Watu Wasiopungua 30 Wameuawa Kwenye Shambulizi La Bomu Lililotegwa Kwenye...
Watu wasiopungua 30 wameuawa katika shambulizi la bomu lililotegwa kwenye gari lilitokea jana katika soko moja lenye watu wengi Mogadishu.Idara ya usalama ya Somalia NISA imesema wahanga ni pamoja na...
View ArticleVincent Kompany Kuikosa AS Monaco
Beki na nahodha wa Man City Vincent Kompany atakosa mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya AS Monaco utakaopigwa baadae hii leo kwenye uwanja wa Etihad Stadium.Meneja wa Man City Pep...
View ArticleNigeria Yaitaka Afrika Kusini Kuwalinda Raia Wake Katika Mashambulizi Dhidi...
Nigeria imeitaka serikali ya Afrika Kusini ichukue hatua madhubuti kuwalinda raia wa Nigeria na watu kutoka nchi nyingine za Afrika wanaoishi nchini humo katika mashambulizi yanayotokana na chuki dhidi...
View ArticleBaraza Kuu La UN Laomboleza Kifo Cha Vitaly Churkin
Baraza kuu la UN laomboleza kifo cha balozi wa Russia katika Umoja huo Vitaly Churkin.Baraza kuu la Umoja wa Mataifa jana liliomboleza kifo cha balozi wa Russia katika umoja huo Vitaly Churkin, saa...
View ArticleFikile Mbalula: Zuma Hamuungi Mkono Issa Hayatou
Waziri wa michezo wa Afrika Kusini Fikile Mbalula amekanusha taarifa zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma kumuunga mkono Rais wa shirikisho la soka barani...
View ArticleUmoja Wa Mataifa: Ukosefu Wa Chakula Umewaathiri Wakimbizi Milioni 2 Barani...
Mashirika ya chakula na wakimbizi ya Umoja wa Mataifa yameeleza wasiwasi juu ya ukosefu mkubwa wa chakula unaowakabili wakimbizi wapatao milioni 2 katika nchi 10 barani Afrika.Naibu msemaji wa Umoja...
View ArticleWaziri Mbarawa Azungumza Na Mwakilishi Wa Benki Ya Exim Ya Korea
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akimsikiliza Mwakilishi wa Dar es Salaam kutoka Benki ya Exim ya Korea Bw. Lee Hyonjong (wa pili kushoto), ofisini kwake leo, jijini Dar...
View ArticleSerikali Yawataka Maafisa Habari Kutumia Njia Za Kisasa Za Mawasiliano...
Mkurugenzi wa Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas akizungumza na Maafisa Habari na Tehama wakati wa Mafunzo elekezi ya matumizi ya tovuti kutoka Mikoa 5 na Halmashauri 35 za Mikoa ya...
View ArticleMadiwani Mufindi Wapitisha Eneo Jipya La Ujenzi Wa Ofisi Za Makao Makuu Ya...
Mkurugenzi wa halmshauri ya Wilaya ya Mufindi Profesa Riziki Shemdoe akizungumza mara baada ya kupitishwa kwa eneo la ujenzi wa makao makuu.Mwenyekiti wa kamati iliyokuwa imeundwa kwa ajili ya...
View ArticleMonduli Yaunga Mkono Kupiga Vita Madawa Ya Kulevya
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo akizungumza na watumishi katika wilaya ya Monduli ,alipofanya ziara ya kukagua maendeleo katika halmashauri hiyo,aliyeko pembeni yake ni mkuu wa wilaya...
View ArticleWaziri Nape Akutana Na Ujumbe Wa Kampuni Ya Landessport Bund Niedersachsen...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Landes SportBund Niedersachsen e.v ya nchini Ujerumani Bw.Reinhard Rawe kuhusu jinsi...
View ArticleIzzo Bizness: Dawa Za Kulevya Zimewashusha Wasanii
Rapa Izzo Bizness, anayetamba na wimbo wa ‘Umeniweza’ ameweka wazi kwamba dawa za kulevya ndizo zilizoshusha viwango vya baadhi ya wasanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini.Izzo alidai hataki kuingia...
View ArticleChansela Wa Ujerumani Aahirisha Ziara Yake Nchini Algeria
Chansela wa Ujerumani Angela Merkel ameamua kuahirisha ziara yake nchini Algeria iliyopangwa kuanza Jumatatu wiki hii, kutokana na matatizo ya kiafya ya rais Abdulaziz Bouteflika wa Algeria. Rais...
View ArticleLucas Perez Achoshwa Na Mipango Ya Arsene Wenger
Wakala wa mshambuliaji kutoka nchini Hispania Lucas Perez amesema mchezaji wake yupo tayari kuachana na Arsenal iliyomsajili mwanzoni mwa msimu huu akitokea Deportivo La Coruña.wakala wa mshambuliaji...
View ArticleWafuasi Wanne Wa Kundi La IS Washitakiwa Kwa Ugaidi Nchini Kenya
Watu wanne wanaotuhumiwa kuwa wafuasi wa kundi la IS wamefikishwa mahakamani mjini Mombasa, Kenya kujibu mashtaka yanayohusiana na ugaidi.Mwendesha mashtaka wa Kenya amesema watuhumiwa hao Nasra Fais...
View ArticleMwamuzi Wa Simba Vs Yanga Kutajwa saa 24 Zijazo
Mwenyekiti wa kamati ya waamuzi ya TFF Salum Umande Chama (Aliesimama).Kamati ya waamuzi ya shirikisho la soka nchini TFF imeahidi kuwataja waamuzi watakaochezesha mchezo wa Simba na Yanga saa 24...
View ArticleChristian Bassogog Atimkia China
Kiungo wa mabingwa wa soka barani Afrika, timu ya taifa ya Cameroon Christian Bassogog amejiunga na klabu ya Henan Jianye inayoshiriki ligi kuu ya soka nchini China, akitokea Denmark alipokua...
View ArticleMark Clattenburg Kuchezesha Hadi Mwishoni Mwa MSimu
Mwamuzi Mark Clattenburg ataendelea kuchezesha michezo ya ligi kuu ya soka nchini England hadi mwishoni mwa msimu huu.Juma lililopita mwamuzi huyo alitangaza kuachana na ligi hiyo baada ya kupata ajira...
View ArticleKjell Jonevret Akabidhiwa Jahazi La Orlando Pirates
Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika kusini imemtangaza Kjell Jonevret kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu soka nchini humo.Kocha huyo raia wa nchini Sweden ametangazwa kuchukua majukumu...
View ArticleJurgen Klopp, Arsene Wenger Hawana Nafasi FC Barcelona
Mchambuzi wa soka la nchini Hispania Guillem Balague amewanyima nafasi mameneja wa klabu za Liverpool na Arsenal Jurgen Klopp na Arsene Wenger ya kuwa wakuu wa benchi la ufundi la FC Barcelona endapo...
View Article