Quantcast
Channel: Mdimu's Blog
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kaimu RC Tanga Agiza Wilaya Za Mkoa Huo Kuunda Majukwaa Ya Wanawake

Mmmoja wa Wajasiriamali kushoto akimuonyesha Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tangaa,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza akiangalia moja kati ya bidhaa wanazozalisha wakati wa kongamano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Malawi Yaishauri Gihon Tanzania Kufuata Sheria

Mkurugenzi Mtendaji wa Gihon Ministry,  Rebecca Stanford (kushoto), akiwa na  Mwanasheria wa Gihon, Monica Mhoja wakati walipokwenda ofisi ya Balozi wa Malawi nchini.Na Mwandishi,  WetuOFISI ya Ubalozi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bado Siku Moja Kuthibitisha Kwenda Kwenye Mkutano Wa Uwekezaji Italy

Chemba ya biashara, viwanda na kilimo( TCCIA) inatarajia kufanya ziara ya kibiashara nchini Italy na Uturuki ambapo Chemba inapenda kuwakaribisha wafanyabiashara walio wanachama na wasio wanachama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wachapishaji Nchini Wametakiwa Kujiandikisha Kwa Mpiga Chapa Mkuu Wa Serikali

Jovina Bujulu- MAELEZOSerikali imewataka wachapishaji wote nchini waliojiandikisha kwa Msajili wa Makampuni (BRELA) na Mamlaka ya Mapato  (TRA), kufika katika ofisi ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Anthony Vanden Borre Kurejea Nyumbani

Mabingwa wa kombe la shirikisho barani Afrika (CAF), TP Mazembe wapo katika harakati za kumsajili aliyekua beki wa kati wa timu ya taifa ya Ubelgiji Anthony Vanden Borre.Beki huyo mwenye umri wa miaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Kassim Majariwa Kufungua Mkutano Wa Tisa Wa Wadau Wa LAPF Jijini...

Meneja Masoko la Mawasiliano wa LAPF, James Mlowe (katikati), akizungumza katika mkutano na wanahabari Dar es Salaam leo, kuhusu mkutano wa tisa wa LAPF utakaofanyika Machi 9 na 10, 2017 Ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kenya, Uganda Na Rwanda Zapanga Kuunganisha Soko La Utalii

Kenya, Uganda na Rwanda zimeanzisha mradi wa mtandao wa Internet unaolenga kuunganisha soko la utalii la nchi hizo ili kuvutia zaidi watalii kutoka nje.Habari zinasema, nchi hizo zinapanga kujenga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baraza La Usalama La Umoja Wa Mataifa Lalaani Vikali Mashambulizi Ya Mabomu...

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani vikali mashambulizi ya mabomu yaliyotokea tarehe 1 mjini Kabul, Afghanistan.Katika taarifa yake, Baraza hilo limesema linafuatilia kwa karibu matishio la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umoja Wa Afrika Waahidi Kushirikiana Na Waziri Mkuu Mpya Wa Somalia

Mwakilishi maalumu wa katibu mkuu wa tume ya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM Bw. Francisco Madeira amesema atashirikiana kwa karibu na waziri mkuu mpya wa Somalia Bw. Hassan Ali Khaire ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jeshi La Syria Latangaza Kukamata Mji Wa Palmyra Nchini Humo

Jeshi la Syria limetangaza kutwaa mji wa Palmyra ulioko katikati ya nchi hiyo baada ya kupambana na kundi la IS na kulisababshia hasara kubwa. Sasa kikosi cha kutegua mabomu kinafanya ukaguzi mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shakira Aburuzwa Mahakamani Kwa Tuhuma Za Wizi…!

Mwimbaji mwenye kiuno bila mfupa, Shakira amefunguliwa kesi ya madai katika mahakama ya Hispania kwa tuhuma za wizi wa baadhi ya mashairi yanayosikika kwenye wimbo wake wa ‘La Bicicleta’ aliofanya  na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lukas Podolski Kubadili Mazingira

Mshambuliaji kutoka nchini Ujerumani Lukas Podolski atahamia nchini Japan mwishoni mwa msimu huu, baada ya kumalizana na klabu ya Galatasaray ya nchini Uturuki mwishoni mwa msimu huu.Podolski ameitaja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakorofi Kudhibitiwa Urusi 2017, 2018

Mashabiki watakaoshuhudia fainali za kombe la dunia 2018 na zile za kombe la mabara zitakazofanyika nchini Urusi baadae mwaka huu, watalazimika kuwa na vitambulisho maalum.Wenyeji wa fainali hizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Michael Carrick Ajiweka Njia Panda Old Trafford

Kiungo Michael Carrick ameahidi kustaafu soka, endapo uongozi wa Man Utd utasitisha mpango wa kumsainisha mkataba mpya mwishoni mwa msimu huu.Carrick mwenye umri wa miaka 35, amekua Old Trafford tangu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sergio Aguero: Sijazungumza Na Viongozi

Mpango wa kuondoka Etihad Stadium kwa mshambuliaji kutoka nchini Argentina Sergio Aguero huenda ukawa sahihi, kutokana na uongozi wa Man city kushindwa kuzungumza na mchezaji huyo kuhusu mustakabali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bartomeu Amkana Jorge Sampaoli

Jorge SampaoliRais wa FC Barcelona Josep Maria Bartomeu amewataka wadau wa soka duniani kuwa na subra katika suala la kumfahamu mrithi wa Luis Enrique, ambaye ataondoka mwishoni mwa msimu huu.Bartomeu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lacazette Kuziba Nafasi Ya Daniel Sturridge

Klabu ya Liverpool itajaribu kumsajili mshambuliaji kutoka nchini Ufaransa Alexandre Lacazette mwishoni mwa msimu huu.Gazeti la The Daily Mirror limechapisha taarifa hiyo na kueleza kuwa, mshambuliaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lema Ampa Somo Wema, Amtaka Awe Na Ndoto Hata Ya Urais

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema wikendi iliyopita alitumia muda wake kufanya mazungumzo na kada mpya wa chama hicho, Wema Sepetu ikiwa ni siku mbili tangu aachiwe kwa dhamana baada ya kukaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makosa Ya Askofu Mokiwa Yaanikwa Hadharani

Waraka wa Askofu Mkuu wa Anglikana nchini, Jacob Chimeledya umesomwa katika makanisa yote ya Dayosisi ya Dar es Salaam ukibainisha makosa yaliyofanywa na Askofu Valentino Mokiwa na kumtaka kujiuzulu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bifu La Arsene Wenger Na Alexis Sanchez Hadharani

Siri ya mshambuliaji kutoka nchini Chile Alexis Sanchez kuanzia benchi wakati wa mchezo wa Arsenal dhidi ya Liverpool uliochezwa jumamosi imefichuliwa na gazeti la The Sun la England.Gazeti hilo...

View Article
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live