MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ATEMBELEA KIWANDA CHA MT. MERU MILLERS MJINI ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na uongozi wa kiwanda cha Mt. Meru Millers mara baada ya kufanya ziara kiwandani hapo.Mkurugenzi Mtendaji wa...
View ArticleUWEKEZAJI WA TANESCO WAFIKIA SHILINGI TRILIONI 5.35, NI MKUBWA KATIKA...
 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini, (TANESCO), Mhandisi Felchesmi Mramba, (katikati), akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo Novemba 24, 2016. Alikuwa...
View ArticleBARAZA LA WAHITIMU WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE LAKUTANA...
 Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Profesa Shadrack Mwakalila akihutubia wakati akifungua Baraza la Wahitimu wa chuo hicho, Dar es Salaam leo. Katibu wa Baraza la Wahitimu wa chuo hicho,...
View ArticleMKURUGENZI WA ILEJE AWADHIBITI WAKWEPA KODI
 Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Ileje Haji Mnasi akiwa kwenye eneo husika la kukagua wakwepa kodi.Hawa ni baadhi yamadiwani wa halmashauri ya wialaya ya Ileje wakifutalia jambo lililokuwa...
View ArticleUjumbe kutoka kwa Bi. Irina Bokova, Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, kwa Siku ya...
Usalama wa Wanawake kufuatia Mabadiliko ya Tabia Nchi Ukatili dhidi ya wanawake ni uvunjaji mkubwa wa haki za msingi za binadamu na tishio kwa mamilioni ya wasichana na wanawake duniani kote. Takribani...
View ArticleSamuel Eto'o akabiliwa na kifungo cha miaka 10 jela
 Aliyekuwa nyota wa timu ya soka ya Cameroon Samuel Eto'o huenda akahudumia kifungo cha miaka 10 jela baada ya waendesha mashtaka kumhusisha na kashfa ya kukwepa kulipa ushuru.Huenda pia akalipa faini...
View ArticlePICHA:kuhusiana na moto mkubwa unaoendelea kuwaka Israel
Maelfu ya watu wakimbia makazi yao baada ya moto mkubwa kuendelea kuenea na kukaribia kufika katika mji wa Haifa, kaskazini mwa nchi hiyo. Moto mkubwa ambao umekuwa ukiwaka kwa siku kadha Israel sasa...
View ArticleEuropa: Man U yashinda 4-0 Rooney ang'ara
 Mchezaji wa Manchester United Wayne Rooney amevunja rekodi kama ya magoli 39 barani Ulaya baada ya kuwashinda Feyenoord 4-0 katika mchezo wa ligi ya Europa. Ushindi huu umeiweka Man u katika nafasi ya...
View ArticleMTANZANIA VICTORIA MWANZIVA ASHIRIKI KOZI MAALUM YA WANAWAKE KWA AJILI YA...
Bi. Victoria Mwanziva (kulia) akitoa mchango wake katika kozi maalum kwa wanawake kwa ajili ya kudumisha Amani Barani Afrika Baadhi ya washiriki kutoka Nchi mbalimbali Barani Afrika wakiwa na Profesa...
View ArticleKIKOSI KAZI CHAMALIZA KAZI YA KUANDAA MPANGO KAZI WA MATUMIZI YA ARDHI NA...
 Kikosi kazi katika mkutano wa siku mbili uliofanyika MorogoroKaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi ya Ardhi Tanzania Dr. Stephen Nindi akichangia jambo wakati wa mkutano huo....
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ATEMBELEA KIWANDA CHA A TO Z MKOANI ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia nguo zinazotengenezwa na Kiwanda cha A to Z,kulia ni Mkurugenzi wa kiwanda hicho Bw.Kalpesh Shah.Makamu wa Rais...
View ArticleMILIONI 10 ZA UJENZI WA CHOO ZAYEYUKA MANISPAA YA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM...
 Choo cha Soko la Madenge katika Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam kikiwa kimeng'olewa milango kutokana na kutokamilika ujenzi wake licha ya manispaa hiyo kutenga sh.milioni 10 za ujenzi.  Mkazi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AFUNGUA JENGO LA UMOJA WA MATAIFA LITAKALOTUNZA KUMBUKUMBU ZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa sherehe fupi za ufunguzi wa jengo la ofisi za Umoja wa Mataifa litakalotumika kutunza kumbukumbu...
View ArticleKIWANDA CHA SARUJI SIMBA CEMENT YAIPIGA JEKI SHULE YA MSINGI YA KANGE TANGA
 Kiwanda Cha Saruji Cha Simba Cement kimeijengea shule ya Msingi ya Kange vyumba viwili vya madarasa na madawati 50 pamoja na matundu mawili ya vyoo, vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi...
View ArticleATAKA MALENGO 17 YA SDGs KUFIKISHWA NGAZI ZA CHINI ZA UTEKELEZAJI
Mkurugenzi wa Mifumo Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Henry Katabwa ametaka Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG’s) kuhusishwa kwenye michakato ya maendeleo ya serikali za mitaa, hasa kwenye programu...
View ArticleSERIKALI KUENDELEA KUVIFUTIA USAJILI VYUO AMBAVYO HAVINA SIFA NCHINI
Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Profesa Shadrack Mwakalila (kushoto), Naibu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala, Dk. Magreth Shawa na Naibu Ktibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na...
View ArticleFidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90
  Fidel Castro aliongoza mapinduzi ya Kikomunisti Cuba mwaka 1959 Fidel Castro, kiongozi wa zamani wa Cuba aliyeongoza mapinduzi ya Kikomunisti, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90, kakake...
View ArticleFifa: Argentina ndio timu bora duniani, Senegal yaongoza Afrika
 Shirikisho la kandanda ulimwenguni (FIFA) limetoa orodha ya viwango bora vya soka ,ambapo mpaka sasa kwa upande wa bara la Ulaya Argentina bado ndio taifa bora duniani kwa mujibu wa viwango vya ubora...
View ArticleKompany apata jeraha
  Vincent Kompany ameshiriki mechi tano msimu huu Nahodha wa Manchester City Vincent Kompany atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki nne mpaka sita kutokana na jeraha la goti,meneja Pep Guardiola...
View ArticleMaombolezi ya kifo cha Fidel Castro
Fidel Castro Viongozi mbali mbali duniani wanaendelea kutuma salamu zao za rambi rambi kwa watu wa Cuba kufuatia kifo cha kiongozi wao Fidel Castro.India ambayo Cuba ni mshirika mkuu wa taifa hilo,...
View Article