Quantcast
Channel: Mdimu's Blog
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SBL yatangaza kudhamini elimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu

Na Mwandishi WetuKampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kwa mara nyingine imetangaza mpango wa kugharamia elimu ya vyuo vikuu kwa wanafunzi wanaotoka katika familia zisizo na uwezo ili kuwapa walengwa fursa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WAKADIRIAJI MAJENGO AFRIKA JIJINI DAR ES...

Na Mwandishi WetuMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wakadiriaji majenzi nchini wahakikishe wanafanya kazi kwa kuzingatia maadili na waepuke vitendo vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA DUNIA KUENDELEA KUISAIDIA SEKTA YA MAJI NCHINI

Na Mwandishi WetuKATIKA kuhakikisha sekta ya Maji inakua kwa kasi na inatosheleza mahitaji ya sasa ya huduma ya maji, Benki ya Dunia imejitolea kulisaidia Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATENDAJI WA IDARA YA MAZINGIRA PIA AHUDHURIA MSIBA...

Na Mwandishi WetuMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  amekutana na kufanya mkutano wa kazi na watendaji wa ofisi yake ya Idara ya Mazingira kujadili kwa kina namna ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI PICHA: MCHUNGAJI DANIEL KULOLA WA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI...

Na Mwandishi WetuMchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Ilemela Jijini Mwanza, Dkt.Daniel Moses Kulola (pichani) yuko nchini Marekani kwa huduma ya kiroho tangu jumanne iliyopita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMBI TIBA YA GSM FOUNDATION YAMALIZA KAZI PWANI, YAELEKEA TANGA

Na Mwandishi WetuWazazi nchini wametakiwa kuwa na moyo wa kujali afya za watoto wao hasa zinapotokea fursa za tiba za bure kwenye jamii zao kwani ni nadra sana kwa fursa hizi kujitokeza katika jamii za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KLABU YA ROTARY YA OYSTER BAY YAANDAA HUDUMA ZA MATIBABU BURE KWA WAKAZI WA...

Klabu ya Rotary ya Oyster Bay imeandaa kambi ya matibabu ya bure itakayofanyika eneo la Kerege wilayani Bagamoyo. Huduma hizo za matibabu zitatolewa siku ya Jumapili tarehe 27 Novemba katika shule ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA MAHAKAMA YA AFRIKA MJINI ARUSHA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo wakati wa kuelekea kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa kila Mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mzee Ali hassan Mwinyi Ikulu jiji dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WAJADILI MAOMBI YA TANESCO KUPANDISHA BEI YA UMEME JIJINI DAR ES SALAAM

 Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Umeme nchini TANESCO, Mhandisi Decklan Mhaiki, akiwasilisha maombi ya shirika hilo ya kupaandishi bei ya umeme kwa asilimia 18.9 wakati wa kikao cha majadiliano baina ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ESRF YASHIRIKIANA NA GETENERGY KUANDAA MKUTANO WA AFRIKA WA MAFUTA NA GESI

Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF) imeshirikiana na kampuni ya Getenrgy kuandaa mkutano wa Afrika wa Mafuta na Gesi (GETENERGY VTEC AFRICA 2016) ambao unafanyika nchini kwa siku tatu kuanzia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUJENGA VITUO VYA AFYA KILA MWAKA NCHINI NZIMA

Naibu Waziri wa ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Suleiman Jaffo akikagua kitabu cha Risiti kulia anayemwangalia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Sabas...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafuasi wa Trump wakerwa na uamuzi kuhusu Clinton

 Wafuasi wahafidhina wa rais mteule wa Marekani Donald Trump wamelalamikia uamuzi wa kiongozi huyo wa kutofuatilia uchunguzi mpya kuhusu kashfa ya barua pepe iliyomkabili mpinzani wake Hillary...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Trump amchagua mkosoaji wake mkubwa katika UN

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemchagua gavana wa Carolina kusini, Nikki Haley, kuwa balozi mpya wa Marekani katika Umoja wa Mataifa.Kwa njia ya taarifa, amesema kwamba, amethibitisha bayana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PUMA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA DUNIANI KWA KUTUMIA NDEGE 22 ZA ZAMANI

 Meneja wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania, Philippe Corsaletti akiwaonesha wanahabari  (hawapo pichani) Dar es Salaam, moja ya picha ya ndege  22 za zamani zitakazotua nchini Novemba 28, mwaka huu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA 'BLACK FRIDAY

Watanzania watakiwa kuchangamkia ‘Black Friday’Na Dotto MwaibaleTUNAPOELEKEA mwisho wa mwaka wa 2016 huku sikukuu za krisimasi na Mwaka Mpya zikiwa zinakaribia, Watanzania wametakiwa kuchangamkia ofa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Clinton ashauriwa kurudia kuhesabu kura

Wataalamu wamshauri Clinton kutaka kura zihesabiwe upya  Kundi la wataalamu wa masuala ya uchaguzi na waliobobea katika masuala ya kompyuta, wamemwendea aliyekuwa mgombea wa chama cha Democratic katika...

View Article


SALAMU ZA RAMBIRAMBI ZA CCM KUFUATIA KIFO CHA BALOZI MSTAAFU MZEE WAZIRI JUMA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana amemtumia salamu za rambi rambi Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Ndg. Henry Shekifu kufuatia kifo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA MAFUNZO YA TATHMINI NA UFUATILIAJI KUBORESHA UTENDAJI

Mkurugenzi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw. Mick Kiliba akitoa maelezo kuhusu Mafunzo ya siku mbili ya Ufuatiliaji na Tathmini kwa Wizarambalimbali yanayofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OMMY DIMPOZ: SISHINDANI NA DIAMOND

Baada ya jana hasimu wake Diamond Platinumz kuongea sana jana kwenye kipindi cha XXL cha Redio Clouds, Msanii Omary Nyembo Al-maarufu kama Ommy Dimpoz leo naye alipata wasaa na kuvunja ukimya kuhusu...

View Article
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live