Droo Ya Fainali Kombe La Dunia - Russia 2018 Kufanyika Desemba Mosi
Shirikisho la soka duniani FIFA limethibitisha kuwa Droo za kupanga Makundi na Mechi za Fainali za Kombe la Dunia la Mwaka 2018 itafanyika Ijumaa Desemba mosi huko Kremlin Jijini Moscow.Wakati tarehe...
View ArticleShirika La Marekani Kununua Formula One
Mkurugenzi wa ufundi wa zamani wa Ferrari Chase Carey ambaye alikuwa akifanya kazi kwa niaba ya mshauri wa Liberty ameteuliwa kuongoza kazi za ufundi katika kampuni ya mashindano ya Formula One...
View ArticleTunajiandaa Kwa ‘Dabi’ Ya Mbeya
Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kabela City FC ya Shinyanga kwenye kombe la shirikisho hapo jana, kikosi cha Mbeya City FC hii leo kimeanza mazoezi kujindaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom...
View ArticleTanesco Yawatoa Hofu Wateja Wake, Yasema Gridi Ya Taifa Iko Salama
Kaimu Meneja Mwandamizi udhibiti mifumo ya umeme TANESCO makao makuu, Mhandisi Abubakar Issa,(katikati), akionyesha kifaa kilicholipika (female connector), cha umeme wa 132kv kutoka Ubungo kwenda...
View ArticleWateja Tigo Pesa Kupata 5.82bn/-Gawio La 11 La Faida La Robo Mwaka
Mkuu wa Kitengo cha fedha cha Fedha TigoPesa Christopher Kimaro (kushoto) akiongea na waandishi wa habari(hawapo picha) wakati wa kutangaza gawio kwa wateja wa Tigo Pesa jijini Dar Es Salaam jana....
View ArticleSBL Yawapatia Watanzania Milioni Mbili Maji Ya Uhakika, Salama
Mkurugenzi wa Mahusiano wa SBL, John Wanyancha akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu mradi wa maji ulioweza kuwafikia watanzania milioni 2 katika programu ya hisani ya kusaidia jamii...
View ArticleKenya Ina Matumaini Amina Mohamed Atakuwa Mwenyekiti Mpya Wa AU
Kenya ina matumaini kwamba waziri wake wa mambo ya kigeni Amina Mohamed atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika kwenye uchaguzi ujao.Serikali imekuwa ikitafuta kuungwa mkono na nchi...
View ArticleAFCON 2017: Misri Watinga Robo Fainali Kwa Kishindo
Mshambuliaji wa klabu ya AS Roma ya nchini Italia Mohamed Salah, ameiwezesha timu ya taifa lake la Misri kutinga katika hatua ya robo fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika mwaka 2017 (AFCON 2017)...
View ArticleAFCON 2017: Uganda Waondoka Na Point Moja
Wawakilishi wa Afrika mashariki kwenye fainali za Afrika (AFCON 2017) zinazoendelea nchini Gabon, timu ya taifa ya Uganda wamemaliza michezo ya hatua ya makundi kwa kuambulia matokeo ya sare dhidi ya...
View ArticleUsain Bolt Kupokonywa Medali Ya Dhahabu
Bingwa wa mbio za mita 100 upande wa wanaume Usain Bolt atalazimika kurudisha dhahabu moja miongoni mwa dhahabu tisa alizoshinda baada ya mwanariadha mwenza Nesta Carter kupatikana alitumia dawa za...
View ArticleLiverpool Yabwagwa EFL CUP
Majogoo wa jiji (Liverpopol) wametupwa nje ya michuano ya kombe la ligi nchini England (EFL CUP), baada ya kukubali kisago cha bao moja kwa sifuri dhidi ya Southampton.Liverpool ambao walipewa nafasi...
View ArticleFederer Atinga Nusu Fainali Ya Australia Open
Mkongwe Roger Federer amefuzu kwa nusu fainali ya mashindano ya wazi ya tennis ya Australia baada ya kumlaza Mischa Zverev kwa seti tatu kwa bila ndani ya dakika 92 tu. Federer ametinga kwenye nusu...
View ArticleReal Madrid Waendelea Kusota Kwa Uchungu
Vinara wa ligi kuu ya soka nchini Hispania Real Madrid, wametolewa kwenye michuano ya kombe la Mfalme (Copa del Rey) baada ya kuambulia matokeo ya sare ya mabao mawili kwa mawili dhidi ya Celta...
View ArticlePhilippe Coutinho Bado Yupo Yupo Sana Anfield
Kiungo mshambuliaji kutoka nchini Brazil na klabu ya Liverpool, Philippe Coutinho amesaini mkataba mpya, ambao utamuwezesha kubaki Anfield kwa miaka mitano ijayo. Taarifa zinasema katika mkataba huo...
View ArticleOlympic Marseille Yamrejesha Nyumbani Patrice Evra
Beki wa kushoto kutoka nchini Ufaransa na klabu ya Juventus ya Italia Patrice Evra amejiunga na klabu ya Olympic Marseille kwa mkataba wa miezi 18.Klabu ya Olympic Marseille yenye maskani yake mjini...
View ArticleUmoja Wa Mataifa Kujenga Uhusiano Mpya Na Umoja Wa Afrika
Msemaji wa Umoja wa mataifa Stephane Dujarric amesema katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterress atakwenda Addis Ababa, nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa kilele wa 28 wa Umoja wa...
View ArticlePSG Wayakamilisha Kwa Goncalo Guedes
Mabingwa wa soka nchini Ufaransa, klabu ya Paris St Germain (PSG), wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa pembeni mzaliwa wa nchini Ureno Goncalo Guedes akitokea SL Benfica.Mshambuliaji huyo...
View ArticleZaidi Ya Raia 90 Wa Somalia, Kenya Wafukuzwa Marekani
Msemaji wa serikali ya Kenya Eric Kiraithe amesema zaidi ya raia 90 wa Somalia na Kenya wamewasili Nairobi baada ya kufukuzwa Marekani. Kiraithe amesema waliofukuzwa ni wanaume 90 kutoka Somalia na...
View ArticleUchaguzi Wa Rais Somalia Kufanyika Februari 8
Uchaguzi wa rais wa Somalia utafanyika tarehe 8 mwezi ujao katika kikao cha pamoja cha bunge, chini ya usimamizi wa tume mpya ya uchaguzi.Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Abdirahman Dualeh Beileh amesema...
View ArticleLibya Yatoa Hati Za Kukamatwa Kwa Mawaziri Wa Zamani
Mwendesha mashtaka mkuu wa Libya ametoa hati za kukamatwa kwa mawaziri wa zamani kutokana na tuhuma za ufisadi na rushwa.Amesema baadhi ya mawaziri wa zamani wanaotuhumiwa wako nchi za nje, na kuongeza...
View Article