Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Landes SportBund Niedersachsen e.v ya nchini Ujerumani Bw.Reinhard Rawe kuhusu jinsi wanavyoweza kushirikiana katika Sekta ya Maendeleo ya Michezo hapa nchini walipokutana jana Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Landes SportBund Niedersachsen e.v ya nchini Ujerumani Bw.Reinhard Rawe akimueleza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kushoto) namna ambavyo kampuni yake inaweza kushririkiana na Wizara katika Sekta ya Maendeleo ya Michezo hapa nchini walipokutana jana Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (katikati) akiangalia zawadi aliyopewa na Ujumbe wa Kampuni ya Landes SportBund Niedersachsen e.v ya nchini Ujerumani baada ya kumaliza mazungumzo kuhusu maendeleo ya Sekta ya Michezo hapa nchini yaliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kampuni ya Landes SportBund Niedersachsen e.v ya nchini Ujerumani Bibi Angie (wa kwanza kulia) akimueleza jambo Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye wakati wa mazungumzo baina yao kuhusu maendeleo ya Sekta ya Michezo hapa nchini yaliyofanyika jana Jijjini Dar es Salam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Kampuni ya Landes SportBund Niedersachsen e.v ya nchini Ujerumani baada ya kumaliza mazungumzo kuhusu maendeleo ya Sekta ya Michezo hapa nchini yaliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam.