Quantcast
Channel: Mdimu's Blog
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Wa Turkmenistan Kuanza Kipindi Chake Cha Pili Cha Urais

Tume ya uchaguzi ya Turkmenistan imetangaza kuwa, rais wa sasa wa nchi hiyo Gurbanguly Berdimuhamedov ameshinda katika uchaguzi wa rais uliofanyika jana kwa kupata asilimia 97.7 ya kura, hivyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashirika Ya Kibinadamu Yatafuta Dola Bilioni 1.6 Kuwasaidia Sudan Kusini

Mashirika ya kibinadamu yanatafuta dola bilioni 1.6 za kimarekani kwa ajili ya misaada ya kuokoa maisha na ulinzi kwa watu milioni 5.8 nchini Sudan Kusini mwaka huu.Mratibu wa mambo ya kibinadamu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Wa Marekani Awapigia Simu Marais Wa Afrika Kusini Na Nigeria

Rais Donald Trump wa Marekani jana aliwapigia simu rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini na Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria. Kwenye mazungumzo rais Zuma alimpongeza Trump kwa kuchaguliwa kuwa rais na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balaa La Mgodi Laibukia Mara

Takribani mwezi mmoja sasa tangu wachimbaji 15 wafukiwe na kifusi Nyarugusiu Wilayani Geita, balaa jingine la aina hiyo limetokea wilayani Butiama mkoani Mara, katika mgodi wa Buhemba ambapo watu 11...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makonda Amkumbusha Spika Kuwapima Wabunge Kilevi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, amemkumbusha Spika wa Bunge. Job Ndugai, kuhusu kusudio lake la kuanza kuwapima wabunge kubaini kama wametumia kilevi kabla hawajaiingia kwenye ukumbi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yavuna Shil. Mil. 466.4 Kodi Ya Mnada Wa Tanzanite

Serikali imepata kodi ya Shil mil. 466.4 kutokana na mauzo ya Sh9.3 bilioni ya madini ya Tanzanite kupitia mnada uliofanyika mjini Arusha. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Uthaminishaji wa Almasi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fares Hachi Atimiza Ndoto Za Kucheza Afrika Kusini

Kocha wa mabingwa wa soka Afrika kusini Mamelodi Sundowns Pitso Mosimane amekiongezea nguvu kikosi chake kwa kumsajili beki wa kushoto kutoka nchini Algeria Fares Hachi akitokea ES Setif.Mamelodi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Marco Verratti, Gerard Pique Kuongeza Chachu PSG Vs Barca

Mabingwa wa soka nchini Ufaransa Paris St-Germain wamepata nguvu baada ya kupokea taarifa njema za kurejea kwa kiungo kutoka nchini Italia Marco Verratti, kuelekea katika mchezo wao wa ligi ya mbingwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bilioni 18 Kutumika Kutatua Changamoto Ya Maji Dar

Mtambo unaotumika kuchoronga Visima Virefu ukiwa katika eneo la Kimbiji unapotekelezwa mradi mkubwa wa uchimbaji visima virefu.Serikali kupitia Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAF Yaionya COSAFA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limelionya baraza la vyama vya soka kusini mwa Afrika COSAFA, kufuta mipango yake ya kufanya vikao na mabaraza mengine ya soka barani humo.COSAFA wameonyesha kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mario Gotze Kuikosa Benfica

Kiungo Mario Gotze atakosa mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya hatua ya 16 bora utakaoshuhudia Borussia Dortmund wakipapatuana na Benfica baadae hii leo.Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 24,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Guardiola: Hatutarajii Majibu Mabaya Ya Vipimo Vya Gabriel Jesus

Benchi la ufundi la Man City lina matumaini ya kusikia taarifa za kutia moyo kuhusu majeraha yaliyomfika mshambuliaji wao kutoka nchini Brazil Gabriel Jesus, wakati wa mchezo wa ligi ya nchini England...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sita Bora Ligi Kuu Ya Wanawake Tanzania Bara 2016/2017

Baada ya timu sita (6) kutinga hatua ya Sita Bora ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Shirilkisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kufahamika, ratiba rasmi ya michuano hiyo, imetoka na inaonyesha kuwa hatua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pongezi Lipuli Kupanda Daraja

Rais wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi ameuandikia barua uongozi wa Lipuli ya Iringa kwa mafanikio ya kupanda daraja msimu huu kutoka Ligi Daraja la Kwanza hadi Ligi Kuu ya Vodacom...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Azam Sports Federation: Simba, African Lyon Kucheza Alhamisi Februari 16

Raundi ya Sita ya mechi za kuwania Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) yaani Azam Sports Federation Cup – 2016/17, itaanza Februari 16, 2017 badala ya Februari 24, mwaka huu.Mchezo huo awali ulipangwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serengeti Boys Kutembelea Sober House

Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’, Jumamosi tarehe 04 Machi, 2017, watatembelea Kituo cha vijana wanaopatiwa matibabu baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ligi Kuu Ya Tanzania Bara

Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kesho kwa michezo miwili tu.Michezo ya kesho kwa mujibu wa Ratiba ya VPL ni kati ya Ndanda FC itakayoikaribisha Mbao FC ya Mwanza kwenye Uwanja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mayanga Akabidhi Programu Tff

Kocha Mkuu wa timu ya Soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salum Mayanga amekabidhi programu ya miezi sita kwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Salum Madadi akianzia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FIFA, NFF Kumleta Messi, Maradona, Zidane Afrika

Magwiji wa soka kutoka nchini Argentina Diego Armando Maradona na Lionel Messi watakua sehemu ya wachezaji watakaocheza mchezo wa hisani, utakaoashiria kupinga vitendo vya kigaidi Mei 21 mjini Abuja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSG Yaisasambua FC Barcelona

Mabingwa wa soka nchini Ufaransa Paris Saint-Germain wamewasasambua mabingwa wenzao kutoka Hispania FC Barcelona, kwa kuwashindilia mabaoa manne kwa sifuri katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya...

View Article
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live