FC Barcelona Wapinga Adhabu Ya Suarez, Busquets
Klabu ya Barcelona imewasilisha rufaa ya kupinga adhabu ya kadi nyekundi iliyomshukia mshambuliaji Luis Suarez wakati wa mchezo mkondo wa pili wa nusu fainali ya kombe la Mfalme, dhidi ya Atletico...
View ArticleMisri Yashikilia Usukani Wa Soka Afrika
Mabingwa wa Afrika mwaka 2017, timu ya taifa ya Cameroon wamepanda kwa nafasi 29 kwenye viwango vya ubora wa soka duniani kwa mwezi Februari.Cameroon ambao waliifunga Misri mwishoni mwa juma lililopita...
View ArticleCheick Tiote Akimbilia China
Kiungo kutoka nchini Ivory Coast Cheick Tiote amejiuinga na klabu ya ligi daraja la pili nchini China ya Beijing Enterprises Group FC akitokea Newcastle Utd ya England.Tiote anaondoka St James' Park...
View ArticleWanne Kuwania Nafasi Ya Arsene Wenger
Washika bunduki wa kaskazini mwa jijini London (Arsenal) wameripotiwa kuanza maandalizi ya kumsaka mbadala wa Arsene Wenger.Meneja huyo kutoka nchini Ufaransa atamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu...
View ArticleDc Korogwe Awaonya Watumishi Wa Halmashauri Kuacha Kutumia Vibaya Fedha Za...
Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga,Mhandisi Robert Gabriel akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Taasisi ya isiyoyakiserikali ya Vuga Development Initiative ya Jijini Arusha Azidu Kaonekana wa pili...
View ArticleJohn Barnes Wa Liverpool Kutua Nchini Kuangalia Kombe La Standard Chartered
Mgeni rasmi Mwenyekiti wa Baraza la Michezo nchini (BMT) Bw. Dionis Malinzi (katikati) akiwa ameambatana na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Sanjay Rughani (kulia) pamoja na Mkuu wa...
View ArticleNaibu Waziri Wa Fedha Na Mipango Azindua Huduma Mpya Ya ‘Ecobank Mobile App’
Naibu Waziri wa fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa huduma mpya ya ‘Ecobank Mobile App’ iliyozinduliwa jana jijini Dar es salaam. Programu hii ya kidijitali...
View ArticleReal Madrid Haitanii Kwa Andrea Belotti
Mabingwa wa soka duniani, klabu ya Real Madrid wameanza harakati za kumuwania mshambuliaji wa Torino ya Italia Andrea Belotti.Gazzetta dello Sport limeripoti kuwa, mtendaji mkuu wa klabu ya Torino...
View ArticleTADB Yaanza Kutekeleza Mkataba Wa Ushirikiano Kati Ya Tanzania Na Morocco
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAD, Bw. Francis Assenga (Katikati) akiwa na Mkurugenzi wa Hazina na Utafutaji Fedha, Bw. Albert Ngusaru (Watatu kushoto) wakiwa na wenyeji wao Benki ya Maendeleo ya Kilimo...
View ArticleMaalim Seif: Sioni Sababu Ya Kuzungumza Na Lipumba
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa madai yaliyotolewa na Profesa Ibrahim Lipumba kuwa hapokei simu zake hayana ukweli wowote.Ameyasema hayo katika ziara...
View ArticleZitto Kabwe Akesha Bungeni, Akihofia Kukamatwa Na Polisi
Kitendo cha Jeshi la Polisi kutaka kumkamata Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, juzi baada ya kutoka bungeni, kilimfanya mbunge huyo kuondoka bungeni usiku wa manane kuamkia jana kwa...
View ArticleJoh Makini Aweka Wazi Mipango Yake Kimuziki Mwaka 2017.
Waya ndiyo wimbo wake unaofanya vyema katika katika media tofauti ndani ya nchi na nje pia.Joh Makini ambaye pia ni moja kati ya wasanii watano wanaounda kampuni ya Weusi. Nick wa Pili ni moja kati ya...
View ArticleAntonio Conte Awatoa Hofu Mashabiki Chelsea
Meneja wa vinara wa ligi ya nchini England (PL) Chelsea Antonio Conte amesisitiza kuwa, mshambuliaji kutoka nchini Hispania Diego Costa hatoondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu.Mshambuliaji huyo...
View ArticleHarry Redknapp Awapa Ushauri Wa Bure Liverpool
Aliyekua meneja wa klabu ya Tottenham Hotspur Harry Redknapp anaamini mlinda mlango wa Manchester City anaecheza kwa mkopo nchini Italia Joe Hart, ni suluhisho tosha la ulinzi wa lango la...
View ArticleInter MIlan Kutumia Udhaifu Wa Arsenal Kumpata Alexis Sanchez
Klabu ya Inter Milan imeanza chokochoko za usajili wa mshambuliaji kutoka nchini Chile na klabu ya Arsenal ya England Alexis Sanchez.Alexis, bado hajakamilisha mpango wa makubaliano ya kusaini mkataba...
View ArticleCOSAFA Wamuandaa Mpinzani Wa Hayatou
Baraza la mashirikisho ya soka kusini mwa bara la Afrika (COSAFA), limemteua Ahmad Ahmad kuwa mtu pekee atakaeingia kwenye harakati za uchaguzi wa rais wa shirikisho la soka barani Afrika CAF.Ahmad,...
View ArticleRc Kilimanjaro Na Kamishna Mteule Wa Mamlaka Ya Ya Kuzuia Na Kupambana Na...
Kamishna Mteule wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za kulevya,Rogers William akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa mazoezi kwa wananchi mkoa wa Kilimanjaro,uzinduzi uliofanyika katika uwanja...
View ArticleWaliotajwa Kuhusika Na Dawa Za Kulevya Kilimanjaro Hawa Hapa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandamizi,Wilbroad Mutafungwa akitaja majina ya watu wanadaiwa kujihusisha na usafirishaji,uuzaji na matumizi ya dawa za kulevya. Kamanda wa...
View ArticleBank Of Africa Tanzania Yafungua Matawi Mwanza Na Morogoro
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe John Mongella akizindua rasmi tawi la Nyanza-Mwanza na lile la Uluguru-MorogoroNaibu Mkurugenzi mtendaji wa Bank of Africa Tanzania Wasia Mushi akimkabidhi mkuu wa mkoa wa...
View ArticleWafika Polisi Kuomba Wapewe Dawa Za Kulevya, ‘Zimeadimika!'
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, baadhi ya waathirika wa dawa za kulevya maarufu kwa jina la ‘mateja’ wamefika makao makuu ya polisi mkoa wa Mbeya kuomba wapewe dawa hizo kidogo kwani zimeadimika...
View Article