Tony Mowbray Abebeshwa Msalaba Wa Rovers
Klabu ya Blackburn Rovers imemtangaza Tony Mowbray kuwa mkuu wa benchi la ufundi badala ya Owen Coyle aliyefungashiwa virago siku mbili zilizopita.Mowbray mwenye umri wa miaka 53, amekubali kujiunga na...
View ArticleFAO: Mabadiliko Ya Hali Ya Hewa Yamekuwa Changamoto Kuu Hitaji La Chakula...
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limetoa ripoti ikisema, mabadiliko ya hali ya hewa yamekuwa moja ya vikwazo katika kukidhi mahitaji ya chakula duniani, wakati idadi ya watu...
View ArticleVyama Vikubwa Vya Upinzani Kenya Kuweka Mgombea Mmoja Wa Urais
Viongozi wa vyama vikubwa vya upinzani vya Kenya wamekubaliana kuweka mgombea mmoja wa urais, na kutoa mwito kwa vyama vyote kuwa makini kuhakikisha kuwa hakuna njama za kufanya udanganyifu kwenye...
View ArticleWakala Wa Rooney Asaka Nafasi China
Wakala wa mshambuliaji wa Man Utd Wayne Rooney ameripotiwa kuelekea nchini China kwa ajili yakufanya mazungumzo na baadhi ya klabu za ligi kuu ya soka nchini humo, ili kuangalia uwezekano wa...
View ArticleKesi Ya Rais Wa Korea Kusini Kuuguruma Februari 27
Mahakama ya katiba ya Korea Kusini imetangaza kuwa kesi ya kumwondoa madarakani rais Park Geun-hye wa nchi hiyo itasikilizwa mara ya mwisho tarehe 27 mwezi huu baada ya kuahirishwa kutoka tarehe 24...
View ArticleIdeye Amfuata Obi Mikel, Malick Evouna
Mshambuliaji kutoka nchini Nigeria Brown Ideye ameongeza idadi ya waafrika wanaocheza soka nchini China, baada ya kukamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya Tianjin Teda.Mshambuliaji huyo mwenye umri...
View ArticleLiverpool FC Yakamilisha Kwa Adam Lallana
Kiungo wa majogoo wa jiji Liverpool Adam Lallana amekubali kusiani mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo ya Anfield.Lallana amefikia makubaliano na uongozi wa Liverpool na kusaini mkataba...
View ArticleNasser Al Khelaifi: Marco Verratti Haendi Popote
Rais wa mabingwa wa soka nchini Ufaransa PSG Nasser Al Khelaifi ameingilia kati sakata la kiungo kutoka nchini Italia Marco Verratti ambaye anahusishwa na mpango wa kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa...
View ArticleGiampiero Ventura Atia Shaka Suala La Federico Fazio
Federico FazioKocha mkuu wa timu ya taifa ya Italia Giampiero Ventura amempotezea beki wa klabu ya AS Roma Federico Fazio ambaye ameonyesha kuwa tayari kuitumikia The Azzurri.Beki huyo mzaliwa wa...
View ArticleLeicester City Yamtimua Claudio Ranieri
Uongozi wa klabu bingwa nchini England Leicester City, umetangaza kumtimua Claudio Ranieri baada ya kuchoshwa na mwenendo wa matokeo yanayopatikana kwa msimu huu wa 2016/17.The Foxes wametangaza...
View ArticleWayne Rooney Kubaki Old Trafford
Mshambuliaji na nahodha wa Man Utd Wayne Rooney amesema ataendelea kubaki na klabu hiyo, licha ya kuhusishwa na taarifa za kuwa mbioni kutimkia nchini China.Rooney ametoa kauli hiyo saa 24 baada ya...
View ArticleSpurs Yang'olewa Europa League
Tottenham Hotspur wameshindwa kusonga mbele katika michuano ya Europa League baada ya kukubali matokeo ya sare ya mabao mawili kwa mawili dhidi ya Gent kutoka nchini Ubelgiji.Mchezo huo uliochezwa...
View ArticleFriedkin Conservation Fund Yachangia Saruji Mifuko 3000 Na Mabati 1000 Simiyu
Mkurugenzi wa Friedkin Conservation Fund (FCF), Abdulkadir Mohamed (wa tatu kulia) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (wa pili kulia) shehena ya mifuko 3000 ya saruji ikiwa ni jitihada...
View ArticleTpdc Watoa Mafunzo Kwa Waandishi Wa Habari Wa Mikoa Ya Iringa,Njombe Na Ruvuma
Wanahabari mkoa wa Iringa walioshiriki warsha ya siku moja ya gesi asilia wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela wa tatu kutoka kushoto na wawezeshaji wa...
View ArticleBenki Ya Standard Chartered Yakabidhi Vifaa Vya Michezo Kwa Coca Cola, Mwananchi
Mkuu wa Wateja Binafsi wa Benki ya Standard Chartered, Michael Shio (wa kwanza kulia) akimkabidhi Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communication Limited, Bakari Machumu (wa kwanza kushoto) vifaa vya...
View ArticleRais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete Akutana Na Rais Wa Benki Ya Maendeleo Ya...
Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya ELimu, Dkt. Jakaya Kikwete akikaribishwa kwa furaha na mwenyeji wake Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt. Akinwumi Adesina ofisini...
View ArticleTCU Ijitathmini Inapofanya Uhakiki Huu Wa Wanafunzi Wa Elimu Ya Juu
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imeutangazia umma kwamba kazi ya uhakiki wa sifa za wanafunzi wanaoendelea na masomo kwenye vyuo vya elimu ya juu nchini kwa mwaka wa 2016/2017 imekamilika kwa baadhi...
View ArticleSerikali Yaunga Mkono Uzinduzi Wa Bodi Ya Mfuko Wa Maendeleo Ya Mpira Wa...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiongea na wadau wa michezo katika ufunguzi wa Bodi ya Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu (FDF) ulioanzishwa na Shirikisho la...
View ArticleTaarifa Kutoka JWTZ: Utapeli Ajira JWTZ
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAKURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANOSimu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo: DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,Telex...
View ArticleTata Motors Wazindua Toleo Jipya La Basi Na Lori La Mizigo Ya Tata Ultra...
Maofisa wa kampuni ya magari ya Tata Motors, wakioneysha magari mapya aina ya Tata Ultra Truck na Tata Ultra Bus wakati wa uzinduzi rasmi wa magari hayo jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha...
View Article