James Kotei: Yule Aliyevaa Jezi Namba 27 (Msuva) Ni Kiboko
Kiungo wa Simba, Mghana, James Kotei, amechungulia katika kikosi cha Yanga na kusema: “Simon Msuva ndiye mchezaji bora kwa upande wa Yanga.” Kotei ameyasema hayo baada ya kuisaidia timu yake ya Simba...
View ArticleSamani Za Ndani Zamng’arisha Jacqueline Ntuyabaliwe Kwenye Forbes
KATIKATI ya foleni katika jiji la Dar es Salaam ndani ya gari nyeupe aina ya Mercedes S550, Jacqueline Ntuyabaliwe, mrembo wa miaka 38, macho yake yalikuwa yametulia katika simu yake ya mkononi....
View ArticleMbio Za Tigo Kili Half Marathon Zafana Mjini Moshi
Sehemu ya kuanzia ya Tigo half Kilimarathon yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro.Washiriki wa Tigo half Kilimarathon wakiwania taji hilo kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Moshi, KilimanjaroWashiriki wa...
View ArticleGaizka Garitano atimuliwa Estadio Riazor
Gaizka GaritanoUongozi wa klabu ya Deportivo La Coruna umetangaza kumfuta kazi Gaizka Garitano, baada ya kikosi chao kukubali kufungwa mabao 4-0 dhidi ya Leganes mwishoni mwa juma lililopita.The...
View ArticleMourinho: Ninambembeleza Zlatan Ibrahimovic
Baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la ligi (EFL Cup), meneja wa Man Utd Jose Mourinho ameanza mipango ya kuhakikisha mshambuliaji wake kutoka nchini Sweden Zlatan Ibrahimovic, anakubalia kusaini mkataba...
View ArticleMasau Bwire: Tunakwenda Kuizika Yanga
Hata kama mambo yao bado si mazuri sana, Ruvu Shooting wamesema wanachotaka sasa ni kuimaliza Yanga wakitoa mfano wa "kuzika"Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kwa kuwa Yanga "walishauwawa"...
View ArticleLeicester City Wanaamini Kwa Guus Hiddink
Uongozi wa klabu bingwa nchini England Leicester City una matumaini makubwa ya kufanikisha mpango wa kumuajiri aliyekua meneja wa muda wa Chelsea Guus Hiddink, baada ya kumtimua Claudio Ranieri...
View ArticleNne Bora Ya Ligi Daraja La Pili
Timu nne vinara wa Ligi Daraja la Pili kutoka makundi manne, zinatarajiwa kuanza kupambana keshokutwa Jumatano - Machi mosi, mwaka huu ‘Play off’ kutafuta timu Tatu Bora, zitakazopanda daraja kucheza...
View ArticleWanachama Pspf Sasa Rasmi Kupata Mikopo Kupitia Benki Ya CRDB
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, (kushoto), akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Dkt. Charels Kimei, wakati wa uzinduzi wa ushirikiano baina ya...
View ArticleZOOMTANZANIA.COM Yatangaza Afisa Mtendaji Mkuu Mpya
Bi Mili Rughani, gwiji katika anga la teknolojia Afrika, akabidhiwa kijiti cha uongozi wa tovuti namba moja ya matangazo Tanzania, ZoomTanzania.com, katika kuendeleza safari ya mafanikio. Miaka ya...
View ArticleRatiba Kamili Ya Mechi Za Ligi Kuu Ya Wanawake Tanzania Bara
Ligi Kuu ya Mpira wa Wanawake, hatua ya timu sita Bora (6), ilianza rasmi jana kwa Mlandizi Queens ya Pwani kuilaza JKT Queens ya Dar es Salaam mabao 3-2 katika mchezo wa awali mchana kabla ya ule wa...
View ArticleSergio Aguero Kuihama Man City?
Mshambuliaji Sergio Aguerohuenda akaondoka Man City mwishoni mwa msimu huu na kurejea nchini Hispania, kufuatia mipango inayosukwa na viongozi wa Real Madrid.Gazeti la The Sun limeripoti kuwa, Real...
View ArticleLigi Kuu Ya Tanzania Bara
Ligi Kuu ya Tanzania Bara (VPL), inatarajiwa kuendelea keshokutwa Jumatano ambako mabingwa watetezi wa taji hilo, Young Africans itaalikwa na Ruvu Shooting kwenye mchezo utakaofanyika Uwanja wa Taifa,...
View ArticleFC Barcelona Wamgeukia Laurent Blanc
Aliyekua meneja wa mabingwa wa soka nchini Ufaransa PSG Laurent Blanc ameripotiwa kuwa katika mazungumzo na viongozi wa FC Barcelona.Blanc ambaye aliwahi kuitumikia Barca kama mchezaji kuanzia mwaka...
View ArticleSalva Ballesta Amdadavua Diego Simeone
Salva BallestaAliyekua mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid Salva Ballesta ameanza chochoko za kutaka kuona meneja wa sasa wa klabu hiyo Diego Simeone, anaondoka mwishoni mwa msimu huu.Ballesta...
View ArticleLeicester City Yaibanjua Liverpool
Majogoo wa jiji Liverpool wameshindwa kufua dafu mbele ya mabingwa watetezi wa ligi ya nchini England Leicester City, kwa kukubali kichapo cha mabao matatu kwa moja.Liverpool wamekubali kipigo hicho...
View ArticleMkwasa: Yanga Inakabiliwa Na Ukata
Klabu ya Yanga imesema kwamba pamoja na hali ngumu ya kifedha inayowakabili kwa sasa, lakini itahakikisha haikwami kwa namna yoyote.Hayo yamesemwa na Katibu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa,...
View ArticleGianni Infantino Kufuata Nyayo Za Blatter
Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino amesema atalipa kipaumbele bara la Afrika katika mipango ya maendeleo ya soka, katika kipindi chote cha uongozi wake.Infantino amezungumza hayo...
View ArticleUNESCO Kuendelea Kusaidia Redio Jamii Kukuza Demokrasia
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Habari wa UNESCO, Ofisi za Tanzania, Christophe Legay akizungumza machache wakati wa mkutano mkuu wa wajumbe wa Bodi ya Mtandao wa Vyombo vya Habari Jamii Tanzania...
View Article