Rais Wa Somalia Aapa Kuongeza Mapambano Dhidi Ya Al-Shabaab
Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi Mohamed ambaye anajulikana zaidi kama Farmajo, ameahidi kushirikiana na tume maalumu ya Umoja wa Afrika katika kupambana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab ili kuleta...
View ArticleUSAJILI WA TIGO KILI HALF MARATHON WAENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM
Mkazi wa jiji la Dar es Salaam, Edger Damian akijisajili kwa njia ya Tigopesa kwa ajili ya mashindano ya Kili Marathon yatakayofanyika Kilimanjaro hivi karibuni. Usajili huo ulifanyika mwishoni mwa...
View ArticleMajeshi Ya Iraq Yazindua Operesheni Mpya Ya Kutwaa Eneo La Magharibi La Mosul
Vikosi vya usalama vya Iraq vimetangaza kuanza kwa operesheni mpya ya kutwaa eneo la magharibi mwa mji wa Mosul kutoka kwa wapiganaji wa kundi la IS.Jeshi la Iraq, polisi na baadhi ya wanamgambo wa...
View ArticleNigeria Kucheza Dhidi Ya Senegal, Burkina Faso
Shirikisho la soka nchini Nigeria limethibitisha uwepo wa michezo miwili ya kimataifa ya kirafiki, ambayo itashuhudia timu ya taifa ya nchi hiyo ikipambana na Senegal (Simba Wa Teranga) pamoja na...
View ArticlePep Guardiola Asikitishwa Na Kampeni Za Kumng'oa Wenger
Meneja wa Man City Pep Guardiola amepingana na vyombo vya habari, namna vinavyoripoti taarifa zinazomuhusu bosi wa kikosi cha Arsenal Arsene Wenger.Pep Guardiola ameonyesha kuchukizwa na kitendo cha...
View ArticleHector Cuper: Mapambano Ya 2018, 2019 Yanaanza Sasa
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Misri Hector Cuper amesema hana muda wa kupoteza kwa sasa, zaidi ya kufikiria namna ya kuiwezesha timu yake kufuzu fainali za Afrika za 2019 na zile za kombe la dunia za...
View ArticleArticle 9
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidKAIMU Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania, (TANESCO), Dkt.Tito E. Mwinuka, (pichani kushoto), amefanya ziara ya kutembelea vituo vitatu vya kupoza na...
View ArticleRapper Metty Mubasharani Na Dayna Nyange Kwenye Kwenye Wimbo Wa Your Love
Rapper Metty kutoka jijini Dar es salaam ametangaza kachia kibao kipya kinachoenda kwa jina la YOUR LOVE.Wimbo huo wenye mahadhi ya muziki wa kizazi kipya " bongoflava" maudhui yalioambatana kuimba na...
View ArticleDC Same Aagiza Wanafunzi Kuwa Na Miti Ya Kuitunza
Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe Rosemary Staki SenyamuleNa Mathias Canal Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe Rosemary Staki Senyamule amewaagiza walimu wakuu Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro kusimamia zoezi la...
View ArticleMajaliwa Afanya Ziara Babati Na Mbulu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama sukari na nishati ya kuni inayotengenezwa kwa kutumia makapi ya miwa inayokamuliwa katika kiwanda cha sukari cha Manyara wakati alipotembelea kiwanda hicho...
View ArticleEquity Bank Tawi La Mbeya Watoa Elimu Kwa Wanachama Wa Namaingo Mbeya...
Afisa Elimu ya Fedha kutoka Equity Bank Bi.Suzane David akitoa elimu kwa wanachama wa namaingo ukanda wa Mbeya.Utulivuukitawala masaa yote ya mafunzo.Equity Bank tawi la Mbeya wakishirikiana na Kampuni...
View ArticleWanasheria wa CHADEMA Wamtaka Mbowe Asijisalimishe Polisi
Wanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamesema wamemshauri Mwenyekiti wao wa Taifa, Freeman Mbowe, asiende kuripoti polisi leo.Mwanasheria wa Chadema, John Mallya, amesema Mbowe...
View ArticleKinana Akutana Na Balozi Wa Uingereza Hapa Nchini Leo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, baada ya kufika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa...
View ArticleAwamu Ya Pili Ya Mafunzo Ya Wajasiliamali Wanawake Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam...
Mkufunzi wa Maswala ya Biashara Ndugu Felix Maganjila Akitoa Mada kwenye Mradi wa kuwejengea Uwezo wanawake Kwenye Ujasiriamali kupitia Taasisi ya Manjano Foundation. Mafunzo hayo yalianza wiki...
View ArticleArsene Wenger Ahofia Kuongeza Majeruhi
Bosi wa kikosi cha Arsenal Arsene Wenger, hatowatumia wachezaji wanaunda kikosi cha kwanza katika mchezo wa mzunguuko wa 16 bora wa kombe la FA dhidi ya Sutton United utakaochezwa baadae hii leo.Meneja...
View ArticleRadamel Falcao: Man Utd, Chelsea Zilitaka Kuniia Kisoka
Mshambuliaji wa AS Monaco Radamel Falcao amezituhumu klabu za Man Utd na Chelsea kwa kusema zilikaribia kuua soka lake.Falcao amefunguka suala hilo, alipozungumzia safari yake ya kwanza ya England...
View ArticleUkimya Wa Msanii Hussein Machozi Kuvunjwa Na ‘Nipe Sikuachi’ Chini Ya...
Baada ya kukaa kimya kwa miezi mingi bila kuachia wimbo, Hussein Machozi anatarajia kuachia wimbo mpya wiki chache zijazo. Wimbo huo unajulikana kwa jina la ‘Nipe Sikuachi.’Wimbo huo umetayarishwa na...
View ArticleNaibu Waziri Nishati Na Madini Atembelea Kituo Cha Kufua Umeme Cha Nyakato...
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akielezwa jambo na Meneja wa Kituo cha Kufua umeme kwa kutumia mafuta mazito (HFO) cha Megawati 60 cha Nyakato Jijini Mwanza,...
View ArticleTaasisi Ya Moyo Jakaya Kikwete Yawaaga Wafanyakazi Wake Wanaohamia Hospitali...
Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Fedha wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Agnes Kuhenga akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wanne wa...
View ArticleMaelfu Wakumbwa Na Hatari Baada Ya Operesheni Ya Kuukomboa Mosul
Naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa Bw Farhan Haq amesema maelfu ya familia zinakabiliwa na hatari kubwa baada ya kuanza kwa operesheni ya kutwaa tena udhibiti wa maeneo ya magharibi ya mji wa Mosul,...
View Article