio za magari Afrika yanatarajiwa kufanyika nchini Tanzania mwezi Agosti mwaka huu kutafuta bingwa wa mbio za magari Afrika.Afisa uhusiano wa chama cha mbio za magari Tanzania (AAT),...
View ArticleUzinduzi Wa Bodi Ya Tano (5) Ya Wadhamini Wa Mfuko Wa Pensheni Wa LAPF
Mgeni Rasmi kwenye hafla ya uzinduzi wa Bodi ya tano (5) ya Wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mh. George Simbachawene (Mb) alipokea maelezo ya utangulizi....
View Article