MAKAMBA: Tengenezeni mipango kazi ya kusaidiana na serikali
Na Dotto MwaibaleWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira, January Makamba ameitaka kamati ya kitaifa ya matumizi salama ya bioteknojia ya kisasa kutengeneza mpango kazi...
View ArticleTAFITI: Kuna changamoto ya uajiri mahotelini
IMEBAINIKA kuwa Tanzania inakabiliwa na changamoto ya kuwaajiri mahotelia wasio kuwa na ujuzi wa kutosha katika sekta ya utalii hasa kwenye hoteli hali ambayo inarudisha nyuma uchumi wa nchi...
View ArticlePICHA: Uuzinduzi wa barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Voi Km 234.3 uliofanyika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kabla ya uzinduzi rasmi wa Barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Voi Km 234.3 uliofanyika Tengeru...
View ArticleTigo yatoa udhamin wa milioni 11 kampeni ya ‘KUTOA AHADI YA UWIANO WA KIJINSIA"
Dar es Salaam, Machi 03, 2016 – Kampuni ya Tigo Tanzania imedhamini kampeni ya Kutaka Uwiano ambayo inatarajiwa kuanza na matembezi ya kilomita sita ambayo yataanzia kwenye “Uwanja wa Mbio za...
View ArticleGSM Foundation wamkabidhi DC KImomdomi misaada kwa ajili ya wilaya yake
Na Dotto MwaibaleMFUKO wa GSM umemkabidhi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda vifaa vya ujenzi kwa ajili ya kusaidia shule mbalimbali wilayani humo na wananchi.Akizungumza jijini Dar es Salaam...
View Article`Umiliki wa ardhi kwa wanawake nchini unasuasua kutokana na mfumo dume'.
Codes Na Fredy Njeje-Blogs za MikoaMwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Anna Mghwira(Pichani juu) amesema umiliki wa ardhi kwa wanawake hapa nchini bado unasuasua kutokana na mfumo dume uliopandikizwa...
View ArticleFastjet yaongeza safari Dar es Salaam – Nairobi
Na Mwandishi WetuShirika la ndege la gharama nafuu Afrika, Fastjet Tanzania limeongeza idadi ya safari zake kwenye njia yake ya Dar es Salaam na Nairobi ikiwa ni mwitikIo mkubwa kwa mahitaji ya...
View Article“Mwanamke wa Afrika bado anakabiliwa na changamoto” - Waziri Ummy Mwalimu
Na Mwandishi Maalum, New YorkWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Ally Mwalimu ( Mb) ametoa hutuba kwa niaba ya Kundi la Nchi za Afrika wakati wa ufunguzi wa Mkutano...
View ArticleMakonda alivyopolewa ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo
Na Dotto MwaibaleMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam ameanza kazi rasmi leo mchana ambapo alifanya mazungumzo na wakuu wa idara na Vitengo mbalimbali na kutoa maagizo mazito ambapo alitoa masaa 24 kwa wakuu...
View ArticleMbunge wa Dodoma Mjini na Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony...
Na Mwandishi WetuMbunge wa Dodoma Mjini na Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde leo amefanya ziara ya kushtukiza katika kambi tiba ya GSM Foundation inayofanywa na kikosi cha...
View ArticleKambi tiba ya GSM yaokoa maisha ya watoto 12 jijini Mbeya, kuanza kazi...
Na Mwandishi WetuJumla ya watoto 30 wamehudhuria Kambi tiba ya GSM jijini Mbeya ambayo inaelekea katika kumaliza msimu wake wa pili, huku lengo kuu likiwa ni kuhakikisha vifo vya watoto wanaozaliwa na...
View ArticleUnatumia mtandao wa tiGOpesa? ...kuna mchongo hapa usikupite
Na Mwandishi WetuKampuni inayoongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali, Tigo imetangaza tena gawio la robo mwaka la shilingi bilioni 5.6 kwa watumiaji wa Tigo Pesa ikiwa ni mara ya tisa kwa kampuni...
View ArticleSHUHUDIA: Alhaji Aboud Jumbe alivyoagwa leo
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Aboud Jumbe likiwasili nyumbani kwa marehemu Migombani, Zanzibar Watoto, Ndugu, jamaa na Viongozi mbali mbali wakipokea mwili wa Marehemu Mzee Aboud Jumbe mara...
View ArticleSOMA: Adhabu alizopata Nay wa Mitego kabla ya kufunguliwa na BASATA, awaponza...
Na Mwandishi WetuKatibu Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa leo asubuhi alitangaza kumfungulia msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego kuendelea na shughuli...
View ArticleSerikali iko tayari kuchukiwa na wavivu, DC Ikungi
Na Mathias Canal, SingidaSerikali imeeleza kuwa ipo tayari kuchukiwa na wananchi wavivu wasiotaka kujishughulisha na Ujasiriamali, Kilimo, Uvuvi, Ufugaji na Biashara ili kukuza pato la kaya zao.Hayo...
View ArticlePICHA: Ziara ya Kamishna wa TPDC Chongoleani Tanga, kushuhudia ujenzi wa gati...
Greda likisafisha eneo ambalo linatarajiwa kujengwa gati kwa ajili ya kushushia mafuta ghafi Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella wa pili kutoka kulia akiwa na viongozi kutoka Wizara ya Nishati na...
View ArticleSTORI: BlackFox Models Africa walivyomalizana na Arusha usaili wa wanamitindo
Na Mwandishi WetuJumapili ilikuwa siku ya furaha kwa wanamitindo wa Arusha, kwani timu ya Blackfox Models ilitua jijini humo kusajili vijana wenye fani hiyo.Zoezi hili lilifanyika katika hoteli ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA SHIRIKA LA GLOBAL COMMUNITIES NA UJUMBE...
Na Mwandishi WetuMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameutaka uongozi wa Shirika la Kimataifa lisilo la Kiserikali la Global Communities uhakikishe unaweka...
View ArticleUNA HABARI? Kambi tiba ya GSM Foundation meshaanza kazi mkoani Iringa
Na Mwandishi WetuKambi tiba inayoendeshwa na Taasisi ya Mifupa na upasuaji ya Muhimbili kwa ufadhili wa GSM Foundation inayojaribu kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi...
View ArticleMsimu wa pili wa kambi tiba ya GSM Foundation wafungwa rasmi Iringa, maisha...
Na Mwandishi WetuKambi tiba ya GSM iliyokuwa imeingia katika msimu wake wa pili tangu Agosti mosi mwaka huu, imefungwa rasmi mkoani Iringa, huku watoto 37 wakiwa wamefanyiwa upasuaji, na wengine zaidi...
View Article