Quantcast
Channel: Mdimu's Blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1295

RAUNDI YA TATU KOMBE LA FA MANCHESTER UNITED YAPEWA READING

$
0
0
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho
Manchester United watakutana na Reading katika hatua ya klabu 32 bora michuano ya Kombe la FA baada ya kutoka  droo .
Kocha  wa Reading  Jaap Stam ambae alikuwa  ni beki wa zamani wa Manchester United amepangiwa kuwafata mashetani hao wekundu katika uwanja wao wa nyumbani wa Old Trafod.wakati huo Chelsea nao watakutana na mshindi kati ya Petersborough na Notts County.
Michuano hiyo ya raundi ya tatu itachezwa kati ya tarehe  6 na 9 Januari, 2017.
West Ham watakuwa wenyeji wa Manchester City kwenye mechi itakayokutanisha klabu za Ligi za Premia, huku wenzao Everton wakiwa wenyeji wa Leicester City.
Droo za Raundi ya tatu Kombe la FA
Ipswich v LincolnBarrow v Rochdale
Manchester United v ReadingHull v Swansea
Sunderland v BurnleyQPR v Blackburn
Millwall v BournemouthWest Ham v Manchester City
Brighton v MK Dons/CharltonBlackpool v Barnsley
Wigan v Nottm ForestBirmingham v Newcastle
Chelsea v Peterborough/Notts CountyMiddlesbrough v Sheff Weds
West Brom v Derby CountyEverton v Leicester
Liverpool v Newport/PlymouthWycombe v Northampton/Stourbridge
Watford v Burton AlbionPreston v Arsenal
Cardiff v FulhamStoke v Wolves
Cambridge Utd v LeedsBristol City v Shrewsbury/Fleetwood
Huddersfield v Port ValeTottenham v Aston Villa
Brentford v Halifax/EastleighBolton v Crystal Palace
Norwich v SouthamptonSutton Utd v AFC Wimbledon
Accrington v LutonRotherham v Oxford/Macclesfield


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1295

Trending Articles