AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI...
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua gwaride la heshima linaloundwa na Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la...
View ArticleMFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE, (UCSAF), WATOA MSAADA WA KOMPYUTA SHULE YA...
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa wote, (UCSAF), Joseph Kilongola, (wakwanza kushoto-mbele), Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko huo, Mhandisi Peter Ulanga, (wakwanza kushoto-nyuma), wakishuhudia...
View ArticleJAMII YATAKIWA KUWAHESHIMU NA KUWASAIDIA WAZEE NCHINI
Mratibu wa Asasi isiyokuwa ya kiserikali ya METDO Tanzania Mathias Canal akimkabidhi Kaimu Mkuu wa Kituo cha Wazee KIILIMA Bi Gladness Lwiza baadhi ya mahitaji kwa ajili ya wazee waishio kituoni hapo....
View ArticleMAKONDA ATINGA UWANJA WA FISI,ASHUHUDIA MADANGURO YA BIASHARA YA UKAHABA
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akibisha hodi kwenye mlango mmoja katika banda linalodaiwa kutumiwa kwa biashara ya ukahaba, katika eneo maarufu kwa jina la Uwanja wa Fisi, lililopo,...
View ArticleMBUNGE WA CHALINZE RIDHIWANI AKABIDHI VISIMA VITATU VYENYE THAMANI YA...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete, wa kushoto akiwa na Afisa Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali toka Nchini Omani linaloitwa TUELEKEZANE PEPONI Bw.Nasr Al Jahdhamy wakati wa kukabidhi...
View ArticleBENKI YA UBA YATOA MSAADA PUGU SEKONDARI
Wanafunzi wa Pugu sekondari wakishusha kwenye gari vifaa vilivyokabidhiwa na benki ya UBA kwa ajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalum. Mkurugenzi mkuu wa Benki ya UBA,Piter Makao akiwa na meneja...
View ArticleTANGA YAWATAKA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI INDIA KUWEKEZA ILI KUWEZA KUNUFAIKA...
Balozi wa India nchini Tanzania Sandeep Arya kushoto akiteta jambo na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Thobias Mwilapwa wakati wa kongamano la wafanyabiashara wa pili kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa...
View ArticleMtangazaji wa televishioni ya KTN akamatwa Uganda
Mwandishi wa wahabari wa televisheni ya KTN kutoka nchini Kenya Joy Doreen Biira alikamatwa na kuzuiliwa na polisi wa usalama nchini Uganda usiku wa Jumapili. Vyombo vya habari vinasema Bi Biira...
View ArticleUgonjwa wazidisha mapenzi ya Kim kwa Kanye
Licha ya rapa Kanye West kuwa katika uangalizi maalumu wa afya yake baada ya kuonekana kuchanganyikiwa, mke wake Kim Kardashian ameonekana kutumia nafasi hiyo kuonyesha mapenzi ya kweli kwa mume wake...
View ArticleWanafunzi wawili wa Shule ya Academic International washinda mitihani ya...
Wanafunzi wa shule ya Academic International school, Harshvardhan Kabla (kushoto) ambaye ameshika nafasi ya kwanza duniani katika somo la Kompyuta kwa wanafunzi wa “A Level” kwa mitihani ya Cambridge...
View ArticleIdadi ya waliofariki katika ghasia Uganda yafikia 62
Maafisa wa polisi nchini Uganda wamewatawanya watu waliokuwa wakitaka kuingia katika chumba cha kuhifadhia maiti ili kuchukua miili ya ndugu zao waliouawa katika mji wa magharibi wa Kasese wikendi...
View ArticleMtikisiko yaacha gumzo jijini Mbeya
Mr blue akiwapagawisha wakazi wa Mbeya waliohudhuria katika tamasha la Mtikisiko lililoandaliwa Na kampuni ya simu za Mkononi Tigo Tanzania, wakishirikiana Na Ebony Fm lililofanyika katika uwanja wa...
View ArticleUJUMBE KUTOKA CHAMA CHA CPC CHA CHINA WATUA NCHINI KUJIFUNZA KAZI ZA CCM
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam Ramadhani Madabida (kushoto), akimkabidhi Ilani ya CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Mkurugenzi wa Idara ya Mahusiano ya...
View ArticleWAKAZI 800 WA KEREGE WAPATA HUDUMA ZA BURE ZA MATIBABU YALIYOANDALIWA NA...
Klabu ya Rotary ya OysterBay imeendesha kambi tipa kwa wakazi wa Kerege, mkoa wa Pwani ambapo wananchi mbali bali walipata fursa ya kujitambua kiafya.Vipimo na matibabu vilitolewa bure kwa magonjwa...
View ArticleANGALIA PICHA: Za Rais Magufuli akiwa na mgeni wake, Rais Edgar Chagwa Lungu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu wakipita katikati ya Gadi ya Mapokezi iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa...
View ArticleSHUHUDIA: Serikali ilivyopokea kompyuta 205 kutoka kampuni ya BayPort
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza wakati wa hafla yakupokea msaada wa kompyuta 205 zilizotolewa na kampuni ya...
View ArticlePICHA: Za kikao cha Waziri Kairuki na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bi....
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akipitia nyaraka zilizowasilishwa na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bi. Malika Barak...
View ArticlePICHA: RAIS DKT. MAGUFULI AMWANDALIA RAIS EDGAR LUNGU DHIFA YA KITAIFA IKULU...
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume wakielekea kwenye dhifa ya kitaifa...
View ArticleUN NA EU WAENDELEZA KAMPENI YA UELEWA WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU
Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini ambaye pia ni Afisa Miradi, Anna Muro (kushoto) akisalimiana na mmoja wa wahadhiri wa chuo hicho alipowasili katika ofisi za Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa...
View ArticleMtanzania afungua mgahawa sweeden na kuvunja rekodi
Issa Kapande `Chef Issa'Mgahawa mkubwa unaotoa huduma za chakula cha Kitanzania unaomilikiwa na mpishi maarufu duniani, Issa Kapande `Chef Issa', umefunguliwa nchini Sweden na kuvunja rekodi ya...
View Article