Dc Tanganyika,Saleh Mhando Akabidhi Hundi Ya Shilingi Milioni 56.7 Kwa Ajili...
Kazi ya kuwawezesha vijana na akinamama katika wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi,imeanza rasmi. Mkuu wa Wilaya hiyo ya Tanganyika Mh.Saleh Mhando akiwa sambamba na viongozi wengine mbalimabli,leo...
View ArticleWaliogomea Maiti Hospitali Ya Amana Jijini Dar Es Salaam Kwenda Kwa Waziri Wa...
Mama wa mtoto huyo, Julieth DaudiNa Dotto MwaibaleSAKATA la Julieth Daudi (19) mkazi wa Tabata Relini pamoja na ndugu zake kususia kuchukua mwili wa mtoto aliyejifungua kwa madai kuwa mtoto huyo hakuwa...
View ArticleRaundi Ya Sita Azam Sports Federation Cup 2016/2017
Raundi ya Sita ya mechi za kuwania Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) yaani Azam Sports Federation Cup – 2016/17, itaanza Februari 24, 2017 kwa michezo minne kuchezwa kwa siku hiyo kuanzia saa 10.00...
View ArticleMhadhara Wa 8 Wa Kisayansi Wafanyika Katika Hospitali Ya Kairuki Mikocheni
Dokta Winnie Mpanju-Shumbusho akitoa mada kwenye mhadhara wa 8 wa Kisayansi kuhusu Uimarishaji wa Mifumo ya Utoaji Huduma za Afya na Uzuiaji wa Magonjwa kwenye nchi za Kiafrika katika Zama za Maendeleo...
View ArticleKimondo Super Fc Yashushwa Hadi Ligi Ya Mkoa
Timu ya Kimondo Super SC imeshushwa madaraja mawili (hadi Ligi ya Mkoa), na matokeo ya mechi zake zote ilizocheza katika kundi la B yamefutwa kwa kushindwa kufika uwanjani kucheza mechi dhidi ya JKT...
View ArticleSerikali Yaendelea Kuboresha Mazingira Ya Ajira Kwa Vijana
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha hoja katika mkutano wa Tano wa Bunge linaloendelea Mjini Dodoma.Na mwandishi wetu.Waziri...
View ArticleHugo Broos: Ahsante Kwa Kila Aliekua Nasi Gabon
Kocha wa mabingwa wa Afrika mwaka 2017 timu ya taifa ya Cameroon Hugo Broos, amewashukuru wachezaji wake 23 aliokwenda nao kwenye michuano ya AFCON iliyomalizika nchini Gabon siku ya jumapili.Broos...
View ArticleWasomi Wapongeza Usawa Wa Jinsia Umoja Wa Afrika (AU)
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu(AfCHPR)Sukhdev Chhatbar akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu kozi ya sheria katika Chuo Kikuu cha Sebastian Kolowa...
View ArticleAFCON 2017: CAF Yataja 11 Bora
Wachezaji wa timu ya taifa ya Ghana Christian Atsu na Daniel Amartey wametajwa katika kikosi cha AFCON 2017 (CAF Best XI for the 2017 Africa Cup of Nations).Atsu, ambaye anaitumikia klabu ya Newcastle...
View ArticleLissu Akamatwa Na Polisi, Asafirishwa Kutoka Dodoma Hadi Dar
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi wakati akitoka bungeni mkoani Dodoma na kusafirishwa usiku kwenda Jijini Dar es salaam.Lissu...
View ArticleCUF Hali Bado Tete, Wasema Hawatakaa Meza Moja Na Lipumba
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema hakitafanya mazungumzo kusaka suluhu na mwenyekiti wake, Profesa Ibrahim Lipumba anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa na kwamba, kipo tayari kwa lolote hata...
View ArticleMan City: Sergio Kun Aguero Hauzwi
Matajiri wa mjini Manchester Man City, wamesisitiza suala la kutokua tayari kumuuza mshambuliaji wao kutoka nchini Argentina Sergio Kun Aguero, ambaye hakuwa sehemu ya kikosi cha kwanza katika michezo...
View ArticleUmoja Wa Mataifa Waingiwa Hofu Juu Ya Uhaba Wa Maji Mjini Aleppo, Syria
Msemaji wa Umoja wa Mataifa Bw. Stephane Dujarric jana alieleza wasiwasi wa umoja huo juu ya uhaba wa maji unaoathiri watu takriban milioni 1.8 mjini Aleppo na sehemu zilizoko karibu nchini...
View ArticleBunge La Israel Lahalalisha Maeneo Ya Makazi Ukingo Wa Magharibi
Bunge la Israel limepitisha sheria ya kuhalalisha maeneo ya makazi ya Wayahudi yaliyoko Ukingo wa Magharibi, licha ya kulaaniwa na jumuiya ya kimataifa kwa kukiuka katiba.Kwa mujibu wa sheria hiyo,...
View ArticleSomalia: Hakuna Ndege Kuruka Mogadishu Siku Ya Uchaguzi
Somalia imesitisha safari za ndege zinazoingia na kutoka katika Uwanja wa Ndege wa Mogadishu, siku ya Jumatano ambapo uchaguzi wa Rais utafanyika.Ikiwa ni wa kwanza kufanyika katika kipindi cha miaka...
View ArticleAndre Marriner Kuamua Fainali Ya EFL Cup
Mwamuzi Andre Marriner ametajwa na chama cha soka nchini England FA, kwa ajili ya kusimamia sheria 17 za mchezo hatua ya fainali ya kombe la ligi (EFL CUP), kati ya Man Utd dhidi ya Southampton ambao...
View ArticleNamaingo Watakiwa Kuchangamkia Uzalishaji Wa Malighafi Ya Viwanda
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mary Mashingo (katikati),akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa Ushirika wa Vikundi vya Biashara Dar es Salaam (Vibidar Namaingo), Grace Lobulu katika...
View ArticleZiara Ujumbe Shirika La Ndege Tanzania ATCL Visiwani Komoro
Bw. Ladislaus Matindi akisamilimiana na Gavana wa Anjoun Mhe. Abdou Salam Abdou. Mazungmzo yakiendelea katika ofisi ya Gavana. Mhe Balozi akilakiwa na viongozi mbalimbali wa Kisiwa. Mhe Balozi...
View ArticleInter Milan Yapata Adhabu Juu Ya Adhabu
Klabu ya Inter Milan imepata pigo la pili, baada ya kupoteza mchezo wa ligi ya nchini Italia mwishoni mwa juma lililopita dhidi ya mabingwa watetezi Juventus FC, waliochomoza na ushindi wa bao moja kwa...
View ArticleArsenal Wasubiri Majibu Ya Hector Bellerin
Klabu ya Arsenal inasubiri majibu ya vipimo vya MRI alivyofanyiwa beki wa pembeni Hector Bellerin, baada ya kugongana na Marcos Alonso wakati wa mchezo wa ligi ya nchini England uliochezwa mwishoni mwa...
View Article