Kutoka katika tukio linaloendelea muda huu ndani ya Mlimani City katika utoaji wa tuzo za EATV 2016. Washindi wa tuzo hizo:
Mwanamuziki Bora Chipukizi ni Man Fongo huku tuzo ya Kundi Bora la Mwaka ikichukuliwa na kundi la Navy Kenzo.
Kwa upande wa muigizaji Bora wa kike imeenda kwa Msanii Chuchu Hans na Msanii Bora wa kiume ikinyakuliwa na Gabo.
Kwa upande wa Mwanamuziki Ali Kiba ameibuka mshindi wa wimbo bora wa Aje,pamoja na nyimbo bora ya mwaka.mpaka sasa hivi Ally kiba na gabo ndio wasanii waliochukua tuzo mbili, Msanii Darasa akifanya vitu jukwaani ..ameangusha moja ya bonge la show Baadhi ya wafuatiliaji wakiwa meza za mbele ndani ya ukumbi wa Mlimani City Tukio la tuzo likiendelea..