Hatimaye Zari na Diamond wamefanikiwa kupata mtoto wa pili leo hii katika hosipitali ya NETCARE iliyopo proteria nchini Afrika ya kusini..Diamond na Zari wameposti picha za mtoto wao,katika mtandao wa instagram na hivi ndivyo walivyoandika.
Diamond aliandika hivi
06th Dec 2016 03: 35am SA time...... 04: 35am EAST Time.... 02: 35am WEST Time.... 01: 35 am NORTH Time, A NEW STAR WAS BORN in NETCARE HOSPITAL / PRETORIA / SOUTH AFRICA.... unfortunately his parents Dad & Mom haven't agreed on the name.... that's why it even took time, to his advent to be on his parent's Social media Pages..... Let's wait and See, what @zarithebosslady & @Diamondplatnumz will ended up call him...
(Tareh 6/ 12/ 2016 saa kumi na dakika 35 Staa Mpya wa akiume alizaliwa katika hospitali ya NETCARE iliyopo mjini Pretoria / South Africa... kutokana na wazazi wake kutofikiana Muafaka wa mtoto aitwe jina gani, ilipelekea mtoto huyo kuchelewa kupostiwa kwenye Mitandao ya kijamii ya Wazazi wake.... tusubiri tuone @zarithebosslady na @DiamondPlatnumz wataishia kumpa jina gani Mtoto wao...✍ )