MKUU WA MKOA WA SINGIDA AANZA ZIARA YA KUTEMBELEA KATA 136
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Methew Mtigumwe akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa hadhara Kijijini Doroto Baadhi ya wananchi wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Methew...
View ArticleSBL yatoa saruji yenye thamani ya sh m.10/- kwa waathirika wa tetemeko Kagera
Meneja Usalama wa SBL, Sebastian Kalugulu akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu baadhi ya mifuko ya saruji 500 yenye thamani ya shilingi milioni 10 kwa wahanga wa...
View ArticlePICHA: RAIS DKT. MAGUFULI AAGANA NA MGENI WAKE RAIS WA ZAMBIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Rais...
View ArticleWABUNGE WAWEKA KAMBI TANGA
Mwenyekiti wa timu ya Bunge,William Ngereja ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Sengerema mkoani Mwanza akizungumzia maandalizi ya timu ya Bunge kuelekea mashindano ya Afrika Mashariki yatakayofanyika nchini...
View ArticleMADAKTARI NCHINI WAMETAKIWA KUITISHA MIKUTANO YA KIJAMII ILI KUJADILI MAGONJWA
Katibu Mtendaji wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Fabian Magoma (kulia), akizungumza katika Kongamano la 33 la siku tano la Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) linaloendelea Hoteli ya...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA JIJINI DAR ES...
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni akiwa na Kamishna Mkuu wa Magereza John Casmir Minja kabla ya kuongea na maafisa na askari wa Jeshi la Magereza...
View ArticleFAHAMU JINSI FEDHA ZA TETEMEKO LA ARDHI MKOANI KAGERA ZILIVYOTUMIKA
Na Mathias Canal Ndugu zangu kama ambavyo tunakumbuka Tarehe 10/09/2016 majira ya saa 9 na dakika 27 Alasiri maeneo ya Kanda ya ziwa hasa Mkoani Kagera kulitokea tetemeko la ardhi linalokadiriwa kuwa...
View ArticleUN NA EU YAWANOA MABALOZI 50 WA MALENGO YA DUNIA IRINGA
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez akimkabidhi Ripoti ya Umoja wa Mataifa ya mpango wa misaada ya...
View ArticleESRF YAFANIKISHA MKUTANO WA 5 WA MWAKA, WAJADILI UCHUMI
Imeleezwa kuwa ili kumwezesha kila mwananchi wa Tanzania kupata maendeleo na kuondokana na janga la umaskini, Serikali haina budi kutunga sera ambazo zitamgusa kila mwananchi na kuwa na faida jambo...
View ArticleNAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba, ambaye yuko Nairobi kuhudhuria kikao cha Bunge la Afrika Mashariki, ametumia fursa hiyo kutembelea Ubalozi wa...
View ArticleMADIWANI HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA WAINGIA MTAANI KUKUSANYA MAPATO
Meya wa jiji la Mbeya David Mwasilindi Halmashauri ya jiji la Mbeya imebuni njia mpya ya ukusanyaji wa mapato ili kufikia malengo yake ya ukusanyaji wa kiasi cha shilingi bilioni 11 katika mwaka wa...
View ArticleKAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) EX Peter Kakamba amefariki dunia alfajiri ya tarehe 30/11/2016 katika hospital ya taifa Muhimbili alipokuwa...
View ArticleMtanzania wa Kwanza Kupanda Mlima Evarest , Na Muafrika wa Tatu Kupanda Mlima...
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said (Mpaka Basi) akiwa na mgeni wake Ndg Wilfred Moshi wakiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar, kutembelea na...
View ArticleMD KAYOMBO AFANIKISHA MRADI SHULE YA MATOSA
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo amepongezwa na walimu pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Matosa iliyopo Kata ya...
View ArticleSERIKALI YASITISHA UCHIMBAJI HARAMU WA MADINI MWAKITOLYO, SHINYANGA.
TAARIFA KWA UMMASerikali imewataka Wachimbaji Wadogo wa Madini kuachia maeneo ya Namba 1, 2, 3, 4 na 6 katika eneo la Mwakitolyo lililo ndani ya Leseni ya utafutaji Madini Na. PL 5044/2008...
View ArticleMOBISOL NA ZUKU TV WAZINDUA HUDUMA ZA TELEVISHENI YA SATELITE YA NISHATI YA JUA
Meneja Mkuu wa Zuku Tv Tanzania , Bw.Omari Zuberi akiongea na waandishi wa habari juu ya huduma mpya ya TV ya nishati ya jua ambayo ina channel za Zuku Tv katikati ni Afisa masoko wa Mobisol Sjors...
View ArticlePICHA NA VIDEO:UNESCO-TANZANIA YAWAJENGEA UWEZO MAAFISA KUTOKA WIZARA YA...
Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, (UNESCO), nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigueas, (kulia), akiendesah semina ya mafunzo ya siku tatu kujenga uwezo kwa maafisa wa...
View ArticleMADIWANI MERU WAMKATAA MKURUGENZI
makamu mwenyekiti wa baraza la madiwani Meru akiwa anachangia hoja katika baraza hilo baadhi ya madiwani wa meru wakifuatilia kikao mkurugenzi wa halmashauri ya Meru Christopher Kazer akifafanua...
View ArticleDC STAKI AZINDUA HUDUMA YA UPANDAJI MITI MAENEO OEVU KWENYE VYANZO VYA MAJI
Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Rosemary Staki amezindua shughuli ya kupanda miti maeneo oevu/ kwenye vyanzo vya Maji katika Kata ya Bwambo. Zoezi hilo limefanyika kwa ushirikiano na shirika...
View ArticleMUUZA MITUMBA SOKO LA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM AFUTIWA LESENI YA BIASHARA...
Diwani wa kata ya Mchikichini, Joseph Ngowa (katikati), akihutubia wakati akizindua kampeni ya siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Shirika la Eguality for Growth (EfG), Dar es...
View Article