Quantcast
Channel: Mdimu's Blog
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZEE LA NYETI: Ukiona tauni kuna utata, vileji inakuita!

Na Henry MdimuNaskia kitaani mlishaanza kuzingua kwa washkaji waliokuwa wakiulizia stori za Zee, naskis mnapakaza mchizi kaishiwa, wengine wanadai kazeeka wengine wanaua kwa kusiliba kwamba mchizi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STORY: Waziri Mwakyembe azindua Maonyesho ya Mashujaa na Mapambano ya kupata...

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amezindua Maonyesho ya Mashujaa na Mapambano ambayo yanalenga kuonyesha namna mashujaa wa Tanganyika walipambana kupata uhuru,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII HAPA: Story ya Mbunge wa Singida Kaskazini kujiuzulu uanachama wa CCM na...

Na Mwandishi WetuKuna habari zinaendelea kuenea kupitia mitandao na vyombo rasmi via habari susiana na Mbunge wa Singida kaskazini, Mh Lazaro Nyalandu(Pichani juu) kujiuzulu nyadhifa zake za Ubnge m...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: Za Rais Magufuli akizindua Daraja ya Furahisha jijini Mwanza leo

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZATAKIWA KUONGEZA KASI UPATIKANAJI NISHATI

 Na Asteria Muhozya, ArushaNchi  Washiriki wa Mkutano wa 12 wa Baraza la Kisekta la Nishati la Jumuiya ya Afrika Mashariki wametakiwa kuongeza kasi ya upatikanaji Nishati miongoni mwa nchi hizo ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA TAARIFA YAKO: Sera ya Taifa ya Huduma Ndogo za Fedha ya Mwaka 2017...

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo amezindua sera ya Taifa ya huduma ndogo za fedha ya mwaka 2017 pamoja na mkakati wa utekelezaji wa mwaka 2017/2018...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya kilimo kusaidia mageuzi ya Kilimo Njombe

Na mwandishi wetu, NjombeBenki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB) imesema imejipanga katika kusaidia kuchagiza kusaidia Mapinduzi ya Kilimo kutoka kilimo cha kujikimu kwenda cha kibiashara ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA RAIS MAGUFULI: Akiongea na wananchi Nyakato, pamoja na shughuli ya...

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Nyakato nje kidogo ya jiji la Mwanza mara baada ya kufungua kiwandaa cha Sayona Drinks ltd kilichopo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIONEE: Tukio zima la tiGOFiesta Moshi na uzinduzi wa kampeni mpya ya...

TIGO Fiesta 2017 imefana vilivyo mkoani Kilimanjaro ambapo wasanii mbalimbali wa Bongo fleva wamefanya vilivyo katika viwanja vya Majengo katika Manispaa ya Moshi kwa kutoa burudani ya kukata na shoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uhuru Kenyatta ndio Rais Mteule wa Kenya

Rais Uhuru Kenyatta ametangazwa mshindi wa urais wa marudio nchini Kenya akiwa na kura 7,483,895 sawa na 98%.Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi IEBC Wafula Chebukati amesema kiongozi wa upinzani Raila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNAELEWA NINI? ..ukisikia Haloween Party?

Inawezekana utakuwa umesikia watu au kusoma kwenye mitandao ya kijamii kuhusu sherehe za Halloween lakini ukawa hauelewi. Mbali na hapo inawezekana pia umekutana na matangazo kadhaa yakikutana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Geita adhamiria kuwapima uwezo maafisa ugani ili kuleta tija kwenye kilimo

Na Dotto Mwaibale, GeitaMKUU wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel Lughumbi amesema ataanzisha utaratibu wa kuwapima maofisa ugani wa mkoa huo utendaji kazi wao ili kujua uwezo wa kila mmoja wao.Hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walimu Mufindi waomba msaada wa makazi nadhifu ya kudumu

Na Fredy Mgunda, MufindiChama cha walimu wa Tanzania (CWT) wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kimemuomba mkurugenzi kuwakopesha viwanja walimu ili kujikwamua na mazingira magumu wanayokumbana katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA TAARIFA YAKO: Dola za Marekani milioni 36 (takribani Shilingi bilioni...

 Ubalozi wa Uswidi nchini Tanzania umewekeana saini makubaliano na Umoja wa Mataifa Tanzania ambapo Uswidi imetoa jumla ya Dola za Marekani milioni 36 (takribani Shilingi bilioni 80.4) kwa shughuli za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA MWENYEWE: Kuhusu shule yenye wanafunzi 440 wanaofundishwa na waalimu...

Na Fredy Mgunda,Kilolo.Shule ya msingi ya Mdeke iliyopo kata ya Ng’ang’ange wilayani kilolo ina walimu 6 wanaowafundisha zaidi ya wanafunzi 440 na kusababisha kutotolewa kwa elimu bora kwa wanafunzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA SINGIDA: Iramba wamepewa mwezi mmoja kujenga vyoo kwenye mnada wa Malendi

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi amempa mwezi mmoja Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Iramba, kujenga vyoo bora katika Mnada uliopo Kijiji cha Malendi, kata ya Mgongo Wilayani humo.Dkt...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tiger Woods kurejea uwanjani karibuni

Mkali wa mchezo wa gofu duniani, Tiger Woods anatarajiwa kurejea tena dimbani katika miezi nane baada ya kuandamwa na majeraha.Habari zilizoandikwa na tobuti ya BBC Swahili zinasema atajitupa uwanjani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZAIDI: Za Rais Magufuli ziarani Mwanza akitekeleza sera yake ya...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika eneo la kona ya Butimba wakati akitokea Igogo jijini Mwanza. Wananchi wa Butimba na Mkuyuni wakifurahi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aliyepanga kumuua Rais Vladimir Putin ajeruhiwa Ukrain, mkewe auwawa

Mwamamue moja kutoka Chechenia ambaye analaumiwa kwa kupanga kumuua rais wa Urusi Vladimir Putin amejeruhiwa na mke wake kuuliwa wakati wa shambulizi karibu na mji mkuu wa Ukrain Kiev.Adam Osmayev...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUU HAPA: Mkutano wa kikosi Kazi cha Sekta ya ardhi, uliorejea mwongozo na...

Kikosi Kazi kinachojumuisha Sekta kuu za matumizi ya Ardhi na Asasi za Kiraia wamekutana kwa ajili kuendelea kurejea Mwongozo wa ushirikishaji katika kupanga mipango ya matumizi ya Ardhi pamoja na...

View Article
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live