Wahitimu Darasa La Saba Kuchujwa Upya Kujiunga Kidato Cha Kwanza
Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NACTE), Dkt. Charles Msonde amesema kuwa wanafunzi wote ambao walichaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule za Sekondari nchini wanatakiwa...
View ArticleNape Apiga ‘Stop’ Zuio La TCRA Kuhusu TV Za Mtandaoni
Siku chache baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kudaiwa kuzuia uendeshaji wa runinga za mtandaoni (online TV), Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametengua zuio...
View ArticleYoung Africans Kurejea Kesho
Wawakilishi wa Tanzania bara kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika, Young Africans wanatarajiwa kurejea nchini kesho tayari kwa maandalizi ya mchezo wa marudiano wa Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa...
View ArticlePolisi Wa Sudan Wapuuza Mlipuko Kwenye Ghorofa La Makazi Huko Khartoum
Polisi nchini Sudan wamepuuza mlipuko uliotokea kwenye jengo la ghorofa katika eneo la makazi mjini Khartoum.Polisi wa nchi hiyo wametoa taarifa wakisema, mlipuko mdogo ulitokea ndani ya ghorofa moja...
View ArticleAskari Wanane Wa Somalia Wauawa Katika Mapambano Dhidi Ya Kundi La Al-Shabaab
Askari wasiopungua wanane wa jeshi la Somalia wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa kwenye mapambano na wapiganaji wa kundi la Al-Shabaab katika maeneo ya Warmahan na Tihsile, kusini mwa...
View ArticleAdele akili beyonce ni zaidi yake, ammpa tuzo yake
Nyota wa muziki nchini Marekani Adele ameonekana kukataa tuzo ya Grammy aliyotunukiwa kwa kuwa na albamu bora zaidi.Badala yake, amesema Beyonce ndiye aliyestahili zaidi kutunukiwa tuzo hiyo.Adele...
View ArticleTID Aomba Radhi Kwa Kutumia ‘Unga’, Awapa Neno Wanaohofia Atawataja
Khaled Mohammed, maarufu kama Top In Dar es Salaam (TID), kwa mara ya kwanza amekiri hadharani kuwa alikuwa anatumia dawa za kulevya na kuwaomba radhi watanzania kwa ujumla.Akizungumza muda mfupi...
View ArticleSamson Siasia Atafuta Kibarua Rwanda, Afrika Kusini
Gwiji wa soka nchini Nigeria Samson Siasia ameonyesha dhamira ya kurejea kwenye ukufunzi wa mchezo huo barani Afrika, kufuatia mataifa kadhaa kusaka makocha watakao kabidhiwa jukumu la kufuzu fainali...
View ArticleAC Milan Watupia Jicho Arsenal, Everton
Klabu ya AC Milan imeripotiwa kuwa katika harakati za kutaka kuwasajili washambuliaji wanaocheza katika ligi ya nchini England Romelu Lukaku wa Everton pamoja na Alexis Sanchez wa Arsenal.Wawili hao...
View ArticleGareth Bale Kuongeza Nguvu Real Madrid
Mshambuliaji Gareth Bale ameungana na wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Real Madrid katika mazoezi ya kuelekea mchezo wa hatua ya 16 bora wa michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya SSC...
View ArticleRuud Gullit Amkosoa Claudio Ranieri
Gwiji wa soka nchini Uholanzi Ruud Gullit, ameukosoa uongozi wa klabu ya Leicester City ya England, kwa kuuambia ulipaswa kufanya mabadiliko baada ya kutwaa ubingwa msimu uliopita.The Foxes wanahaha...
View ArticleKanuni Zaipa Meno FC Barcelona
Mabingwa wa soka nchini Hispania FC Barcelona wanaruhusiwa kufanya usajili wa kuziba nafasi ya beki wa pembeni Aleix Vidal ambaye mwishoni mwa juma lililopita alipata majeraja ya mguu.FC Barcelona...
View ArticleSergio Aguero Amuweka Njia Panda Pep Guardiola
Meneja wa Man City Pep Guardiola, ameonyesha kutokua na uhakika wa kuendelea kufanya kazi na mshambuliaji kutoka nchini Argentina Sergio Aguero.Guardiola ambaye ameshindwa kumtumia mshambuliaji huyo...
View ArticleBorussia Dortmund Waichimba Mkwara Arsenal
Mtendaji mkuu wa klabu ya Borussia Dortmund Hans-Joachim Watzke ameionya klabu ya Arsenal, kwa kuitaka ikae mbali na meneja Thomas Tuchel.Tuchel anatajwa kuwa sehemu ya mameneja wanaofikiria kurithi...
View ArticleMan City Waacha Kilio Dean Court
Matajiri wa mjini Manchester (Man City) wameichapa Bournemouth mabao mawili kwa sifuri katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka nchini England.Ushindi huo umeiwezesha Man City kurejea kwenye nafasi ya pili...
View ArticleWanahabari Watakiwa Kuacha Kuamini Kila Kitu, Wasome
Afisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vuzo akisheheresha kwenye sherehe za maadhimisho ya siku ya radio duniani yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu...
View ArticleWanandoa Wahukumiwa Miaka 20 Jela Kwa Kukutwa Na Meno Ya Tembo
Watuhumiwa wa Ujangili, Peter Kabi (wa pili kulia) na mke wake Leonida Loi Kabi (wa tatu kulia) wakielekea kusomewa mashtaka ya kukutwa na meno 210 na mifupa mitano ya tembo katika mahakama ya Hakimu...
View ArticlePenati Ya Sadio Mane Yahatarisha Maisha Ya Mjomba
Mjomba wa mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Sadio Mane, ametoa taarifa za kuhofia usalama wa familia yake baada ya mpwa wake kukosa penati na kusababisha Senegal kutolewa kwenye michuano ya AFCON...
View ArticleShirika La Ndege La Ethiopia Lachukua Nafasi Ya Juu Kwa Kutochelewa
Shirika la ndege la Ethiopia ambalo ni shirika kubwa zaidi la ndege barani Afrika limechukua nafasi ya 11 duniani kwenye hali ya kutochelewesha safari za ndege katika mwezi wa Januari.Kwa mujibu wa...
View ArticleBaraza La Usalama La Umoja Wa Mataifa Lajadili Jaribio La Kombora La Korea...
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limekutana kujadili jaribio la kombora la Korea Kaskazini la Jumapili iliyopita, kutokana na ombi la Marekani, Japan na Korea Kusini.Katibu mkuu wa Umoja wa...
View Article