Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Ujenzi Atembelea Banda La Mamlaka Ya Usafiri Wa Anga...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Dkt. Leonard Chamliho (kushoto) akiangalia moja ya chapisho la vitabu wakati alipotembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga...
View ArticleNishati Jadidifu Kuchangia Upatikanaji Wa Umeme Wa Uhakika
Kamishna Msaidizi- Nishati Jadidifu kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi, Styden Rwebangila (kulia) akibadilishana mawazo na Mtaalam kutoka Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano...
View ArticleMadhila Ya Arsene Wenger Yamchosha Jens Lehman
Aliyekua mlinda mlango mashuhuri wa klabu ya Arsenal Jens Gerhard Lehmann, anaamini klabu hiyo itapata mafanikio ya kutwaa mataji, endapo Arsène Wenger ataondoka.Lehman ambaye alisajiliwa na Arsene...
View ArticleFlorentino Perez Kuichokonoa FC Barcelona
Ni kama hadithi za abunuwasi, lakini ukweli ni kwamba rais wa klabu bingwa barani Ulaya Real Madrid Florentino Perez ameanza uchokonozi wa kutaka kumsajili mshambuliaji kutoka nchini Brazil na FC...
View ArticleKipigo Cha 4-0 Chamkera Joan Laporta
Aliyekua Rais wa FC Barcelona Joan Laporta amaibwatukia bodi ya klabu hiyo kwa kitendo cha kuchukizwa na kibano cha mabao manne kwa sifuri, kilichotolewa na mabingwa wa soka nchini Ufaransa PSG usiku...
View ArticlePaulo Dybala Kubaki Juventus FC
Ndoto za Real Madrid za kutaka kumsajili mshambuliaji kutoka nchini Argentina na klabu ya Juventus Paulo Dybala, zimeanza kufifia kufuatia mazungumzo ya kusainiwa kwa mkataba mpya huko mjini Turin...
View ArticleJamii Za Wafugaji Arusha Washauriwa Kubadili Mfumo Wa Maisha Ili Kukabiliana...
Baadhi ya washiriki katika mkutano wa maendeleo ya mkoa (RCC)wa Arusha kama wanavyonekana pichani.Aliyeshika kipaza sauti ni mwenyekiti wa halmashauri ya Monduli akiwa anachangia mada katika mkutano...
View ArticleMkuu Wa Mkoa Wa Njombe Amuagiza Dc Makete Kuunda Tume
Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Olesendeka(wapili kushoto) akiangalia athari za moto wa bweni hilo.Mabaki ya vitu vya wanafunzi vilivyoteketea kwa moto katika bweni hilo.Mkuu wa mkoa akizungumza na...
View ArticleZantel, Bakwata Wazindua Huduma Mpya Ya “Zantel Madrasa Jijini Dar es salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akizungumza leo jijini Dar es salaam katika hafla ya uzinduzi wa huduma mpya kutoka Zantel iliyopewa jina la ‘Zantel Madrasa’ ambayo itawawezesha waumini wa...
View ArticleMakamu Wa Rais Akutana Na Watendaji Wa Manispaa Ya Wilaya Ya Ilemela
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akihutubia Watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ilemela jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleProf. Mbarawa: Uwanja Wa Ndege Wa Mtwara Ujenzi Mwezi Julai
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (katikati), akipata taarifa ya maendeleo ya Uwanja wa Ndege wa Mtwara kutoka kwa Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania...
View ArticleWatu 72 Wauawa Katika Mlipuko Wa Kujitoa Mhanga Pakistan
Polisi wa Pakistan wamesema watu 72 wameuawa na wengine zaidi ya 200 wamejeruhiwa katika mlipuko wa kujitoa mhanga uliotokea jana usiku katika msikiti mmoja kwenye eneo la Sehwan mkoani Sindh, kusini...
View ArticleGeoffrey Bonny (Babu) Afariki Dunia
Kiungo wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Geoffrey Bonny Namwandu (37) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.Dada wa mchezaji huyo wa zamani wa Prisons ya...
View ArticleWakala Achukizwa Na Tuhuma Za Mashabiki
Wakala wa kiungo mshambuliaji kutoka nchini Ujerumani Mesut Ozil amejitokea hadharani na kumtetea mchezaji wake, ambaye anakabiliwana tuhuma za kucheza chini ya kiwango.Mashabiki wa The Gunners...
View ArticleSudan Kusini Na Uganda Kupambana Na Mafua Ya Ndege
Sudan Kusini na Uganda zimekubaliana kuunda tume ya pamoja ya kusimamia mpaka, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupambana na kuenea kwa homa ya mafua ya ndege iliyoripotiwa Kampala mwezi Januari.Waziri wa...
View ArticleAhmad Ahmad Azindua Ilani Ya Uchaguzi
Mpinzani wa rais wa shirikisho la soka barani Afrika CAF Issa Hayatou katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo utakaofanyika mwezi ujao mjini Adis Ababa nchini Ethiopia Ahmad Ahmad, amezindua ilani...
View ArticleWataalamu 70 Wa Huduma Kwa Wateja Kutoka Ethiopia Wamaliza Mafunzo Ya Lugha...
Wataalamu 70 wa huduma kwa wateja wa Ethiopia wamehitimu mafunzo ya lugha ya kichina kwa lengo la kutoa huduma bora kwa abiria kutoka China katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole huko Addis...
View ArticleUingereza Yaipatia Rwanda Paundi Milioni 5 Kuendeleza Sekta Ya Kilimo
Rwanda na Idara ya maendeleo ya kimataifa ya Uingereza DFID wamesaini makubaliano yenye thamani ya paundi milioni 5 kwa ajili ya mageuzi ya kilimo nchini Rwanda.Kiongozi wa Ofisi ya DFID nchini Rwanda...
View ArticleUmoja Wa Mataifa Na Wadau Wa Amani Wataka Utekelezaji Kamili Wa Makubaliano...
Mashirika manne ya kimataifa ikiwemo Umoja wa Mataifa yameeleza wasiwasi wao kuhusu kuchelewa kwa utekelezaji wa makubaliano ya kisiasa yaliyofikiwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)...
View ArticleMkutano Wa Mawaziri Wa Mambo Ya Nje Wa G20 Wafanyika Ujerumani
Mkutano wa siku mbili wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa kundi la G20 ulifunguliwa jana mjini Bonn, Ujerumani, ikiwa ni hatua ya maandalizi ya mkutano wa kilele wa kundi hilo...
View Article