Quantcast
Channel: Mdimu's Blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1295

MHE. KAIRUKI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA DUNIA KUHUSU MASUALA YA UTAWALA BORA

$
0
0

Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bi Bella Bird akiongea kuhusu masuala ya utawala bora na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipomtembelea ofisini kwake leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisimkiliza Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bi Bella Bird (hayupo pichani) alipomtembelea ofisini kwake leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akijadili masuala ya utawala bora na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bi Bella Bird alipomtembelea ofisini kwake leo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1295

Trending Articles