Borussia Dortmund Yashindwa Kuunguruma Ureno
Mabingwa wa soka nchini Ureno klabu ya Sport Lisboa e Benfica wamepata ushindi mwembamba wa bao moja kwa sifuri dhidi ya wawakilishi wa Ujerumani kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya...
View ArticleGabriel Jesus Ampa Unyonge Pep Guardiola
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Man City Gabriel Jesus yupo kwenye hatari ya kukosa michezo iliyobaki kwa msimu huu, kufuatia majeraha ya kifundo cha mguu aliyoyapata wakati wa mchezo wa ligi kuu ya...
View ArticleVicente Calderon Kutumika Fainali Ya Kombe La Mfalme
Shirikisho la soka nchini Hispania (RFEF), limeutangaza uwanja wa  Vicente Calderon kuwa mwenyeji wa mchezo wa fainali ya kombe la Mfalme ambao utazikutanisha FC Barcelona na Deportivo Alaves, Mei...
View ArticleBASATA Wamuhoji Nikki Mbishi
Msanii wa muziki wa hip hop Nikki Mbishi amedai amepokea taarifa ya kuitwa na Baraza la Sanaa Tanzania ‘BASATA’ kwajili ya mazungumzo kuhusu wimbo wake uitwao ‘I am sorry JK’.Rapper huyo amedai aliitwa...
View ArticleMwakilishi Mkazi Wa Undp,Alvaro Rodriguez Aongoza Zoezi La Kuotesha Miti...
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Alvaro Rodriguez akisalimiana na wakazi wa kijiji cha Maruwa wilaya ya Moshi...
View ArticleKiswahili Lugha Inayokua Kwa Kasi Duniani
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wadau wa sekta ya Utamaduni walipokutana nao Jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kukifanya Kiswahili kuwa bidhaa...
View ArticleFA Kuibana Hull City
Chama cha soka nchini England (FA) kimeifungulia mashataka klabu ya Hull City kwa kushindwa kuwatuliza wachezaji wake, wakati wa mchezo wa ligi dhidi ya Arsenal uliochezwa mwishoni mwa juma lililopita...
View ArticleAirtel Yamwaga Zawadi Kwa Wateja Wa Tecno Smartphone Siku Ya Valentine
Meneja wa Tecno Mobile Tanzania, Marco Wang akisoma jina la mshindi wakati wa kuendesha bahati simu ya jishindie Tecno smartphone kupitia promosheni maalumu iliyoendeshwa na Airtel pamoja na Tecno...
View ArticleChina Na Msumbiji Zaahidi Kupanua Ushirikiano
China na Msumbiji zimeahidi kupanua ushirikiano wa kunufaishana katika maeneo mbalimbali. Ahadi hiyo imetolewa wakati mwenyekiti wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la China Bw. Yu Zhengsheng...
View ArticleMaonyesho Ya Urembo Yapigwa Marufuku
Waziri wa tamaduni nchini Guinea amepiga marufuku maonyesho ya urembo hadi pale vipengee vipya vya maadili vitakapo tangazwa.Serikali ya Guinea imefika maamuzi hayo kufuatia maonyesho ya urembo baada...
View ArticleBenki Za ETI Na Afreximbank Kufadhili Miradi Binafsi Na Shughuli Za Biashara...
Benki ya ETI na Benki ya Exim ya Afrika zimesaini makubaliano yanayolenga kufadhili miradi ya sekta binafsi na shughuli za biashara barani Afrika.Benki ya ETI imetoa taarifa ikisema, makubaliano hayo...
View ArticleUchimbaji Visima Vikubwa 20 Vya Dawasa Kukamilika Mwezi Ujao
  Maji yakiruka juu baada ya kutobolewa mwamba mita  600 kutoka katika moja ya visima 20 vinavyojengwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) katika eneo la Kimbiji, Kigamboni Na...
View ArticleWafanyakazi 32 Wa Umoja Wa Mataifa Wauawa Katika Mashambulizi Mwaka Jana
Kamati ya usalama na uhuru wa huduma za kiraia za kimataifa ya Chama cha wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa imetoa taarifa ikisema wafanyakazi zaidi ya 32 wa umoja huo waliuawa katika mashambulizi ya...
View ArticleWakuvanga Ageukia Kilimo
Ni muda mrefu sasa tangu wasanii wachekeshaji wa kundi la Original Comedy kusimamisha kuendesha kipindi chao cha Original Comedy, Sababu maalumu za kusimama kwa kipindi hiko hazijaweza kufahamika mara...
View ArticleLassana Diarra Aachana Na Olympique Marseille
Klabu ya Olympique Marseille imetangaza kuachana na kiungo kutoka nchini Ufaransa Lassana Diarra kwa kuvunja mkataba wake.Kiungo huyo ambaye aliwahi kuzitumikia Real Madrid, Chelsea na Arsenal,...
View ArticleThomas Tuchel Amtetea Pierre-Emerick Aubameyang
Meneja wa klabu ya Borussia Dortmund Thomas Tuchel amemkingia kifua mshambuliaji wake kutoka nchini Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, kufuatia kitendo cha kukosa mkwaju wa penati katika mchezo wa mkondo...
View ArticleRwanda Wakaribia Kumtangaza Kocha Mkuu
Makocha Samson Siasia na Winfried Schafer wanatajwa kuwa katika ushindani wa hali ya juu wa kuwania ukuu wa benchi la ufundi la timu ya taifa ya Rwanda.Schafer aliiongoza timu ya taifa ya Cameroon...
View ArticleMb Dogg: Muziki Ni Kupanda Na Kushuka
Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyefanya vizuri sana miaka ya nyuma kwa nyimbo nzuri zenye mpangilio wa sauti zenye mvuto Mbwana Mohamed, anayejulikana kwa jina la 'Mb Dogg', ameeleza kuhusiana na...
View ArticleAncelotti: Ninamuheshimu Arsene Wenger
Meneja wa mabingwa wa soka nchini Ujerumani FC Bayern Munich Carlo Ancelotti, ameonyesha heshima kwa mpinzani wake Arsene Wenger, kwa kusema mzee huyo wa kifaransa ana uwezo mkubwa wa kupuuza vibweka...
View ArticleYakubu Aiyegbeni: Nitastaafu Soka Nikiwa England
Aliyekua mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria Yakubu Aiyegbeni amefichua siri ya kurejea katika soka la England, akitokea Uturuki alipokua akiitumikia klabu ya Kayserispor.Mshambuliaji huyo mwenye...
View Article