Quantcast
Channel: Mdimu's Blog
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE MWANZA WATAKIWA KUTOBWETEKA ILI KUACHANA NA UTEGEMEZI KATIKA JAMII.

Wanawake Mkoani Mwanza wametakiwa kutobweteka na kukaa majumbani bila kujishughulisha na shughuli za uzalishaji mali, kwa kuwa hatua hiyo inawafanya kuwa tegemezi katika jamii.Bi.Vileth Muhamusi ambae...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: Ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Masauni Makao Makuu ya...

Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akizungumza kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Masauni alipofanya ziara katika Jeshi hilo Zanzibar kujionea Utendaji wake akiwa...

View Article


MSIKILIZE BALOZI OMBENI SEFUE: Akitoa mchanganuo wa siku 100 za Dk Magufuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGIZO: TASAF itekeleze majukumu yake kiufanisi ili kuisaidia serikali...

 Na Mwandishi WetuWaziri Nchi Ofisi ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.  Angella Kairuki (Mb) ameuagiza  Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kuendelea kutekeleza  majukumu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAADA: Tigo yamwaga madawati 400 Morogoro

Kampuni ya Tigo Tanzania imetoa msaada wa madawati 400 yenye thamani ya shilingi milioni 60 kwenye shule 10 za msingi katika mkoa wa Morogoro ikiwa ni mchango wa kampuni hiyo katika kuisaidia serikali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAKATI: Waziri Muhongo aunda kamati ya kutathmini kero za wananchi...

Na Teresia Mhagama, TarimeWaziri wa Nishati na Madini, Profesa  Sospeter Muhongo ameipa siku 30 Kamati  aliyoiunda ya kutathmini kero za wananchi wanaozunguka mgodi wa dhahabu wa Acacia North Mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA: Kuhusu ziara ya Dk. Hamisi Kingwangalla Hospitali ya Kanda ya Rufaa ya...

Imeandaliwa na Andrew Chale, modewjiblog, MbeyaNaibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dk. Hamisi Kingwangalla amefanya ziara, jana katika Hospitali ya Kanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA: Rais Dk John Pombe Magufuli alipoongea na wazee wa jiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadik wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee tayari kwa kuongea na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIPOTI: Ziara ya Dk Kigwangallah kambi ya wagonjwa wa kipindupindu iringa

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangallla amekuwa kiongozi wa kwanza wa ngazi za juu kufika katika eneo lililokumbwa na mafuriko katika vijiji vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAHADHARI: ...kuhusu matumizi ya simu bandia kutoka tiGO Tanzania

Watumiaji wa simu za mkononi wameonywa dhidi ya matumizi ya simu bandia na zisisokidhi viwango vya ubora ambazo tayari zimetangwa kupigwa marufuku na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuanzia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Prof. Muhongo ataka wawekezaji makini sekta ya Nishati

 Na Asteria Muhozya, Dar es SaalamImeelezwa kuwa, mbali ya kufikia Dira ya Maendeleo ya Taifa ya kuifanya Tanzania kuwa na umeme wa kutosha ifikapo mwaka 2025, Serikali pia imeazimia kufikia malengo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIMEWAWEKEA: ..ile Post ya duka jipya la tiGO huko Tunduma

Kampuni ya simu ya Tigo imefungua duka jipya Tunduma ambalo limepunguza adha kwa wateja wa kampuni hii ambao walikuwa wanatafuta huduma kwa wateja umbali mrefu toka kwa makazi yao  Akizungumza wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STORI: Kuhusu kupungua kwa safari za Nairobi kupitia FastJet

Dar es Salaam, Februari 17, 2016 - Fastjet imepunguza mtiririko wa safari zake  kwenye njia ya Kilimanjaro Tanzania na Nairobi Kenya kuanzia Jumatatu Februari 15, 2016.Fastjet ambao awali walikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUHUSU UMEME: Tanzania ina uhakika

Asteria Muhozya na Nuru Mwasampeta, Dar es SalaamKutokana na mahitaji makubwa ya Nishati ya umeme barani  Afrika,  ambapo  kiasi cha wananchi wake wapatao bilioni 1 wanatajwa kuwa   bado wapo gizani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIOTEKNOLOJIA: Elimu muhimu kwa ajili ya kumkomboa mkulima

Na Dotto MwaibaleJUKWAA la Bioteknolojia Tanzania limetoa mafunzo ya matumizi ya bioteknolojia na Uhandisi Jeni kwa wanachuo cha ualimu Bunda kilichopo mkoani Mara ili kuwa jengea uwezo wa kuielewa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKALA:: Tuna jukumu la pa,oja la kupiga vita uharibifu wa misitu

Na. Ahmad Mmow.Juhudi kubwa ya kufikisha elimu kwa jamii juu ya uhifadhi, usimamizi na uvunaji endelevu wa misitu iliyofanywa na serikali kwa kushirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

29Days 2GO: Lady Jaydee anaamka tena

Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee ametangaza rasmi kurudi tena kwenye muziki baada ya ukimya wa muda kidogo kwenye muziki. Lady Jaydee ameweka wazi ujio wake mpya kwenye muziki ikiwa leo ni...

View Article


MAKALA YA RAIS: ...mkutano wake na makundi mbali mbali ya wasanii

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKALA YA AFYA: Ijue TRANSCATHETER, tiba salama kwa tatizo la tundu la moto,...

 Mwandishi Wetu,Watoto wachanga wanaozaliwa na tatizo la tundu kwenye moyo, linalosababishia kudumaa katika ukuaji wao na hata kuwa na matatizo ya moyo wanashauriwa kupata matibabu ya kuziba tundu hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNCDF LAUNCHES REGIONAL CONSULTATIONS ON MUNICIPAL FINANCE

In collaboration with the Financing for Development Office of the United Nations Department of Economic and Social Affairs and the Government of Tanzania, UNCDF launched a global series of expert group...

View Article
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live