Quantcast
Channel: Mdimu's Blog
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo yatangaza kuwasilisha dokezo la muhtasari kuhusu pendekezo la awali la...

Kampuni ya Mtandao wa Simu za Mkononi ya MIC Tanzania Limited (Tigo) leo imetangaza rasmi kuwasilisha muhtasari  na maombi ya awali  katika Mamlaka ya Masoko ya Mitaji  na Dhamana (CMSA) na Soko la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI NJEMA KWA WAKAZI WA MBEYA: Barbara za Jiji sasa kuboreshwa

Na JamiiMojaBlogHALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, leo imeingia mkataba na makandarasi mbalimbali wa ujenzi wa miundombinu ya barabara pamoja na madaraja katika Kata 14.Mkataba huo, umesainiwa na Mstahiki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lady JayDee, Spicy kuangusha Forever Remix kesho

Habari zimeenea Mtandaoni jioni hii kwamba kesho asubuhi ile single ya mahadhi ya Reggae inayoitwa Forever ambayo Lady Jaydee kwa mara ya kwanza aliiimba na mdogo wake Laban Mbibo, itatoka ikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DARASA HURU: Visasi. ..vimewahi kukusaidia katika maisha yako?

Kaka na dada zangu karibuni sana katika makala za mwisho wa mwaka za Darasa huru, makala ambazo pia zitakupa mtazamo wa mwisho kabisa wa maisha yako kuhusiana na yale yale tuliyoyazoea. Maisha ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kanye West akutana na Donald Trump New York

Mwanamuziki mashuhuri nchini Marekani Kanye West, ambaye majuzi alilazwa hospitalini baada ya kutatizwa na msongo wa mawazo na uchovu, amekutana na rais mteule wa Marekani Donald Trump jijini New...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chelsea na Manchester City wapigwa faini

Chelsea wamepigwa faini ya £100,000 na Manchester City wamepigwa faini ya £35,000 baada ya wachezaji wao kuhusika katika vurugu uwanjani wakati wa mechi ya Ligi ya Premia.Hisia zilipanda na wachezaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAIDI YA WANATASNIA 200 WA FILAMU WANUFAIKA NA MAFUNZO MAALUMU YA FILAMU...

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nuru Milao (kulia), akifungua warsha (mafunzo) ya siku tatu kwa wanatasnia ya Filamu na Maigizo mkoani Mara, yaliyoanza hii leo katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA WAMILIKI WA DALADALA WAMLILIA WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA KUSIKIA...

 Daladala zinazo fanya safari kati ya Tegeta Nyuki zikiwa zimesongamana katika Kituo cha  Daladala  nje ya geti Kuu la Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam juzi baada ya kupangiwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO YAFANYA UZINDUZI WA KOZI YA MAADILI KWA WALIMU WA VYUO VYA AFYA NA...

Shirika la Umoja wa Matifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limefanya uzinduzi wa kozi ya maadili kwa walimu ambao wanafundisha vyuo vya afya na sayansi kutoka ndani na nje ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IOP WASEMA NDOA ZA UTOTONI ZINAZIDI KUONGEZEKA MKOANI IRINGA

 Hawa ni baadhi ya wananchi wa kabila la kimasai .Jengo la shirika lisilo la kiserikali la Ilula Ophan program (IOP)Na Fredy Mgunda,IringaShirika lisilo la kiserikali la Ilula Ophan program (IOP)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKALA: mambo 8 ya kuzingatia pindi unapotaka kusafiri

Na Jumia Travel TanzaniaHAKUNA jambo linalokera kama kugundua kuwa umesahau kitu fulani ambacho kilikuwa kina umuhimu mkubwa sana kwenye safari yako uliyokwishaianza.Hali kama hii huwa inawatokea watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI WA NNE KWA WAKATI TOFAUTI NA KUFANYA NAO...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Kenya Nchi Mhe. Ali Makwere, Ikulu jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Binti wa rais wa zamani wa Msumbiji auawa

Binti wa Rais wa zamani nchini Msumbiji, Armando Guebuza, Valentina Guebuza ameripotiwa kupigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Maputo. Mumewe, Zofino Muiuane amekamatwa na polisi kufuatia tukio...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE. KAIRUKI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA DUNIA KUHUSU...

Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bi Bella Bird akiongea kuhusu masuala ya utawala bora na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jackie Evancho: Msichana atakayeimba wimbo wa taifa wakati wa sherehe ya...

Jackie Evancho, mshindi wa pili katika shindano la kutafuta watu wenye vipaji la America's Got Talent ndiye atakayeongoza wimbo wa taifa wakati wa kuapishwa kwa Donald Trump.Msichana huyo wa miaka 16...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Limited Yaweka Saini na Kampuni ya MCC...

Mkurugenzi wa Mradi wa Ujenzi Kijiji cha Utalii Matemwe Zanzibar Pennyroyal Gibraltar Limited Zanzibar Amber Resort Mr. Saleh Mohammed Said akizungumza kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya utilianaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO YAZINDUA DUKA LA 'TEAM LEADERS' DEVIS CORNER TANDIKA TEMEKE JIJINI DAR...

 Msimamizi wa Biashara wa Kampuni ya Simu Tigo Dar es Salaam na Zanzibar, Nderingo Materu (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  duka dogo la Tigo Tandika Devis Corner leo.  Kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Khatibu Malimi Kazungu kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FACEBOOK; kukabiliana na akaunti feki

Mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg Mtandao wa Facebook umesema umeanzisha upelelezi kukabiliana na akaunti feki za watumiaji.Tayari umeshaanza kutumia wafanyakazi kutoka nje ya kampuni hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUKO WA PPF WADHAMIRIA KUWAFIKIA WATANZANIA WOTE WAKIWEMO WANATASNIA WA FILAMU.

Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Meshack Bandawe, akizungumza kwenye mafunzo ya siku tatu kwa wadau wa filamu na michezo ya kuigiza mkoani Mara. Mafunzo hayo yalanza Disemba 14 na yanafikia tamati...

View Article
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live