Chadema Waeleza Watakachofanya Baada Ya Mbunge Wao Kuhukumiwa Kifungo
Baada ya kupata pigo la aina yake jana kwa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijuakali kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza kutorishwa na uamuzi...
View ArticleJB: Millioni Zimenitoka Maandalizi Kiu Ya Kisasi
Nyota wa Filamu nchini, Jacob Steven maarufu kama 'JB' anazidi kufanya vizuri katika tasnia ya uigizaji ambapo mwezi februari mwaka huu, anatarajia kutoa kazi yake mpya ambayo inatarajiwa kupendwa na...
View ArticleArsenal, Man Utd, Chelsea, Man City Zamuwania Carrasco
Klabu ya Atletico Madrid ipo kwenye wakati mgumu wa kuhakikisha inambakisha mshambuliaji wake wa pembeni kutoka nchini Ubelgiji Yannick Ferreira Carrasco, katika kipindi hiki cha dirisha dogo la...
View ArticleBenki Ya Posta Tanzania Tawi La Mbeya Washerekea Sherehe Za Mapinduzi...
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Posta Tanzania Tawi la Mbeya wakishiriki zoezi la usafi katika kituo cha Afya kiwanja Mpaka jijini Mbeya ikiwa ni sehemu ya kusherekea miaka 51 ya Mapinduzi ya...
View ArticleMaprofesa Waliotekwa Na Taliban Waoneshwa Kwenye Video
Wapiganaji wa Taliban wametoa kanda ya video inayowaonesha mateka wawili - Mmarekani na raia wa Australia ambao walitekwa na wanamgambo hao nchini Afghanistan mwaka jana.Mmarekani Kevin King na raia...
View ArticleWakala Wa Andrea Belotti Afunguka, Atuma Salamu Emirates Stadium
Wakala wa mshambuliaji Andrea Belotti wa klabu ya Torino, ameitaka Arsenal kujipanga kikamilifu ili kufanikisha usajili wa mchezaji wake katika kipindi hiki cha mwezi Januari.Tayari Arsenal wameshatuma...
View ArticleViwango Vya Ubora Wa Soka Duniani: Tanzania Yaendelea Kusota
Shirikisho la Soka Duniani, FIFA limetoa orodha ya viwango vya soka duniani vya mwezi huu.Kwa mujibu wa viwango hivyo, Tanzania imeendelea kushikilia nafasi ya 155 Duniani kama ilivyokuwa mwezi...
View ArticleMohamed Sissoko Apania Kurejea Ligi Kuu England
Kiungo wa zamani wa majogoo wa jiji (Liverpool) Mohamed Sissoko anajipanga kurejea katika ligi ya nchini England.Sissoko ameweka dhamira hiyo baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Pune City...
View ArticleChuba Akpom Asaka Nafasi Ya Kujinusuru Kisoka
Baada ya kuwa na mazingira magumu ya kutimiziwa ahadi ya kucheza katika kikosi cha kwanza, mshambuliaji kinda wa klabu ya Arsenal Chuba Amechi Akpom, ameonyesha kuwa tayari kucheza soka lake kwenye...
View ArticleRais Dkt. Magufuli Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Barabara Ya Mwigumbi-Maswa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi-Maswa (Km 50.3) katika Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. Wengine...
View ArticleLigi Kuu Tanzania Bara Kuendelea Kesho Ijumaa
Wakati timu pinzani ‘derby’ za JKT Ruvu na Ruvu Shooting zikitarajiwa kuchuana kesho Ijumaa Januari 13, 2017 kwenye Uwanja wa Mabatini, ulioko Mlandizi mkoani Pwani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom...
View ArticleLuke Shaw Kuliepuka Panga La Jose Mourinho?
Beki wa pembeni wa Man Utd Luke Shaw anakabiliwa na wakati mgumu wa kumshawishi meneja wa klabu hiyo Jose Mourinho, ili kuepuka kimbunga cha kuondoshwa klabuni hapo.Shaw anakabiliwa na janga la la...
View ArticleAFCON 2019: Safari Ya Tanzania Kuamuliwa Na Uganda, Cape Verde Na Lesotho
Tanzania imepangwa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019 nchini Cameroon pamoja na Uganda, Cape Verde na Lesotho.Hili linaweza kuwa kundi rahisi zaidi Taifa Stars, kwani zote...
View ArticleMwana FA: Wasanii Wa Bongo Wanakosea Sana
Imezoeleka kuwa shabiki ndiye ‘Bosi’ wa msanii, lakini Mwana FA anaamini Bosi huyu hapaswi kuwa muamuzi wa anachopaswa kufanya msanii huyu.Mkali huyo wa ‘Dume Suruali’ ametaja kile anachokiita kosa...
View ArticleYametimia: Schneiderlin Atua Goodison Park
Klabu ya Everton imekamilisha usajili wa kiungo kutoka nchini Ufaransa Morgan Schneiderlin, akitokea Old Trafford yalipo makao makuu ya ya Man Utd.Everton wamekamilisha usajili huo, kwa ada ya Pauni...
View ArticleLowassa: Kuimarika Kwa UKAWA Kunawatia Hofu CCM
Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa, amesema kuimarika kwa umoja na mshikamano miongoni mwa vyama vya upinzani nchini kunawatia kiwewe Chama cha Mapinduzi (CCM), wanaoongoza serikali na kufanya...
View ArticleSlaven Bilic: Nitahakikisha Payet Anabaki West Ham Utd
Meneja wa klabu ya West Ham Utd Slaven Bilic kwa mara ya kwanza amezungumza hadharani kuhusu tofauti zilizojitokeza kati yake na kiungo mshambuliaji kutoka nchini Ufaransa Dimitri Payet.Bilic...
View ArticleBiden Atokwa Na Machozi Akipewa Medali Na Obama
Rais wa Marekani Barack Obama amemtunuku makamu wake Joe Biden Medali ya Rais ya Uhuru, ambayo ndiyo nishani ya hadhi ya juu zaidi anayoweza kupewa raia nchini Marekani.Biden, ambaye alionekana...
View ArticleWatatu Wasaini Mikataba Mipya Emirates Stadium
Klabu ya Arsenal imetangaza kukamilisha mpango wa kuwasainisha mikataba mipya wachezaji watatu kutoka nchini Ufaransa Olivier Giroud, Laurent Koscielny na Francis Coquelin.Arsene Wenger alisema:...
View ArticleAdama Barrow Amuita Jamee Mezani Kwa Mazungumzo
Mashindi wa Uchaguzi wa Rais nchini Gambia Adama Barrow amemtaka Rais anayemaliza mujda wake Yahya Jammeh kushiriki katika mazungumzo ya moja kwa moja ili kutatua mgogoro wa kisiasa ulioikumba nchi...
View Article