Wizara Ya Habari Yazindua Programu Ya Wadau Tuzungumze
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na waandishi wa habari (hawapo Pichani) leo Februari 07, 2017 Jijini Dar es Salaam kuhusu mkakati wa...
View ArticleWaziri Mkuu Azungumza Na Mabalozi, Awataka Wakatafute Wawekezaji
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam, Februari 7, 2017....
View ArticleUjumbe Kutoka China Watembelea Ofisi Ya Makamu Wa Rais
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa Faustin Kamuzora akiongea wakati wa mkutano na ujumbe kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha China waliomtembelea Ofisini kwake mapema hii leo. Sehemu ya...
View ArticlePierre-Emerick Aubameyang Kurithi Mikoba Ya Aguero
Tetesi za kuuzwa kwa mshambuliaji kutoka nchini Argentina na klabu ya Man City Sergio Kun Aguero itakapofika mwishoni mwa msimu huu, zimeenedelea kuchukua nafasi kubwa katika baadhi ya vyombo vya...
View ArticleSekretarieti Ya Ajira Yatoa Elimu Ya Masuala Ya Ajira Kwa Wanafunzi Wa Vyuo...
Naibu Makamu mkuu wa Chuo kikuu cha Zanzibar anayesimamia Utawala Dkt. Zakia M. Abubakar (Kulia) akiongea na Ujumbe wa Sekretarieti ya Ajira uliotembelea Zanzibar kwa ajili ya kutoa elimu ya maswala...
View ArticleJanja Janja Za Conte Zafahamika
Bosi wa vinara wa ligi ya nchini England Chelsea (Antonio Conte), alikuwa mmoja wa mashuhuda wa mpambano wa ligi ya nchini Italia, ambao ulimalizika kwa mabingwa watetezi Juventus FC wakichomoza na...
View ArticleReal Madrid Wamgeukia Hugo Lloris
Wabishi wa mji wa Madrid (Real Madrid) huenda wakabadili mawazo ya usajili wa malinda mlango, kufuatia figisu figisu walizoanza kuziona kuhusu mpango wa uhamisho wa Thibaut Courtois wa Chelsea.Madrid...
View ArticleEl-Hadj Diouf Awashukia Waliogoma
Gwiji wa soka nchini Senegal, El-Hadj Diouf amesema wachezaji wanane wa Cameroon waliokataa wito wa kuichezea timu yao ya taifa katika fainali za Afrika, watajutia uamuzi huo maisha yao yote.Nyota...
View ArticleAvram Grant Afanya Maamuzi Magumu
Kocha kutoka nchini Israel Avram Grant ameamua kuachana na kikosi cha Ghana, kwa kuamini ni wakati muafaka kwake kuondoka katika taifa hilo la Afrika ya magharibi, ambalo lilishiriki fainali za Afrika...
View ArticleCAF Kuwa Makini Na Viwanja
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limesisitiza kuwa makini na suala la viwanja vitakavyotumika katika fainali za AFCON kuanza mwaka 2019, ili kutoa ushindani sahihi kwa mataifa shiriki.CAF...
View ArticleMkuu Wa Mkoa Wa Mjini Magharibi Atembelea Maandalizi Ya Tamasha La Sauti Za...
Mwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Simai Mohammed Said akitowa maelezo ya kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha hilo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud...
View ArticleProf. Muhongo: Sitakubali Tanesco Kupandisha Bei Ya Umeme
Na: Lilian Lundo – MAELEZO - DodomaWaziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo amesema kuwa msimamo wake juu ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco) kutopandisha gharama za umeme kwa...
View ArticleWaziri Mhagama: Vita Dhidi Ya Dawa Za Kulevya Ni Yetu Sote
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama amesema kuwa mapambano ya kukabiliana na tatizo la Dawa za Kulevya ni jukumu la kila mwananchi na...
View ArticleKomredi Kinana Kuongoza Mazishi Ya Viongozi Wa Ccm Kilimanjaro
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ataongoza mazishi ya viongozi wa CCM, waliofariki juzi, kwa ajali ya gari wakati wakitoka kwenye maadhimisho ya miaka 40 ya CCM, mkoani Kilimanjaro." Misiba hii...
View ArticleBodi Ya Stamico Yajipanga Kufufua Mgodi Wa Makaa Ya Mawe Kiwira Coal Mine
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Luten Mstaafu Chiku Galawa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Madini Tanzania (STAMICO) Balozi Alexandekwake kabla ya kufanya ziara katika migodi ya makaa ya mawe ya Kiwira...
View ArticleWaziri Wa Ardhi Mh. Lukuvi Akabidhi Hati 1361 Kwa Wanakijiji Cha Dihombo
Wakazi wa vijiji vya Hembeti na Dihombo wakisubiria kupata Hati miliki zao.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi akitoa hotuba yake wakati wa alipozindua utoaji wa...
View ArticleKenya Yapongeza Juhudi Za China Katika Uhifadhi Wa Wanyamapori
Waziri wa mazingira na maliasili nchini Kenya Judi Wakhungu amepongeza juhudi za China katika kulinda wanyamapori, huku akisema amri ya kupiga marufuku biashara ya pembe za ndovu iliyotolewa na China...
View ArticleUingereza Yasherehe Miaka 65 Ya Utawala Wa Malkia Elizabeth II
Malkia Elizabeth II wa Uingereza ameadhimisha miaka 65 tangu aanze kutawala nchi hiyo.Kikundi cha askari wa farasi wa mfalme wa Uingereza kilitoa heshima kwa Malkia huyo mjini London, idara ya...
View ArticleBunge La Ethiopia Lapitisha Makubaliano Ya Mkopo Wa Muundombinu Na Benki Ya...
Bunge la Ethiopia limepitisha makubaliano ya mkopo wa dola milioni 250 za kimarekani yaliyosainiwa na Benki ya Exim ya China kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu nchini humo.Makubaliano hayo...
View ArticleJumuiya Ya Kimataifa Yailaani Israel Kwa Kuhalalisha Maeneo Ya Makazi Ukingo...
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa taarifa ikisema sheria ya Israel ya kuhalalisha maeneo ya makazi yaliyoko Ukingo wa Magharibi inakiuka sheria ya kimataifa.Taarifa hiyo imesema...
View Article