Real Madrid Watakiwa Kujipanga Kwa De Gea
Bosi wa kikosi cha Man Utd Jose Mourinho amechimba mkwara wa haja kwa kuwatumia salamu viongozi wa mabingwa wa soka barani Ulaya Real Madrid, kwa kuwaambia mlinda mlango David de Gea atawagharimu kiasi...
View ArticleVanessa Mdee Mikononi Mwa Polisi
Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limemshikilia Mwanamziki Vanessa Mdee maarufu kama Vee Money kwa tuhuma za kujihusisha na dawa za kulevya. Mwanasheria wake, Aman Tenga ametihibitisha kuwa mteja...
View ArticleKamishna Mkuu Wa Mamlaka Ya Kuzuia Na Kupambana Na Dawa Za Kulevya Nchini...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Rogers Sianga, wakati Kamishna huyo alipomtembelea...
View ArticleWanafunzi Waugua Ghafla, Wakimbiza Hospitali Kigoma
Na Magreth Magosso, Kigoma Wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Munyika Kijiji cha Kajana tarafa ya Muyama wilayani Buhigwe mkoani kigoma wamekubwa na ugonjwa wa ajabu hali iliyowalazimu wazazi...
View ArticleWanawake Jikiteni Katika Ujasiriamali, Utawakomboa
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO.Dunia ya sasa inapigania haki sawa kwa wanaume na wanawake ili waweze kushiriki kwa pamoja kwenye nyanja zote za kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa ajili ya kuchangia...
View ArticleWenger Apingana Na Waandishi Wa Habari, Akataa Mabadiliko
Pamoja na kukubali kutupwa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya kwa kuchapwa mabao kumi kwa mawili, meneja wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger amepingana na waandishi wa habari kwa kusema...
View ArticleTim Cahill, Tomi Juric Warudishwa Kundini
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Australia Ange Postecoglou ametangaza kikosi cha wachezaji 30, ambacho kitaingia kambini, kwa ajili ya kujiandaa na michezo ya kuwania kucheza fainali za kombe la dunia...
View ArticleEden Hazard Atafutiwa Nyumba Mjini Madrid
Mabingwa wa soka barani Ulaya Real Madrid, wamedhamniria kumsajili kiungo mshambuliaji wa vinara wa ligi ya England (Chelsea) Eden Hazard mwiashoni mwa msimu huu.Rais wa Real Madrid Florentino Perez...
View ArticleMashabiki Kuiponza FC Bayern Munich
Pamoja na ushindi mkubwa wa mabao matano kwa moja walioupata dhidi ya Arsenal usiku wa kuamkia leo, mabingwa wa soka nchini Ujerumani FC Bayern Munich huenda wakaadhibiwa na shirikisho la soka barani...
View ArticleReal Madrid Kuizidi Kete Man Utd?
Klabu ya Real Madrid imeanza mazungumzo na uongozi wa AS Monaco ya Ufaransa kwa ajili ya kuangalia uwezekano wa usajili wa kiungo Bernardo Silva mwishoni mwa msimu huu.Jarida la Le 10 Sport limeandika,...
View ArticleBorussia Dortmund Yaibanjua Benfica, Yasonga Mbele
Mshambuliaji kutoka nchini Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, ameisaidia klabu yake ya Borussia Dortmund kutinga hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya, baada ya kufunga mabao matatu kati...
View ArticleBarcelona Yawafunga Midomo Wachongaji, Yaitupa Nje PSG
Mabingwa wa soka nchini Hispania FC Barcelona wameandika historia ya kuwa klabu ya kwanza barani Ulaya kwa kupindua mlima wa mabao kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani humo.FC Barcelona walikua...
View ArticleKifimbo Cha Malkia Kutua Tanzania Mwezi Ujao
Kamati ya Olimpiki Tanzania TOC iko katika hatua za mwisho za maandalizi ya mapokezi makubwa ya kifimbo cha malkia ambacho kinatarajiwa kutua nchini mwanzoni mwa mwezi ujao na kutembezwa katika maeneo...
View ArticlePambano La Amir Khan Na Manny Pacquiao Lafutwa
Promota Bob Arum wa pambano wa bondia wa Uingereza Amir Khan na bingwa wa uzani wa Welterweight Manny Pacquiao ametoa taarifa za kulifuta pambano hilo pasi na kutoa sababu za kina.Pambano la wababe hao...
View ArticleYanga Yaishtukia Zanaco FC
Katibu Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwasa amesema hawana wasiwasi na mechi yao ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Zanaco ya Zambia.Timu hizo zinatarajiwa kuvaana Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa...
View ArticleSafari Ya Mwisho Ya Bi. Nuru Khalfan Kikwete Huko Bagamoyo Mkoani Pwani
Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Aboubakar Zubeir akiwaongoza waumini wa dini ya Kiislam katika ibada ya kuuswalia mwili wa Marehemu Bibi. Nuru Khalfan Kikwete, ambaye ni mama mdogo wa Rais Mstaafu wa...
View ArticleHivi Ndivyo Mwanamitindo Khadija Mwanamboka Alivyoadhimisha Siku Ya Wanawake...
Wakati Tanzania na Dunia nzima kwa ujumla zikiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8, 2017, Mwanamitindo nguli hapa nchini na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Vitu Vya Khadija, Bi Khadija Mwanamboka...
View ArticleTelkon And Bussines Connexion Yazindua Suluhisho La Teknolojia Barani Afrika
Mkurugenzi mtendaji wa Telkon and Bussnes Connexion(BCX) kushoto Bw Seronga Wangwe akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi huo,kulia ni Meneja Msaidizi wa Mauzo wa Telkon and Bussnes...
View ArticleMbowe Amtumia Ujumbe Wa Pole Kikwete Kufuatia Msiba Wa Mama Yake Mdogo
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametoa pole kwa familia ya Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete kwa kuondokewa na mama yake mdogo.Mbowe ameanisha...
View Article