UNA HABARI?; TAMWA imefikisha miaka 30 tangu kuanzishwa wake
Suleiman MsuyaWANAWAKE nchini wametakiwa kuonesha uwezo katika nafasi wanazozipata na kauchana na dhana ya kupata upendeleo au kubebwa kama inavyotafsiriwa na jamii.Hayo yamesemwa na Mkurugenzi...
View ArticleFILAMU YA MTOTO NJITI: Imezinduliwa jijini Dar na Dorris Mollel Foundation
Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa filamu fupi ya "Njiti", Waziri wa Madini, Angella Kairuki (katikati) akiwa na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem (kulia) pamoja na Muanzilishi wa...
View ArticleMPYA: Viwanja vya ndege sasa kutafuta hatimiliki
Na Mwandishi WetuMAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imesema itahakikisha inapata hati za viwanja vyake vya ndege ili kupunguza uvamizi kutoka kwa wananchi. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAA, Bw....
View ArticleWAZO: Teknolojia ya mtandaoni ni muhimu katika kukuza biashara
Wajasiriamali wa nchi za Afrika ya Mashariki wametakiwa kuitumia ipasavyo fursa ya kuenea na kukua kwa matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) ili kuendana na kasi ya mapinduzi ya...
View ArticleMary Mwanjelwa ampa changamoto mrajisi wa vyama vya Ushirika
Na Mathias Canal, MtwaraNaibu Waziri wa Kilimo Mhe Mary Machuche Mwanjelwa leo Novemba 18, 2017 amemuagiza Mrajisi wa vyama vya ushirika kukamilisha haraka kazi ya uchunguzi kwenye Bodi za vyama vya...
View ArticleUNA HABARI?: Utafiti wa mapato na matumizi ya kaya binafsi Tanzania Bara umeanza
Benny MwaipajaWAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amezindua zoezi la ukusanyaji wa Takwimu za utafiti wa mapato na matumizi ya kaya binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/2018, utakaogharimu...
View ArticleMaadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika ni kesho
Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yatafanyika kesho tarehe 20 Novemba, 2017 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleAsasi za kiraia zaiomba Serikali kuboresha Sheria ya Usalama Barabarani ya 1973
MTANDAO wa wadau kutoka asasi za kiraia unaotetea marekebisho ya sheria na sera ihusuyo usalama barabarani umeiomba Serikali kuifanyia maboresho sheria ya Usalama barabarabi ya mwaka 1973 ili iweze...
View ArticleMatumizi ya ardhi wilayani kuangaliwa upya na NLUPC
Tume na wadau mbalimbali kutoka Serikalini,Asasi za kiraia wamekutana Morogoro kwa ajili ya kutengeneza urejewa mwongozo wa upangaji,utekelezaji na usimamizi wa mipango ya matumizi ya Ardhi ya...
View ArticleMugabe huenda akashtakiwa
Mtandao wa Twitter unaofuatilia taarifa za vyombo vya habari nchini Zimbabwe unaripoti kuwa Kiongozi wa chama tawala Cha ZANU PF anaamini mchakato wa kumshtaki Bwana Mugabe utaendelea kama ilivyopangwa...
View ArticleESRF katika semina ya kujadili umuhimu wa mipango miji katika maendeleo ya...
MANUFAA ya uchumi unaokua kwa kasi kuelekea uchumi wa kati wa viwanda hayataonekana kama taifa litakuwa na changamoto katika utengenezaji wa miji yake na hivyo kuvuna tija ya miji iliyopangwa...
View ArticleMAHAKAMA IMEAMUA: Uhuru Kenyatta kuapishwa Jumanne ijayo kuwa Rais wa Kenya
Mahakama ya Juu Kenya imeamua uchaguzi wa marudio wa urais uliofanyika tarehe 26 Oktoba, 2017 ulikuwa halali. Rais Uhuru Kenyatta alitangazwa mshindi wa uchaguzi huo baada ya kiongozi wa upinzani Raila...
View ArticleKampeni za udiwani zinavyoendelea huko Iringa
Na Fredy Mgunda,Iringa.MAKADA mbalimbali wa chama cha Mapinduzi (CCM) wamemtaka mgombea udiwani wa kata ya Kitwiru Baraka Kimata kufanya kazi kwa kujituma na kuhakikisha anawaletea maendeleo wananchi...
View ArticleFlydubai yatenga Dola za Kimarekani 27 bilioni za kununua ndege 225 aina ya...
DUBAI, Kampuni ya flydubai yenye makao makuu Dubai imetangaza leo matumizi ya bilioni US$27 kununua ndege 225 aina ya Boeing 737 MAX kwenye harakati zake za kuchangia upanuzi wa huduma za usafiri. Hii...
View ArticleMrembo wa Kenya anyakua taji la Miss Afrika
Shindano la malkia wa urembo duniani la 2017 lilikamilika mjini Sanya China siku ya Jumamosi huku Mkenya Magline Jeruto(Pichani juu) akishinda taji la malkia wa urembo barani Afrika.Hatua hiyo inajiri...
View ArticleZEE LA NYETI: Punguza fiksi uishi kama Messi!
Wabongo noma sana, yaani siku hizo ukiwa king’ang’anizi kwenye jambo unaitwa Mugabe, sasa sijui ukiwa mzee wa fiksi utaitwa nani? Maana hawakosi la kusema jamaa, kila siku tunaamka na drama siku hizi,...
View ArticleJIONEE: Jitihada za Mbunge Neema Mgaya kuwakwamua wanawake kiuchumi
Na Mwandishi Wetu, Makambako NjombeMbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe Neema Mgaya ametoa msaada wa vyerehani 370 vyenye thamani zaidi ya Milioni 90 kwa wanawake mkoani humo ili wajikwamue kiuchumi...
View ArticleMh. Mary Mwanjelwa katika harakati za kampeni za udiwani huko Mbeya
Na Mathias Canal, MbeyaMjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe Mary Mwanjelwa (Mnec) ambaye ni Naibu Waziri wa Kilimo amewasihi wananchi kwa kauli moja kuchagua kiongozi makini...
View ArticleSingida yatilia mkazo miradi ya mani
Ofisi ya Mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Singida imedhamiria kusimamia uboreshaji wa huduma za maji mkoani hapa huku mizaha itakayofanywa na mtu yeyote katika miradi ya maji, kutovumiliwa. Kaimu Katibu Tawala...
View ArticleMH JAPHET HASUNGA: Udhibiti wa mazao ya Misitu ni lazima
Na Hamza Temba – WMUNaibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga ameuagiza uongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kubuni utaratibu mpya ikiwemo kuanzishwa kwa chombo...
View Article