Prof. Mkenda Aelezea Vituo Vya Pamoja Vya Forodha Mipakani Na Umuhimu Wake...
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda, Akihojiwa na Watangazaji mahiri wa TBC Taifa, Paul Alphonce na Anna Mwasyoke, Mikocheni Jijini Dar es salama, mapema leo...
View ArticleUmoja Wa Afrika Wasisitiza Kupinga Askari Watoto Barani Afrika
Kamati ya amani na usalama ya Umoja wa Afrika imefanya mkutano wa mawaziri kuhusu utumikishaji wa watoto jeshini.Mkutano huo umejadili ajenda mbili, ambazo ni pamoja na usafiri huru wa watu na bidhaa...
View ArticleFAO Yasisitiza Kuendelea Kuunga Mkono Sekta Ya Mifugo Ya Afrika
Patrick KormawaShirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limesisitiza kuwa litaendelea kuunga mkono sekta ya mifugo barani Afrika.Kwenye kongamano lililozindua mradi unaoitwa ufugaji...
View ArticleArticle 6
Stephane DujarricMsemaji wa Umoja wa Mataifa Stephane Dujarric amesema Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa mataifa UNHCR limefungua kambi moja mpya ya wakimbizi kaskazini mwa Uganda,...
View ArticleMashirika Ya Nchi Za Afrika Mashariki Yazindua Kikundi Cha Kuhimiza Malengo...
Adan Mohamed Mashirika ya nchi za Afrika mashariki yamezindua kikundi cha kueneza mafanikio ya malengo 17 ya maendeleo endelevu.Waziri wa viwanda, biashara na ushirika wa Kenya Adan Mohamed amewaambia...
View ArticleRais Wa Uganda Kutembelea Bandari Ya Dar es Salaam
Rais Yoweri Museveni wa Uganda anatarajiwa kutembelea bandari ya Dar es Salaam Tanzania tarehe 26 mwezi huu, kuangalia marekebisho yaliyofanyika ili kuhamasisha wafanyabiashara wa Uganda waanze kutumia...
View ArticleAishi Hotelini Kushinikiza Alipwe Mshahara
Mmoja wa makocha waliokua wanaunda benchi la ufundi la timu ya taifa ya Ghana wakati wa fainali za AFCON 2017 zilizomalizika mwanzoni mwa mwezi huu nchini Gabon, bado yupo mjini Accra akiishi hotelini...
View ArticleAkrama Akabidhiwa Zigo La Simba Vs Yanga
Kikao cha Kamati ya Waamuzi kilichofanyika jana jioni mjini Dar es Salaam kimeteua mwamuzi Mathew Akrama kupuliza filimbi katika mchezo wa kesho wa Simba na Yanga,akisaidiwa na Mohammed Mkono wa Tanga...
View ArticleRoberto Mancini Atajwa Kurithi Nafasi ya Ranieri
Jina la aliyekua meneja wa Man City Roberto Mancini linaongoza kwa kutajwa katika kinyang’anyiro cha kuziba nafasi ya Claudio Ranieri aliyetimuliwa na uongozi wa Leicester City usiku wa kuamikia...
View ArticleRonald Koeman: Ninataka Kumrudisha Rooney Goodison Park
Uongozi wa klabu ya Everton umetajaribu kumsajili mshambuliaji na nahodha wa Man Utd Wayne Rooney, mwishoni mwa msimu huu ili kunusuru hali inayomfika ya kushindwa kucheza katika kikosi cha...
View ArticleWalimu Walevi, Watoro Na Mafataki Siku Zao Zinahesabika
Mkuu wa wilaya ya Igunga John Mwaipopo amewaonya baadhi ya walimu wenye tabia ya ulevi, utoro kazini na wale wanaojihusisha na mapenzi na wanafunzi kuwa siku zao zinahesabika. Kwani tabia hizo zimekuwa...
View ArticleBaada Ya Miaka 53 Hatimaye Wananchi Wa Mtaa Wa Igungandembwe Manispaa Ya...
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) akikinga maji kwenye ndoo kuashiria sasa kisima cha maji kimefunguliwa na kuanza kutumia kwa wakazi wa mtaa wa Igungandembwe manispaa ya Iringa...
View ArticleBruno Soriano: Mwamuzi Ametunyonga
Kiungo wa klabu ya Villarreal Bruno Soriano amegeuka mbogo na kumtaja mwamuzi wa mchezo wao wa jana dhidi ya Real Madrid kuwa chanzo cha kupoteza point tatu kwenye uwanja wao wa nyumbani wa...
View ArticleRais Wa Zanzibar Dkt.Shein Akabidhi Vifaa Vya Michezo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimkabidhi vifaa vya michezo mwakilishi wa Jimbo la Uzini CCM Vuai Naimu wakati...
View ArticleCorner Bar Yafungwa Kwa Kukiuka Taratibu Na Maadili
Baada ya malalamiko kuzidi kutokana na kuwapo biashara zisizo rasmi katika baa maarufu ya Corner Bar a.k.a Club Ambiance, iliopo maeneo ya Afrika sana (Sinza) sasa baa hiyo imeamriwa kufungwa.Akiwa...
View ArticleMwanariadha Afia Getini Kili Marathon
Mwanariadha, Charles Maroa kutoka nchini Kenya amefikwa na mauti katika hospitali ya KCMC mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro, baada ya kuanguka katika geti la viwanja vya Ushirika wakati alipokuwa...
View ArticleWajerumani Waliotekwa Nyara Nchini Nigeria Waachiwa Huru
Mtafiti wa mambo ya kale wa Ujerumani na mwenzake waliotekwa nyara Jumatano wiki iliyopita na watu wenye silaha wasiojulikana katika kijiji cha Jenjela, jimbo la Kaduna kaskazini mwa Nigeria,...
View ArticleWatu 73 Wauawa Kwa Bomu La Kwenye Gari Lililotegwa Na Kundi La IS Syria
Watu 73, wengi wakiwa ni waasi, wameuawa wakati kundi la IS lilipofanya shambulizi la bomu lililotegwa kwenye gari dhidi ya waasi wanaoungwa mkono na Uturuki mjini Al-Bab, Syria karibu na mipaka ya...
View ArticleAskari Wa Kulinda Amani Wa China Waelekea Sudan Kusini
Askari 7 wa kulinda amani wa China wameondoka Beijing kuelekea nchini Sudan Kusini ambapo watatekeleza majukumu yao kwa muda wa mwaka mmoja.Wizara ya Usalama wa Umma ya China imesema, kikosi cha sita...
View ArticleRais Wa Sudan Amwachia Huru Mwanahabari Wa Czech Aliyefungwa
Rais Omar al-Bashir wa Sudan ametoa msamaha kwa mwanahabari wa Czech Petr Jasek baada ya mahakama ya nchi hiyo kumhukumu kifungo cha miaka 20 kwa mashtaka ya ujasusi dhidi ya nchi hiyo.Waziri wa mambo...
View Article