Watu 13 Wauawa Kwenye Shambulizi La Kujitoa Muhanga Afghanistan
Shambulizi la kujitoa muhanga dhidi ya mahakama Kuu ya Afghanistan, lililotokea jana mjini Kabul limesababisha vifo vya watu 13 na wengine 25 kujeruhiwa.Shambulizi hilo lilitokea jioni wakati...
View ArticlePhilipp Lahm Kujiweka Pembeni Mwishoni Mwa Msimu
Beki wa pembeni na nahodha wa klabu bingwa nchini Ujerumani FC Bayern Munich Philipp Lahm amethibitisha atashaafu soka mwishoni mwa msimu huu.Lahm alitoa uthibitisho huo mara baada ya mchezo wa kombe...
View ArticleAllan Nyom Ajaribu Kujisafisha Kwa Mashabiki Wa Cameroon
Beki wa klabu ya West Bromwich Albion Allan Nyom amesema hajutii kutokua sehemu ya kikosi cha mabingwa wa bara la Afrika timu ya taifa ya Cameroon, ambacho kilitwaa ubingwa huo mwishoni mwa juma...
View ArticleUrusi Yasimamishwa Kushiriki Michuano Ya Kimataifa Ya Riadha
Nchi ya Urusi imesimamishwa kushiriki michuano ya kimataifa ya Riadha baada ya kubainika kwa wanamichezo wake kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kusisimua misuli.Hata hivyo, baadhi ya wachezaji wa...
View ArticleHector Bellerin Kucheza Dhidi Ya Hull City
Majibu ya vipimo vya MRI ya beki wa pembeni wa klabu ya Arsenal Hector Bellerin yametoka na kuondoa hofu kwa mchezaji huyo kukaa nje ya uwanja kwa kipindi kirefu.Bellerin alishindwa kuendelea na mchezo...
View ArticleJavier Zanetti Ahusishwa Usajili Wa Kun Aguero
Wabishi wa mjini Milan nchini Italia, klabu ya Inter Milan wamepanga kuingia katika vita ya kumuwania mshambuliaji wa kutoka nchini Argentina na Man City Sergio kun Aguero ambaye anakabiliwa na tetesi...
View ArticleAsmir Begovic Awatofautisha Conte, Mourinho
Mlinda mlango wa Chelsea Asmir Begovic kwa mara la kwanza amezungumzia tofauti ilizopo kati ya aliyekua meneja klabuni hapo Jose Mourinho na meneja wa sasa Antonio Conte.Begovic, mwenye umri wa miaka...
View ArticleDimitri Payet, Memphis Depay Wazisalim Nyavu Ufaransa
Dimitri Payet Memphis DepayWachezaji Dimitri Payet na Memphis Depay wamefunga mabao kwa mara ya kwanza, tangu walipojiunga na klabu za nchini Ufaransa wakati wa dirisha dogo la usajili mwezi...
View ArticleChuo Cha Diplomasia Chapokea Ufadhili Wa Kompyuta 150
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia Mhe. Balozi Ombeni Sefue (wa pili kushoto) akipokea kompyuta kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Mhe. Song Geum Young, wa kwanza kulia ni Naibu Katibu...
View ArticleRais Uhuru Kenyatta Katika Ubora Wake
 Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta akionesha umahiri wa kucheza muziki aina ya 'DAB' na nyinginezo akiwa sambamba na kundi la dansi la FBI la nchini humo katika njia mojawapo ya kampeni ya kuhumiza vijana...
View ArticleRC Makalla Akutana Na Vikundi Vya Ufugaji Kuku Vinavyofadhiliwa Na Taasisi Ya...
Mkuu wa mkoa Wa Mbeya Mh.Amos Makalla akizungumza na baadhi ya akina mama wa jijini Mbeya wanao kopeshwa na Taasisi ya Mfuko wa Uwekezaji Mradi (BRAC) jijini Mbeya.RC Makalla ameipongeza taasisi hiyo...
View ArticleWaziri Mkuu Wa Zamani Achaguliwa Kuwa Rais Mpya Wa Somalia
Waziri mkuu wa zamani wa Somalia Mohamed Abdullahi Farmajo amechaguliwa kuwa rais mpya wa nchi hiyo baada ya kushinda uchaguzi waliokuwa na ushindani mkali uliofanywa huko Mogadishu.Farmajo anayekuwa...
View ArticleChina Yapongeza Mazungumzo Ya Amani Msumbiji
Balozi wa China nchini Msumbiji Su Jian amepongeza mazungumzo kati ya rais Filipe Nyusi wa Msumbiji na kiongozi wa chama cha upinzani Renamo Bw. Afonso Dhlakama.Su amesema serikali ya China inafurahia...
View ArticleSerikali Ya Burundi Kuhudhuria Mazungumzo Nchini Tanzania
Ofisi ya rais wa Burundi jana imethibitisha serikali ya Burundi itahudhuria mazungumzo ya kusaka suluhu yatakayofanyika tarehe 16 hadi 18 mjini Arusha, Tanzania.Ofisa mawasiliano wa rais wa Burundi...
View ArticleBaraza La Chini La Bunge La Uingereza Lapitisha Rasmi Mswada Wa Brexit
Baraza la chini la Bunge la Uingereza limepiga kura kupitisha rasmi mswada kuhusu Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya, ambao unampa mamlaka waziri mkuu wa nchi hiyo Bibi Theresa May kuanzisha mchakato wa...
View ArticleBunge La Rwanda Lapitisha Sheria Kukifanya Kiswahili Kiwe Lugha Rasmi
Wabunge wa Rwanda jana wamepitisha sheria kukichukulia Kiswahili kuwa lugha rasmi sambamba na Kiingereza, Kifaransa na Kinyarwanda.Hatua hiyo inamaanisha kwamba lugha ya Kiswahili itatumika kwenye...
View ArticleAlaves Wavunja Mwiko Hispania, Waifuata FC Barcelona
Klabu ya Alaves imetinga kwenye hatua ya fainali ya kombe la Mfalme kwa mara ya kwanza, baada ya miaka 96 ya historia ya klabu hiyo.Alaves imetimiza azma ya kufika kwenye hatua hiyo muhimu, kwa...
View ArticlePaul Biya Awapa Nasaha Wachezaji Wa Cameroon
Kikosi cha mabingwa wa soka barani Afrika mwaka 2017, jana jioni kilikaribishwa ikulu na rais Paul Biya, kwa ajili ya kupongezwa, kufuatia mafanikio waliyoyachuma nchini Gabon mwishoni mwa juma...
View ArticleDenis Onyango Ajitia Kitanzi Afrika Kusini
Mlinda mlango wa kikosi cha Uganda kilichoshiriki fainali za Afrika za mwaka 2017 nchini Gabon Denis Onyango, amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu bingwa Afrika kusini na mabingwa wa...
View ArticleMichael Ballack Amshawishi Ozil Aihame Arsenal
Aliyekua nahodha na kiungo wa timu ya taifa ya Ujerumani Michael Ballack amemtaka kiungo wa Arsenal Mesut Ozil kuihama klabu hiyo endapo anahitaji mafanikio ya kutwaa mataji.Ballack ambaye pia aliwahi...
View Article