Dimitri Payet Azungumzia Kilichomtoa West Ham Utd
Kwa mara ya kwanza kiungo mshambuliaji kutoka nchini Ufaransa Dimitri Payet amezungumzia kilichomsukuma kuihama West Ham Utd wakati wa majira ya baridi (Mwezi Januari).Payet alijiunga na Olympic...
View ArticleMkaa Poa Ni Utatuzi Wa Uharibifu Wa Mazingira – Mpina
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akizungumza katika eneo la uzalishaji mkaa, katika kiwanda cha mkaa poa, mkaa rafiki kwa mazingira mjini Unguja, Kulia ni...
View ArticleTelkom And Business Connexion Yazindua BCX, Suluhisho La Teknolojia Mahiri...
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya BCX Tanzania Bw. Seronga Wangwe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam katika uzinduzi wa kampuni ya BCX ambayo imejumuisha kampuni za Business...
View ArticleVanessa, Dumisha Heri Waendelea Kusota Polisi Kwa Tuhuma Za Dawa Za Kulevya
Kamanda Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP), Simon Sirro akizungumza na waandishi wa habari juu operesheni mbalimbali zilizofanyika na jeshi hilo kwa wiki moja...
View ArticleJuventus Wajiandaa Kumuuza Dani Alves
Mabingwa wa soka nchini Italia Juventus FC huenda wakakubali kumuachia kirahisi beki wao wa upande wa kulia Dani Alves ambaye anahusishwa na mpanga wa kuwaniwa na matajiri wa mjini Manchester (Man...
View ArticlePATA HABARI: Kuhusu Wanasayansi watoto kutoka Mwanza
Na Binagi Media GroupNi katika Mahafali ya 11 ya darasa la saba shule ya msingi Eden iliyopo Nyakato Jijini Mwanza, mamia ya wahudhuriaji yanashuhudia wahitimu wakiuchambua ubongo wa mwanadamu kwa...
View ArticleSTATOIL: BILA MTAMBO WA KUSINDIKA, UCHIMBAJI WA GESI HAUTAKUWA NA TIJA KWA...
Na Daniel MbegaKAMPUNI ya utafiti na uchimbaji wa gesi ya Statoil ya Norway imesema serikali inapaswa kuona kipaumbele cha kufikia makubaliano ya kujengwa kwa mtambo wa kusindika gesi ya kimiminika...
View ArticleHIVI UNAJUA; Kuhusu mamba Maya ya kuchangia waathirika wa UKIMWI?
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa namba maalumu ya kuchangia Mfuko wa Udhamini...
View ArticleTADB YANG'ARA KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI GUANZHOU CHINA
Na Mwandishi WetuBenki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeng'arisha Kongamano la Biashara, Viwanda na Uwekezaji lililofanyika Jijini Guangzhou nchini China mwishoni mwa wiki; ambapo Viongozi wa...
View ArticlePICHA: ...za tiGOFiesta Sumbawanga
Aslay akiwa jukwaani akiburudisha wakazi wa Sumbawanga kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapiliMashabiki wakiimba...
View ArticleMakamu wa Rais asisitiza uhusishwaji wa watu wa ngazi ya chini katika miradi UN
Na Mwandishi WetuMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan(Pichani Juu) leo ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa ambapo Umoja huo umetimiza miaka...
View ArticlePICHA: Makamu wa Rais ameshawasili mkoani Dodoma kikazi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge mara baada ya kuwasili mkoani hapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
View ArticlePicha za tiGOFiesta Mkwakwani Tanga juzi
Msanii Aslay akitumbuiza mashabiki waliofurika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kwenye Tamasha kubwa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumamosiMsanii mkongwe wa Taarabu Khadija Kopa na msanii wa bongo...
View ArticleWatu milioni 3 wamo katika hatari ya kukumbwa na njaa DRC
Inasemekana kuwa zaidi ya watu milioni tatu wamo katika hatari ya kukumbwa na njaa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.Kiongozi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kushughulikia mpango wa...
View ArticleMsimu wa nne wa Karibu Festival kutimua vumbi Ijumaa hii Bagamoyo
Na Mwandishi WetuTamasha la nne linalojumuisha muziki wa kiasili na kimataifa nchini, linalojulikana kwa jina la kigeni kama Karibu Music Festival linatarajia kutimua vumbi Ijumaa hii katika viwanja...
View ArticleWaziri Mkuu wa Iceland aelekea kushinda uchaguzi
Waziri Mkuu mhafidhina wa Iceland anatarajiwa kuunda serikali mpya baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu, lakini haijulikana kama atafanikiwa kuunda muungano unaofaa. Asilimia 81 ya kura...
View ArticleRC MAKONDA: Viongozi wa dini wasisumbuliwe kupata huduma za kijamii
Na John Bukuku, Fullshangwe BlogMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Pal Makonda amewataka Viongozi wa Dini zote Waislam na Wakristo wenye matatizo yanayohitaji msaada wa Serikali ikiwemo Migogoro...
View ArticleSHUHUDIA : WanaCCM katika uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Madiwani jijinii...
Na mwandishi WetuKatibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Saad Kusilawe jana aizindua kampeni za uchaguzi wa marudio katika kata tatu za jiji la Dar es Salaam ambapo aliwaahidi wanachama na mashabiki wa...
View ArticleUNA HABARI? Rais wa Wakurdi Massoud Barzani ameachia ngazi
Rais wa wakurdi nchini Iraq Massoud Barzani amewacha wadhifa huo wakati eneo hilo linapambana na serikali kufuatia uhuru wake.Kupitia barua iliyosomwa kwa bunge la Kurdi, Bw. Barzani alisema kuwa...
View ArticleKWA TAARIFA YAKO: Hammilton ndio bingwa wa Formula One kwa mwaka huu wa 2017
Mfukuza Barbara maarufu duniani Lewis Hamilton jana amevikwa taxi la bio maarufu zaidi za magari duniani za Formula One kwa mwaka hum wa 2017 ikiwa ni mara ya nne kuvikwa taji hilo huku akimuacha...
View Article