Quantcast
Channel: Mdimu's Blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1295

Polisi Wa Sudan Wapuuza Mlipuko Kwenye Ghorofa La Makazi Huko Khartoum

$
0
0

Tokeo la picha la explossion in khatoum

Polisi nchini Sudan wamepuuza mlipuko uliotokea kwenye jengo la ghorofa katika eneo la makazi mjini Khartoum.

Polisi wa nchi hiyo wametoa taarifa wakisema, mlipuko mdogo ulitokea ndani ya ghorofa moja ni bomu lililotengnezwa nyumbani, ambalo lililipuka wakati mtuhumiwa anaanza kutengeneza.

Taarifa pia imesema, vitu vilivyokamatwa si vya kutengeneza bomu kubwa kutokana na madhara madogo yaliyoonekana kwenye eneo la tukio. Polisi wamegundua vifaa vinavyotumiwa kutengeneza bomu ndani ya ghorofa hiyo pamoja na pasipoti za kigeni.

Polisi wamesema wamewakamata watuhumiwa muda mfupi baada ya tukio.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1295

Trending Articles