SS Lazio Wafuatilia Nyendo Za Keylor Navas
Klabu ya Società Sportiva Lazio ya Italia huenda ikamsajili mlanda mlango wa Real Madrid Keylor Navas itakapofika mwishoni mwa msimu huu.Gazzetta dello Sport limeripoti kuwa, mlinda mlango huyo kutoka...
View ArticleUmoja Wa Mataifa: Ukosefu Wa Chakula Umewaathiri Wakimbizi Milioni 2 Afrika
Mashirika ya chakula na wakimbizi ya Umoja wa Mataifa yameeleza wasiwasi juu ya ukosefu mkubwa wa chakula unaowakabili wakimbizi wapatao milioni 2 katika nchi 10 barani Afrika.Naibu msemaji wa Umoja...
View ArticleRufaa Ya Mashaba Yawekwa Kapuni
Aliyekua kocha mkuu wa timu ya taifa ya Afrika kusini Ephraim 'Shakes' Mashaba amepoteza rufaa yake iliyokua inawazuia viongozi wa chama cha soka nchini humo (SAFA) kuendelea na mchakato wa kumsaka...
View ArticleWanawake Korea Kusini Kuishi Miaka Mingi Zaidi Duniani
Wanawake nchini Korea Kusini watakuwa wa kwanza duniani kuwa na umri wa kuishi wa zaidi ya miaka 90, utafiti unaonesha.Utafiti huo uliofanywa na Chuo cha Imperial cha London na Shirika la Afya Duniani...
View ArticleAmnesty Wamshutumu Trump Na Viongozi Wengine Kuhusu Wakimbizi
Shirika la Amnesty International limemshutumu Rais wa Marekani Donald Trump na viongozi wengine nchini Uturuki, Hungary na Ufilipino.Shirika hilo limesema viongozi hao wanaendeleza kile inachokitaja...
View ArticleFamilia Zakumbwa Na Hatari Kufuatia Operesheni Ya Kuukomboa Mji Wa Mosul
Naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa Farhan Haq amesema maelfu ya familia zinakabiliwa na hatari kubwa baada ya kuanza kwa operesheni ya kutwaa tena udhibiti wa maeneo ya magharibi ya mji wa Mosul,...
View ArticleOwen Coyle Afungasha Vilivyo Vyake
Kichapo cha mabao mawili kwa moja kilichotolewa na mashetani wekundu dhidi ya Blackburn Rovers mwishoni mwa juma lililopita, kimeacha athari kwa meneja Owen Coyle.Man Utd walishinda mchezo huo wa kombe...
View ArticleKenya Yaandikisha Wapiga Kura Wapya Milioni 3.78
Tume ya uchaguzi ya Kenya IEBC imetangaza kuwasajili wapiga kura wapya milioni 3.78 katika zoezi la usajili wa wapiga kura lililomalizika hivi karibuni.Mwenyekiti wa tume hiyo Wafula Chebukati amesema...
View ArticleUchaguzi Mkuu CAF, NFF Yaungana Na COSAFA
Shirikisho la soka nchini Nigeria (NFF) limetangaza kumuunga mkono mpinzani wa Rais wa CAF Issa Hayatou kuelekea uchaguzi mkuu ambao umepangwa kufanyika mwezi ujao mjini Adis Ababa- Ethiopia.Hayatou...
View ArticleBenki Ya Dunia: Kutokuwa Na Uhakika Wa Sera Kunachangia Kukwamisha Ukuaji Wa...
Utafiti wa kisera uliofanywa na Benki ya dunia unaonyesha kuwa ongezeko la biashara linakwamishwa kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kutokuwa na uhakika wa sera.Imefahamika kuwa mwaka jana...
View ArticleKipa Wa Sutton United Ajiuzulu
Meneja wa klabu ya Sutton United Paul Doswell amethibitisha taarifa za kujiuzulu kwa kipa wake Wayne Shaw ambaye ameanza kufanyiwa uchunguzi na chama cha soka nchini England FA.Shaw jana alipamba...
View ArticleRais Mugabe Aonya Wanachama Kutofanya Hila Kutafuta Uongozi
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amewaonya wanachama dhidi ya vitendo vya kufanya hila kutafuta nyadhifa za uongozi, huku mvutano kuhusu mrithi wa nafasi yake ukizidi kupamba moto katika chama chake cha...
View ArticleLeonardo Bonucci Kukaa Jukwaani
Beki wa kati wa mabingwa wa soka nchini italia Juventus FC Leonardo Bonucci ataukosa mchezo wa mkondo wa kwanza wa 16 bora wa ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya FC Porto ambao utachezwa baadae...
View ArticleMajaliwa Afanya Ziara Babati
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la daraja la Bonga- Endanachan wilayani Babati, Februari 22, 2017. Kulia ni Mkoa wa Manyara, Dkt, Joel Bendera na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya...
View ArticleNaibu Waziri Masauni Afanya Mazungumzo Na Kamishna Generali Wa Idara Ya...
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimsikiliza Kamishna Generali Mpya wa Idara ya Uhamiaji, Dk. Anna Makakala wakati alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es...
View ArticleWaziri Nape: Serikali Haina Mgogoro Na Filamu Za Nje Kuuzwa Hapa Nchini
Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Nape Nnauye amesema serikali haina mgogoro na filamu za nje kuuzwa hapa nchini bali wasambambazaji wa nje na filamu za hapa nchi wanatakiwa kufuata...
View ArticleHeko Makonda, Dar es Salaam Ya Viwanda Inawezekana
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya makabidhiano hayo eneo la Kisarawe II wilaya ya Kigamboni leo jijini Dar es Salaam.Picha na Emmanuel...
View ArticleTheresa May: Baraza La Juu La Bunge La Uingereza Lisijaribu Kuzuia Mchakato...
Baraza la juu la bunge la Uingereza lilifanya majadiliano ya siku mbili kuhusu muswada uliotolewa na serikali ya Uingereza kuhusu Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya. Waziri mkuu wa Uingereza Bibi Theresa...
View ArticleRanieri Asisitiza Kubaki Leicester City, Atamba Kuifunga Sevilla CF
Sakata la kufanya vibaya kwenye michezo ya ligi kuu ya soka nchini England limeendelea kumuandama meneja wa klabu ya Leicester City Claudio Ranieri, kila anapokutana na waandishi wa habari.Kwa mara...
View ArticleWahamiaji 340 Wafa Maji Mwaka Huu Wakijaribu Kuingia Ulaya
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji IMO limesema baada ya ajali ya boti iliyotokea wikiendi iliyopita, kwa jumla watu 340 wamefariki dunia katika mwaka huu wakijaribu kuingia Ulaya kupitia bahari ya...
View Article