Mh Mwanjelwa atoa agizo kuhusu uuzwaji holela wa mbolea
Na Mathias Canal, MbeyaMakatibu tawala kote nchini wametakiwa kutafiti na kubaini wafanyabiashara wadogo wa mbolea wanaokiuka bei elekezi kutokana na wafanyabiashara wakubwa kuwauzia wafanyabiashara...
View ArticleKongamano la wasomi kufanyika Jumamosi hii
Na Dotto MwaibaleWANAFUNZI waliohitimu vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini Jumamosi ya Wiki hii wanatarajia kufanya kongamono kubwa la kihistoria kujadili namna watakavyoweza kutumia taaluma zao...
View ArticleVyakula muhimu kwa ukuaji wa akili ya mtoto
Na Jumia Food TanzaniaMiongoni mwa changamoto zinazowakumba wazazi wengi wa kitanzania ni kushindwa kufahamu na kupangilia vyakula sahihi kwa ukuaji wa afya za watoto wao. Afya ya akili ya mtoto ni...
View ArticleJIONEE: Maadhimisho ya wiki ya Usalama kwa vitendo
Mafundi wa kampuni ya Minica Ltd, kwa kushirikiana na Kamati ya Usalama Barabarani na Benki ya Stan Bic, wakichora alama za kivuko cha waenda kwa miguu 'Zebra' katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi...
View ArticleTaasisi ya APHTA yatekeleza Vyema Mpango wa Kuzuia Magonjwa Yasiyoambukiza...
Inaelezwa kwamba hadi kufikia mwaka 2020 magonjwa yasiyoambukiza yanaweza kusababisha asilimia 73 ya vifo kote duniani ikiwa hatua madhubuti hazitachukuliwa katika kupambana na magonjwa hayo ikiwemo...
View ArticleKWA TAARIFA YAKO: Standard Chartered Bank ndio wenyeji ‘One Belt-One...
Mgeni Rasmi Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji, Mh. Charles Mwijage akihutubia waalikwa mbalimbali kuhusu fursa zinazopatikana katika uwekezaji. (OBOR Initiative) katika hafla ya chakula cha...
View ArticleMichuano ya SHIMUTTA yazinduliwa na Mheshimiwa Mwakyembe
Michuano ya SHIMUTA inayohusisha wafanyakazi wa mashirika ya umma, kampuni za watu binafsi na taasisi zilizopo hapa nchini imezinduliwa rasmi mkoani Iringa huku washiriki wakiwataka waajiri kuwaruhusu...
View ArticleCelebrations of 10 Years of Bank Of Africa
The guest of honor; Honorable Charles Mwijage, Minister of Industries, Trade and Investment giving out the speech at the Bank’s 10 years’ anniversary event, yesterday at Serena Hotel.CEO and Managing...
View ArticleKWA TAARIFA YAKO: Fiesta iPod Jumamosi hii, uthibitisho huu hapa
Mkurugenzi wa Huduma za Masoko Tigo, William Mpinga(katikati) akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kutambulisha wasanii watakaopanda katika jukwaa la Tigo...
View ArticleWASOMI: Msaidieni Magufuli kuliletea Taifa maendeleo yenye tija
Na Dotto MwaibaleASKOFU Mkuu wa Kanisa la Abundant Bressing Centre (ABC), Flaston Ndabila amewataka Vijana wasomi na wanataalumu nchini kumsaidia Rais Dk.John Magufuli kuliletea Taifa maendeleo.Ndabila...
View ArticleSHUHUDIA: Kasi ya utekelezwaji mirada ya mani Halmashauri ya Itigi
Utekelezaji wa miradi ya maji katika Halmashauri ya Itigi umeonekana kuwa wenye kasi inayoridhisha licha ya halmashauri hiyo kuanzishwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita.Kaimu Kaibu Tawala Mkoa wa...
View ArticleKilele cha Tigo Fiesta 2017 jijini Dar Es Salaam
Msanii Madee kushoto akiwa na Janjaroo na TundaMan kwa pamoja kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam usiku wa kuamkia jana. Ommy Dimpozi akiwa...
View ArticleMAFUNZO: Kwa wagon huduma kwa watalii kuanza Leo
Na Hamza Temba-WMUKatika kutimiza azma ya Serikali kuboresha huduma za ukarimu kwenye sekta ya utalii nchini, Wizara ya Maliasili na Utalii imekichagua Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka...
View ArticleJAFO: Kuzingatia maadili na kupiga vita rushwa ndio msingi Mkuu wa Maendeleo...
Uzingatiaji wa Maadili na mapambano dhidi ya Rushwa miongoni mwa viongozi, watumishi wa umma na wananchi ndio msingi mkuu utakaowezesha kuimarisha maendeleo endelevu nchini. Waziri wa Nchi - Ofisi ya...
View ArticleJapan yaonesha nia kujenga mio\undombinu ya kisasa Dodoma
SHIRIKA la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) limesema liko tayari kushirikiana na Serikali kujenga miundombinu ya kisasa ya usafiri, Nishati ya umeme, maji na usafi wa mazingira katika Makao Makuu...
View Article