AMINA MOLLEL: Wazazi msiwafiche watoto wenye ulemavu
Wazazi hususa ni jamii ya kimasai wametakiwa kuachana na zana ya kuwatenga na kutowapeleka shule watoto wa kike na wale ambao ni walemavu badala yake wawapeleke mashuleni kwani wao ndio viongozi wa...
View ArticlePICHA ZA tiGOFIESTA: Show ya Morogoro
Wasanii Ben Pol na Jux wakishirikiana kuimba wimbo wao NAKUCHANA kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro juzi.Country Boy akiimba na maelfu ya mashabiki...
View ArticleRais Trump: Shambulio la Texas limetokana na tatizo la akili
Trump amesema kisa cha mtu aliyewaua watu 26 kwa kuwapiga risasi katika kanisa dogo la jimbo la Texas kilitokana na matatizo ya akili wala si mjadala kuhusu umiliki wa bundukiRais wa Marekani Donald...
View ArticleRais Mugabe amemtimua kazi Makamu wake
Makamu wa Rais nchini Zimabawe Emmerson Mnangagwa amefutwa kazi, kwa mujbu wa wizara ya habari nchini humo.Bw. Mnangagwa, 75, alionyesha tabia za kukosa uzalendo, waziri Simon Kahaya Moyo...
View ArticleWanawake 26 Wanaijeria wafariki baharini Italia
Miili ya wanawake 26, inayoaminika kuwa ya raia wa Nigeria, imepatikana katika ufukwe wa bahari nje kidogo ya pwani ya Italia.Wanawake hao, ambapo mdogo zaidi kwa umri anaaminika kuwa wa miaka 14,...
View ArticlePICHA ZA RAIS MAGUFULI: Katika uzinduzi wa uwanja wa Ndege Bukoba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald,...
View ArticleWataalamu wafundwa jinsi ya kuandika maandiko mafupi ya kitafiti
Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) imewezesha warsha ya siku 3 kuwajengea uwezo watafiti wa ndani waweze kuandika andiko bora la kuombea fedha kwa ajili ya tafiti.Warsha hiyo...
View ArticleTafiti za kilimo zafika shambani Urambo kwa mara ya kwanza
Na Dotto Mwaibale, Urambo TaboraTAFITI za kilimo zinazofanywa hapa nchini na wataalamu zimewafikia wakulima wa Wilaya ya Urambo mkoani Tabora kwa mara ya kwanza.Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa...
View ArticleSERIKALI IMETOA BURE: Mbegu, na vijatilifu kwa ajili ya kilimo cha Pamba Singida
Serikali imeahidi kutoa bure pembejeo za kilimo kwa wakulima mbali mbali wa zao lapamba mkoani Singida kuanzia msimu huu wa kilimo ikiwa ni moja ya juhudi za kuhamasisha na kufufua kilimo hicho mkoani...
View ArticleUSHAISKIA? Programu mpya ya U900 kutoka Airtel ya kuboresha huduma za Intaneti
Airtel Tanzania Plc kampuni ya mawasiliano iliyojikita katika huduma zenye ubunifu wa teknolojia zaidi nchini, leo katika muendelezo wake wa kutimiza dhamira yake ya kuwa mtandao bora zaidi imetangaza...
View ArticleMfumo wa kutengeneza na kusambaza filamu za Kitanzania (Bongohoodz) wazinduliwa
Kampuni za utengenezaji filamu za Mashauri Studios na Novitech kwa kushirikiana na Clouds Plus pamoja na Shirikisho la Filamu Tanzania imezindua rasmi mfumo wa kutengeneza, kutangaza, kuonyesha na...
View ArticleMSIOGOPE: Deni la Taifa ni himilivu
Benny Mwaipaja, Dar es SalaamKATIBU Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James amewatoa hofu watanzania kuhusu ongezeko la Deni la Taifa akisisitiza kuwa Deni hilo ni himilivu.Bw. James amesema...
View ArticleObama ajitokeza kufanya kazi ya mzee wa baraza Chicago
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama(Pichani juu) alifika katika majengo ya mahakama moja Chicago kuitikia wito wa kuhudumu kama mzee wa baraza la mahakama.Hata hivyo, jaji alimwamuru aondoke bila...
View ArticleBAADA YA KUFUTWA KAZI: Emmerson Mnangagwa aikimbia Zimbabwe
Aliyekuwa makamu wa rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa (Pichani Juu) ambaye alifutwa kazi siku ya Jumatatu amelitoroka taifa hilo kufuatia vitisho vya kifo , kulingana na washirika wake.Rais Mugabe...
View ArticleTrump na Xi Jinping waanza mazungumzo China
Rais wa Marekani, Donald Trump amewasili China na tayari ameanza mazungumzo Rais wa nchi hiyo Xi Jinping, huku ajenda kuu ya mazungumzo yao ikiangazia zaidi mzozo wa silaha za nyuklia wa Korea...
View ArticleMkurugenzi Mkuu Bodi ya Sukari kutolewa kazini
Na Mathias Canal, DodomaWaziri wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba amemuagiza Katibu mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Methew Mtigumwe kumsimamisha kazi mara moja Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari...
View ArticlePICHA TANO: Za Makamu wa Rais katika kilele cha Maadhimisho ya miaka kumi ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride maalum la polisi wanawake kwenye kilele cha Maadhimisho ya miaka kumi ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania...
View ArticleMCHAKATO UNAENDELEA: Kufanikisha uwepo wa Mfumo wa soko la bidhaa
Na Mathias Canal, DodomaSerikali inaendelea na mchakato wa kufanikisha uwepo wa Mfumo wa soko la bidhaa (Commodity Exchange) ambapo miongoni mwa kazi za Mfumo huo utalenga kupunguza gharama za...
View ArticleMoyes adhamiria kuonesha makubwa West Ham
Meneja mpya wa West Ham David Moyes amesema kwamba anataka kutuma ujumbe fulani na kwamba anataka pia kujenga upya sifa zake katika klabu hiyo.Meneja huyo wa zamani wa Everton na Manchester United...
View ArticlePICHA ZA RAIS MAGUFULI: Katika shughuli ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akishikana mkono na kupongezana na Mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuweka jiwe la msingi la...
View Article