$ 0 0 Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Rosemary Staki amezindua shughuli ya kupanda miti maeneo oevu/ kwenye vyanzo vya Maji katika Kata ya Bwambo. Zoezi hilo limefanyika kwa ushirikiano na shirika lisilo la kiserikali la Floresta.